Mamdogo Lisa Sehemu ya Kwanza
CHOMBEZO

Ep 01: Mamdogo Lisa

SIMULIZI Mamdogo Lisa
Mamdogo Lisa Sehemu ya Kwanza

IMEANDIKWA NA: UNKNOWN

**************************************

Chombezo: Mandogo Lisa

Sehemu ya Kwanza (1)

Ilikuwa ni jioni moja tulivu ambapo kijimvua cha rasharasha kilikuwa kikiendelea kunyesha taratibu, na kama kawaida ya watu wa Dar es Salaam wanavyoogopa mvua kuliko magari, alionekana mtu mmoja mmoja akipita barabarani katika mitaa ya kinondoni, watu wengi walikuwa wamejificha kwenye vibanda kusubiri kijimvua hicho kikate na wengine walikuwa tayari majumbani kwao wakijipumzisha wakati wengine walikuwa ndani ya magari yao wakielekea huku na kule.

Katika moja ya mitaa ya Kinondoni ndani ya jumba moja zuri la kifahari japo lilikuwa halina ufahari wakutisha, mzee Henry Bisu alikaa na familia yake sebuleni huku wakiongea. Maongezi yao hayaku onekana kuwa mazuri, kidogo au tuseme kuwa ni kama kulikuwa na kutokuelewana katika kilichokuwa ninaongelewa hapo sebuleni kati ya mzee Henry Bisu na familia yake. mbali na mzee Henry Bisu alikuwepo pia mwanaye wa kwanza John Bisu, mwanaye mwengine ambaye ni Charles Bisu na kitenda mimba chake ambaye ni Denis Bisu. Mzee Bisu na Mkewe Bi. Pauline walifanikiwa kupata watoto watatu wote wakiwa ni wakiume, na kwa kudra za mwenyezi mungu wote watatu walikuwa na afya njema na wote walifanikiwa kumaliza elimu ya juu ya masomo yao katika fani mbali mbali, ni Denis pekee ndio alikuwa bado anasoma katika moja ya vyuo vya hapa Dar es salaam.

Wote waliishi katika jumba hilo kila mmoja akiwa na chumba chake, na hakuna kati ya watoto wote hao ambaye alikuwa tayari ameoa, wote walikuwa bado single pamoja na kuwa kila kukicha Mzee Bisu aliwalazimisha wanaye ambao ni John na Charles ili watafute wake wa kuoa lakini wenyewe walipinga na kusema muda bado, kwa upande Denis yeye alikuwa bado na umri wa miaka 20 tu hivyo hilo swala la kuoa lilikuwa bado kabisa.

Maisha katika familia hiyo yalikuwa mazuri na yenye furaha kila siku, lakini siku hiyo ilikuwa tofauti kidogo kwani kulikuwa hakuna maelewano kati ya mzee Bisu na wanawe, kulikuwa na mtafarukh kidogo, badala ya mzee Bisu kuwalazimisha wanawe watafute wake wa kuoa, siku hiyo yeye ndio alikuwa anawaambia wanawe kuwa anataka kuoa mke mwingine jambo lililopingwa sana na wanawe hasa wanawe wakubwa John na Charles.

“… Nisikilizeni kwa makini, mimi ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndani ya nyumba hii na mimi ndio nnayepanga nini nataka kufanya sawa…” alisema mzee Bisu lakini kabla hajaendelea John alidakia.

“… hakuna anayepinga kuwa wewe ndio mwenye maamuzi humu ndani, lakini lazima uangalie, maamuzi yako hayo yatakuwa na faida gani kwetu sisi wanao na mama yetu ambaye ni Mkeo mpendwa…” alisema John.

“… mama yenu hana cha kusema kwa vile nilishaongea naye, na nyie hili haliwahusu na halitakuwa na madhara yoyote,.. sana itamsaidia mama yenu kupata mtu wa kumsaidia kazi za hapa na pale…” aliendelea kuongea mzee Bisu.

“… Mama hawezi kukubaliana na maamuzi hayo ya kijinga, na kama ni mtu wakumsaidia si umtafutie house girl, au kama huwezi ngoja sisi tumtafute huyo house girl na tutamlipa wenyewe…” alidakia Charles kwa jazba kidogo jambo ambalo lilimfanya Mze Bisu naye aje juu.

