Aslay – Shuu! Lyrics
LYRICS

Aslay – Shuu! Lyrics

MP3 DOWNLOAD Aslay - Shuu!
Aslay – Shuu! Lyrics

Top-rated Tanzanian young star signed under Sony, managed by Rockstar Africa and Natamba hit song maker, Aslay is back with a brand new banger titled Shuu!.

SIMILAR: Aslay – Vinawabana

Shuu! Lyrics by Aslay

swahili (swahili)

aieee
yelele ee

mmm ooh (yuko wapi?)
alieseme kiko wapi??(yuko wapi)
aliesema utateseka (yuko wapi??)
alisema hutompata kama yeye mmh (yuko wapi??)
aliekurusha roho(yuko wapi??)
alietaka ukate roho (yuko wapi??)
aliesema hutoishi bila yeye mmh

ona Mungu na mipango yakee
hivi ataficha wapi sura yake
yuko wapi alosema we so mwanamke wa kuishi nayee
mi naona kama vile kampiga chura teke
umekuwa mdogo mtoto mteke mteke
yuko wapi alisema we si lolote si chochote
alelelee aagh

waitee waitee waite wakuonee
unang’ara(ng’ara) aiii
waitee waitee waite wakuone mmmh
ulivyoupara(nia yake akuone unateka)

limemshuka shuu ayee ee
limemshuka shuu yeyeyee
limemshuka shu shu shu (nia yake akuone unatapatapa)
limemshuka shuu (muonee uyo)
limemshuka shuu wolololo mmmh mmh mmh mmmh
limemshuka shu shu shuu

okeh! kuula mama unenepe
kula usiyakumbuke masekeseke
aliyokupa weweee kipindi uko nayee ee aah
si alitaka akucheke we mchape matukio ateseke
najua ata yeyee anakuwaza wewee aah
piga picha kali kali kwenye maghorofa
swimming pool na magari ya kukodisha
hennesy sio yako omba piga nayo picha akuonee mmh
post na madola feki kumuonyesha kama kule kwake ulikua unateseka
caption za machungu usiblock asomee alelelee aaag

waite waite waitee wakuone
unang’ara nga’ra aii
waite waite waite wakuone
ee ulivyoupara (alitaka uteseke)

limemshuka shuu (yulee)
limemshuka shuu (yule yulee)
limemshuka shuu shuu shuu (muone anaona haya)
limemshuka shu (anaona haya)
limemshuka shuu (yulee)eehee
limemshuka shuu shuu shuu

ana roho mbaya(ana roho mbaya)
ana roho mbaya(ana roho mbaya)
ana roho mbaya(ana roho mbaya)
ana ona haya (ana roho mbaya)

Aslay – Shuu! Mp3 Download

More hit songs from Aslay;

Leave a Comment