“… wewe, angalia domo lako hilo,.. unasema maamuzi yangu mimi ni yakijinga?.. kwa hiyo mimi ni mjinga si ndio?..” alikuja juu Mze Bisu.

“… Hakuna anayesema kuwa wewe ni mjinga hapa..,” alidakia Joh.

“… ila hayo maamuzi yako sio ya busara, inavyoonesha ni kwamba umemchoka mama sasa unataka umtafutie mke mwenza bila kufikiria ni wapi ulikotoka na mama na nini kitatokea baada ya wewe kumleta huyo mwanamke humu ndani…” alimalizia John kwa upole.

“… sikilizeni,..” aliongea mzee Bisu kwa upole kidogo, ” … haki ya mama yenu itabaki kuwa pale pale, lakini kulingana na umri wake anahitaji apate msaidizi… “

“… sisi huyo msaidizi hatumtaki humu ndani, aliongea john kwa jazba.

“… tunaridhika na anachokifanya mama yetu…”

Mzee bisu aliwatazama wanaye kwa jazba kisha akatamka

“… sasa endeleeni na ubishi wenu…” alifoka mzee Bisu.

“… lakini hakuna wakuyabadilisha maamuzi yangu, nilishaamua kuoa mke mwingine na lazima nitaoa basi… ” aliongea mzee bisu huku akiyanyuka na kuanza kuingia chumbani kwake.

“… sawa, we oa tu…” aliongea John. “… we kaoe huyo mwanamke wako, lakini mimi siwezi kuendelea kuvumilia haibu itakayotokea ndani ya nyumba hii, hapa kwako mimi naondoka nitajua pa kwenda…” alimalizia John huku na yeye akiinuka.

“… Hata mimi hapa nahama, maana huu ni upuuzi…”, alidakia Charles huku naye akiinuka na kuondoka.

Denis yeye alikuwa kimya muda wote akiwaangalia kaka zake wakibishana na baba yao, na walipotoka na kuingia vyumbani mwao walikusanya mizigo yao na kutokomea yeye, alibaki kuwakodolea macho tu.

Ni baada ya mama yake kutokeza chumbani alikokuwa mda wote ambapo maongezi hayo yalikuwa yakiendelea sebuleni ndipo Denis alipogutuka, na kilichomgutusha ni baada ya kugundua kuwa mama yake alikuwa analia, aliinuka na kumfuata, alipomfikia alimkumbatia mama yake kisha akamuuliza kwa upole. “… mama, kuna kitu chochote ulichoongea na baba kuhusu kuoa?… I

mama yake alimtazama kwa macho ya huruma na huku machozi yakiendelea kumchuruzika.

“… sikiliza mwanangu Danis, haya mambo ni makubwa sana kwako, na hayakutakiwa kujulikana kwenu, lakini ukweli ni kwamba yote mliokuwa mnaongea na baba yenu pale sebuleni nilikuwa nayasikia…” alinyamaza kidogo, akajifuta machozi kwa kutumia kitenge alichokuwa kajifunga kiunoni kisha akaendelea.

“… baba yenu sasa hivi amebadilika kwa kiasi kikubwa sana, na mabadiliko yake yanatokana na mwanamke aliyempata huko sijui wapi…” aliendelea kuongea Bi. pauline na kumfanya Denis akodowe macho kidogo kwa mshangao.

“… ina maana mama unajua kuwa baba anaye mwanamke mwingine?.. alihoji Denis.

“… najua, ila simjui huyo mwanamke,.. lakini kila siku baba yenu anamuongelea na kuniambia kuwa anataka kumuoa kabisa… aliongea Bi Pauline kwa huzuni.

“… kwa hiyo wewe umemkubalia aoe mwanamke mwingine na uzee wote ule?..” aliendelea kuhoji Denis.

Bi. Pauline alimtazama machoni mwanaye wa mwisho kisha akamwambia.

“… hiyo ndio sababu ya ugomvi wetu wa kila siku,.. kwa vile mimi sijakubaliana na kitu hicho ila yeye analazimisha…”

“… kwa hiyo alivyosema pale kuwa alishaongea na wewe na mlishayamaliza alikuwa anatudanganya?..” aliuliza Denis kwa mshangao.

“… na hicho ndicho kinachonitoa machozi kuona ni jinsi gani huyu mzee amebadilika mpaka kufikia hatua ya kuwadanganya watoto wake ili tu afanikishe kile anachokitamani…” aliendelea kuongea Bi. Pauline kwa Huzuni.

Denis aliinamisha kichwa chini kwa masikitiko kisha bila kuongeza neno aliondoka na kuingia chumbani kwake na kwenda kujitupa kitandani. kichwa kilimuuma kwa mawazo, alifikiria ni njia gani afanye ili kumsaidia mama yake kipenzi, maana kaka zake wote walishaondoka, na mtu pekee aliyebaki kumsaidia mama yao ni yeye tu. kaka zake walijaribu kumsaidia mama yao kwa maneno ila yeye alihitaji kufanya kitu, na ni kitu hicho kilichokuwa kinamuumiza kichwa. afanye nini ili baba yake abadilishe mawazo ya kuoa na aendelee kuishi na mkewe kwa amani kama ilivyokuwa zamani. alikaa pale kitandani kwa muda mrefu akijaribu kufikiria mpaka usingizi ukampitia bila kupata muafaka wowote utakaomsaidia mama yake.

alipokurupuka ilikuwa tayari giza limeingia. mwenyewe alijishangaa na hakujielewa ilikuwaje mpaka akapitiwa na usingizi.

alijiinua kitandani na kutoka taratibu mpaka sebuleni ambapo alimkuta baba yake akiwa amekaa huku akiangalia tv. hakumsemesha chochote ila alikaa tu akimtazama kwa makini mpaka baba yake akajishtukia kuwa alikuwa akiangaliwa. akamgeukia na kumuuliza

“… Denis, una nini?..”

Denis hakujibu kitu ila kuendelea kumuangalia tu na kulijibu swali lake kwa kutingisha kichwa akimaanisha kukataa.

“… sasa mbona umefika umekaa kimya tu na kuanza kuniangalia, unafikiria nini?..” aliendelea Mze Bisu huku akijiweka sawa kwenye kiti na akimuangalia mwanaye.

“… sina la kusema baba, na siwezi kuwa nalo kwa sababu ya mawazo niliyonayo kichwani kwangu…” hatimaye alitamka Denis

“… mawazo ya nini tena mwanangu?, unahitaji pesa?..” aliendelea kuhoji Mze Bisu huku akijisaulisha kabisa kilichotokea.

Denis alimuangalia baba yake mzee Bisu kisha akamjibu.

“… sihitaji pesa wala kitu chochote, ninachokihitaji ni amani ya mama yangu tu basi…” alijibu huku akiwa katulia.

mzee Bisu alimuangalia mwanaye kisha bila kuongeza neno akainuka na kuondoka zake kuelekea chumbani, lakini kabla hajaingia akageuka kumuangalia mwanaye na kamwambia.

“… kama na wewe unataka kufuata mkumbo wa kaka zako, utahama hapa…” aliongea hivyo akiwa kachukia.

Denis aligeuka na kumuangalia baba yake kisha akamjibu.

“… mimi kuondoka hapa nitaondoka kama unataka, ila ni baada ya kuhakikisha mama yangu anaishi kwa furaha kama ilivyokuwa zamani…” aliongea huku naye akinyanyuka. Mzee Bisu alimtazama kwa jazba mwanaye huyo mdogo na kuanza kumsogelea taratibu.

“… una maanisha kuwa unataka kupambana na mimi?..

alimuuliza huku akiendelea kumsogelea lakini Denis hakusimama alipoinuka alianza kuondoka kurudi tena chumbani kwake na kabla hajaingia akamjibu baba yake.

“… siwezi kupambana na wewe baba, wewe ni mzazi wangu ila najua mwenyewe nitafanya nini kumnusuru mama yangu…”

alimalizia kisha akaingia chumbani kwake na kujifungia mlango.

… Mzee Bisu alibaki kumtumbulia macho kwa hasira akimuangalia mwanaye huyo akiingia chumbani kwake na kujifungia mlango… “

“… hawa watoto wanataka kunipanda kichwani, alijisemea mzee Bisu huku akiingia chumbani kwake. …

sasa ntaleta mwanamke kisha nione watanifanya nini…”aliongea kisha ghafla alisimama katikati ya chumba na kujisemea tena.

“… au huyu mtoto anaongea hivi kwa vile anajua siri yangu ya… aghrr…”

Alijibwaga kitandani na kukaa huku akitafakari.


Anajulikana kama Mzee Bisu lakini jina lake kamili anaitwa Henry Bisumagusa, huyu ni mfanyabiasha wa muda mrefu na ambaye biashara zake zilimletea mafanikio makubwa japo sio ya kutisha.

alimiliki mjengo mkubwa wa kifahari na gari zake mbili za kifahari zilizomtosheleza yeye na familia yake. Mzee Bisu kama alivyojulikana na wengi, aliishi na mkewe Pauline Bingi toka wakiwa bado vijana, na katika maisha yao yote waliishi kwa upendo mkubwa sana. walipenda na walithaminiana sana, mungu akawajalia wakazaa watoto watatu wa kiume wa kwanza aliitwa John Bisumbagusa, baada ya john ndipo akazaliwa Charles Bisumbagusa, baada ya hapo Bi. Pauline alitamani sana apate mtoto wa kike lakini bahati ya mtoto wa kike haikuwa yake, ujauzito wake wa tatu akazaliwa mtoto wa kiume mwingine ambaye naye wakamwita jina la Denis Bisumbagusa. Watoto wote hao wakiluwa vizuri na elimu zote walizozitaka walizipata, walilelewa katika mazingira mazuri na maadili mema.

katika miaka yote hiyo ya kuishi na mkewe na watoto wao mpaka wanakuwa watu wazima, mzee bisu hakuwahi kuwa na kimada wa nje hata siku moja na wala hakuwahi kutembea nje ya ndoa yake. lakini wakati mwanaye Denis akiwa na umri wa miaka 18, ndipo ilipotokea skendo yake ya kwanza lakini hata hivyo ilizimwa kimya kimya na iliendelea kuwa siri kati yake na mwanaye Denis. na siku zote alimsisitizia asithubutu kumwambia mtu kuhusu swala hilo.

Katika kipindi hicho ambacho Denis alikuwa na umri wa miaka 18, walikuwa na msichana wakazi ambaye alijulikana kwa jina la Hasina, huyu alikuwa ni msicha mwenye umri wa miaka 17. alikuwa na umbo dogo lakini lililojengeka vyema, namaanisha kuwa alikuwa mfupi kidogo, sio mwembamba na wala sio mnene, alikuwa na rangi nzuri ya maji ya kunde sura nzuri hata kama hajajiremba, kifua chake kiliendana na umri wake, yaani kilibeba matiti madogo yaliyochongoka na yenye kinundu kidogo kwa mbele, alikuwa na kiuno chembamba kilichobeba makalio ya wastani na yanayoweza kumteka kila amtazamaye, makalio hayo yaliambatana na mahipsi ambayo siku zote aliyaficha ndani ya ligauni lake la kazi alilokuwa akilivaa kila siku. huyu ni msichana wakazi Hasina.

Siku zote alivaa migauni mikubwa na wakati mwingine ajifunge kanga kuanzia kifuanzi mpaka miguuni, ni kama alikuwa anaficha kitu, na siku zote alizokaa pale akifanya kazi, hakuna aliyewahi kumtamani kimapenzi, si baba wala watoto.

Siku moja jioni mzee Bisu alirudi nyumbani kutoka kazini kwake, siku hiyo aliwahi kurudi maana mara nyingi alipenda kurudi mida ya saa 12 jioni, lakini siku hiyo alirudi saa kumi jioni, aliingia ndani na kupitiliza chumbani kwake na kisha akatoka kukaa sebuleni akawasha luninga na kuanza kufuatilia vipindi.

Siku hiyo nyumbani hapakuwa na mtu, vijana wake wote walikuwa matembezini na mkewe alikuwa amekwenda kumtembelea shoga yake mtaa wa pili kutoka pale kwao. akiwa anaendelea kuangalia runinga, mara alisikia mtu akitembea kwenye korido inayoelekea maliwatoni, na mara akamuona msichana wake wa kazi akitokea. ..mama yangu,.. nusura rimoti imdondoke kwa kile alichokiona, mtoto wa kike alikuwa ndani ya kanga moja akitokea bafuni kuoga, kanga ilirowa maji chapachapa na ndani hakuvaa kitu chochote maana nguo ya ndani aliishika mkononi. mzee bisu alikutana live na umbo la ajabu na lenye mvuto, mwenyewe alijikuta akiachia mdomo wazi maana hakuwahi kufikiria kuwa yule msichana alikuwa na umbo zuri kiasi kile kwani siku zote alilificha umbo lake kwa magauni yake ya kazi.

Hasina pia hakutegemea kama atamkuta tajiri yake pale kwani siku zote ikifika mida hiyo ya jioni ndio yeye huingia kuoga baada ya kumaliza kazi zake zote, na mara nyingi nyumbani kunakuwa hakuna mtu, hivyo huwa anajiachia. siku hiyo alipatwa na mshituko pia maana hakutegemea kuwa atakutana na mtu sebuleni nusura arudi nyuma lakini akajipa ujasiri kwani akirudi nyuma atakwenda wapi na atakaa bafuni mpaka saa ngapi kwani hajui boss wake atatoka hapo sebuleni saa ngapi, mara ikamuaanguka shikamoo.

“… shakamoo baba,.. “

aliongea uku akipita kwa mwendo wa taratibu na waheshima.

“… ma,..marahabaa…hujambo Husna…”

mzee bisu alipatwa na kigugumizi.

“… sijambo baba…”

alijibu huku akiendelea na safari yake ya kuelekea chumbani kwake. Mzee Bisu aliendelea kumkodolea macho, na ndipo alipokutana na kile kilichokuwa kimejificha nyuma alafu kimenatia kwenye kanga.

Mzee wa watu nusura apige ukelele lakini akajikausha.

“… duh,.. kumbe mtoto huyu ni mzuri kiasi hiki?..” alijisemea mwenyewe baada ya Hasina kupotelea chumbani kwake.

“… hapana lazima kifanyike kitu,..”

aliendelea kujisemea mwenyewe huku akionekana mwenye mawazo ghafla.

“… ina maaa hawa watoto hawajaliona hili umbo kweli?..”

aliendelea kujiuliza maswali mwenyewe.

“… hapana hapa, lazma nifanye mpango wa kando…”

aliongea kisha akainuka taratibu, aliangalia huku na huku hakuona mtu, akaanza kunyata kuuelekea mlango wa kuingilia chumbani kwa Hasina.

… Alitembea kwa mwendo huo wa minyato mpaka alipoufikia mlango wa chumba cha mfanyakazi za ndani Hasina, kabla hajafanya chochote aliangalia tena huku na huku ili kuhakikisha kuwa ndani pale alikuwa yeye peke yake, alipojihakikishia kuwa alikuwa peke yake, aliusogelea mlango na kuanza kuchungulia chumbani kwa Hasina kupitia tundu la kuingizia ufunguo lakini hakuona kitu.

Alisogeza jicho lake pembeni kwenye nyufa zilizopo kati ya mlango na ubao unaoushikilia mlango,.. mama yangu!!!, nusura baba wa watu adondoke, mtoto wa kike Hasina mtoto wa kitanga alikuwa ameupa mlango mgongo na huku akiwa ameinama chini akijipaka mafuta miguuni, mambo yote huku nyuma yalikuwa wazi mbele ya mze Bisu.

Mwili ulimsisimka vibaya mno , na hapohapo sungura wake aliyekuwa ndani ya bukta akaanza kudai haki yake. ukweli ni kwamba alikuwa katika wakati mgumu sana. Wazo likamjia ajaribu kufungua mlango aingie ndani lakini akasita.

Akiingia atakwenda kumwambia nini Hasina ukizingatia kuwa Hasina anamuheshimu sana kama baba yake, lakini ubande mwingine wa akili yake ukamwabia aingie tu kwani hayo anayoyafanya Hasina ni mitego ya kutaka kumnasa.

Akili yake iliendelea kushindana wakati akiendelea kuchungulia ndani humo.

Safari hii Hasina alikuwa akijipaka mafuta kwenye makalio yake na maeneo ya katikati ya makalio mpaka uvunguni. Alikuwa akiyashika makalio yake na kuwa kama akiyavutia pembeni kwa kutumia mikono yake miwili mmoja kushoto na mwingine kulia, alikuwa akiyavuta na kuyaachanisha kisha anaingiza mkono katikati ya makalio na kufanya kama anajisugua.

Hali hiyo ilichukuwa dakika kadhaa, ni kama alikuwa akijisikia raha kufanya vile, pia ni kama alikuwa akijua kuwa kuna mtu anamchungulia hivyo akaamua kufanya makusudi. Hali hiyo ilimuweka katika hali mbaya sana Mzee Bisu. sungura wake alikuwa wima akisubiria riziki yake, alikuwa bado kaligandisha jicho lake kwenye mlango ule akiendelea kushuhudia mambo na huku akiendelea kushindana na akili yake.

“… huyu mtoto anajua kabisa kuwa mimi niko hapa ndio maana anafanya makusudi yote haya..” alijisemea mzee Bisu kwa sauti ya chini.

“… sijui niingie tu humu ndani?..” alijiuliza.

“…sasa nikishaingia ntamwambia nini?..”

Aliendelea kujiuliza mwenyewe na bila kujipa majibu.

“… sasa kama ananifanyia makusudi si ina mana anataka nimtamani ili niingie?.. na ni kishaingia si ina maana ni kumtupa tu kitandani na mambo yanaaza?..”

Aliendelea kujipa maswali mwenyewe.

Huku ndani Hasina alikuwa sasa amekaa kwenye ki stuli akijipaka mafuta katikati ya mapaja yake na huku akijiangalia pale alipokuwa akipaka mafuta, lakini ghafla alisikia sauti ya mtu ikinon’gona nje ya mlango wa chumba chake.

alikurupuka na kuchukua kanga yake akajifunga kuanzia kifuani mpaka chini kisha akaanza kutembea kuelekea mlangoni ili aweze kusikiliza vizuri. Kitendo cha Hasina kushituka na kuchukua kanga ndicho kilichomgutusha mzee Bisu na kugundua kuwa kumbe alikuwa akijisema kwa sauti ya juu.

alikurupuka na kuanza kutembea kwa minyato lakini kwa haraka kidogo mpaka alipolifikia sofa alilokuwa amekalia mwanzo na kukaa kisha akajifanya kama alikuwa makini na tv.

Hasina alipoufikia mlango alisikiliza kwa makini lakini hakusikia kitu zaidi ya sauti ya tv aliyokuwa ikisikika kutokea sebuleni, taratibu akaufungua mlango na kuchungulia sebuleni, akakuta mzee Bisu yuko pale pale alipomuacha na akiwa Bize na tv huku akibadilisha stesheni mbalimbali.

Alirudi chumbani na kwenda kuendela na shughuli yake. Huku sebuleni Mzee Bisu aliendela kutafakari ni jinsi gani ampate mfanyakazi wake huyo ambaye tayari ameuteka moyo wake, akajipa ujasiri na kuamua kufanya jambo.

… Alijiweka vizuri pale kwenye sofa kisha akajikohoza kidogo akaanza kuita kwa sauti.

“… Hasinaaa… Hasinaaa…”

huku chumabani Hasina aliisikia sauti ya boss wake ikimuita, akavaa nguo harakaharaka kisha akiitikia pia kwa sauti.

“… Bee baba…”

“… Njoo mara moja…”

alimalizia mzee Bisu huku akijiweka vizuri pale kwenye sofa na huku akipanga kichwani mwake maneno Ya kumwambia Hasina lakini maneno yalikuwa hayaji kichwani maana alikuwa hajui aanze kuongea nini. mara mlango wa chumba cha Hasina ulifunguliwa na Hasina akatoka.

alisogea mpaka jirani na pale alipokaa mzee Bisu akasimama kwa heshima zote.

“… Bee baba…”

Mzee Bisu aligeuza shingo na kumuangalia, ghafla alijikuta akikunja uso wake baada ya kugundua kuwa Hasina alikuwa kavaa tena kile kinguo ambacho hakioneshi kabisa mwili wake ulivyo wakati yeye alishajipanga kuongea naye huku akilitizama umbo lile la binti wake wa kazi.

alimuoneshea kwa alama ya kidole huku akimwambia kwa sauti nzito.

“… kaa hapa…” alijikuta akiongea kama kwa jazba baada ya kutokuona kile alichokitarajia.

Hasina alisogea taratibu na kukaa kwenye sofa huku mapigo ya moyo yakimuenda mbio, alikuwa akijiuliza ni kitu gani alichoitiwa kwani hata siku moja hakuwahi kukaa na boss wake huyo kama walivyokaa siku hiyo. alikuwa akihisi labda kuna kosa alilifanya, lakini kila akitafakari kosa lenyewe hakuliona.

Mzee Bisu naye kwa upande wake, alikuwa akitafakari ni jinsi gani aanze kumuingia mfanyakazi wake huyo aliyeupagawisha moyo wake ghafla. baada ya kutafakari kwa muda kidogo akapata ni wapi pa kuanzia.

“… Hasina,..” alianza kuongea huku macho yake yakiendelea kuwa kwenye luninga iliyokuwa mbele yake.

“… bee…”

Hasina aliitikia kwa sauti ya upole.

“… hivi wewe huna nguo nyingine zaidi ya hilo gauni lako?..”

aliuliza swali la kizushi na ambalo hata Hasina kakulitegemea, alijikuta akijitazama, kisha akajibu kwa upole.

“… nguo zingine ninazo lakini sio nzuri pia…”

alijibu Hasina huku akivivunjavunja vidole vyake.

“… ina maana gauni hilo ndo zuri kuliko nguo nyingine zote ulizonazo?…”

“… hapana ziko nyingine zuri kidogo lakini zinanibana…”

Mzee Bisu alikaa kimya kwa muda kisha akajiweka sawa pale kwenye sofa na akawa kama anamsogelea kidogo huku dalili zot zikionesha kuwa alikuwa kajawa na uchu.

“… sasa sikiliza Hasina… kesho nataka twende wote sehemu nikakununulie nguo zuri ili na wewe upendeze sawa?.. maana hii miguo unayoivaavaa sio hadhi yako sawa?..”

aliongea Mzee Bisu kwa sauti ya taratibu na nzito kidogo. Hasina alikubali tu kwa kichwa na huku macho yake yakiendelea kuvitazama vidole alivyokuwa akiendelea kuvivunjavunja.

“… unasikia Hasina, wewe ni msichana mzuri na unatakiwa uvae vizuri ili usichana wako uonekane, usiwe unavaavaa vinguo vichafu kama hivyo wakati wewe ni msichana mzuri na unaishi na sisi, tutaonekana kuwa hatukupendi,.. sawa?..”

Hasina alitabasam na huku akiendelea kukaa kama alivyokuwa na kisha akajibu.

“… sina zingine ndio maana na vaa hivi…”

“… sasa usijali, kesho utakuwa mpya, sawa Hasina?..”

“… sawa baba…”

“… sasa sikia…” aliongea Mzee Bisu huku akiinuka kutoka pale kitini alipokuwa na kumfuata Hasina pale alipokaa, alikaa kwenye mkono wa sofa sehemu ile ya kuwekea mikono kisha akamshika mabegani.

“… sikia,.. wewe… una simu?..”

alimuhoji huku akimpapasa taratibu mabegani.

“… sina…” alijibu Hasina kwa sauti iliyojaa kitetemeshi na huku akiwa na wasiwasi akijiuliza ni nini kimempata Baba huyo mpaka anaanza kumpapasapapasa jambo ambalo hakulitarajia na wala hakuwahi kulifikiria maana siku zote alimuheshimu sana na kumuogopa maana alikuwa sio muongeaji sana.

“… basi kesho ntakununulia na simu… lakini usimuambie mtu yeyote humu ndani sawa?..”

“… sawa…” alijibu kwa kitetemeshi.

“… hata hizo nguo nikikununulia usiseme kama mimi ndo niliyekununulia sawa?.. sema umenunua kwa pesa yako ya mshahara, sawa Hasina..”

“…sawa… “

alijibu tena Hasina na huku akijaribu kuutoa mkono wa Mzee Bisu uliokuwa ukiendelea kumpapasa mabegani kwake…

“… lakini baba mbona unanishika hivyo?..’

alihoji Hasina kwa Hofu huku akianza kuhisi kuwa kuna kitu Mzee Bisu anakitaka kutoka kwake.

Mzee Bisu hakujibu kitu ila aliendelea na kile alichokuwa akikusudia kukifanya, alikuwa tayari ameanza kumpapasa papasa Hasina sehemu za mabegani na huku akiwa anashuka taratibu kuelekea chini.

“… baba,.. baba…”

aliita Hasina huku akiendelea kujitingisha mwili wake ili Mzee Bisu asiendelee kufanya kile alichokuwa akikifanya, lakini Mzee Bisu wala hakuacha na wala hakuitikia mwito wake, na kama aliitika basi sauti ilikuwa ikiishia tumboni bila kutoka nje.

Hasina alipoona Mzee Bisu anaendelea kumpapasa na huku mkono ukianza kuelekea kifuani kwake na bila kuitikia mwito wake, akaanza kujivuta ili asimame.

“… baba mi sitaki hicho unachotaka kufanya…”

ITAENDELEA

Mamdogo Lisa Sehemu ya Pili

Also, read other stories from SIMULIZI;

Leave a Comment