Rayvanny – Wababa Lyrics
LYRICS

Rayvanny – Wababa Lyrics

MP3 DOWNLOAD Rayvanny – Wababa
Rayvanny – Wababa Lyrics

Multi-award-winning artist and Next level boss recently signed under the WCB Wasafi record label Rayvanny released a brand new banger titled Wababa, a number two song from his new extended playlist titled 5 For You Ep.

SIMILAR: Rayvanny – Christmas

Wababa Lyrics by Rayvanny

Wababa … si ndio wababa….
Wababa … Si ndio wababa…
Wababa … sio ndio wababa…
Wababa … si ndio wababa …

Pesa ya kusuka.. Na simu kali … Ama unataka Duka …
au ka gali… ama wapenda kuzunguka Twende nchi za mbali…
ila Beba mafuta huko kuna baridi kali …

Mtu mzima naitwa babe (hela ina balaa hela)
Mvi haionekani (hela ina balaa helaaa)
mubaba naitwa babe (hela in balaa hela) uzee hauonekani (hela ina balaa helaaa)
kweli nakitambi okonko je utanipa ????
(Ntakupa) Sura mbaya ila na hela je utanipa (Ntakupa) Mi mubaba ,
Miaka mia saba , Ukiletaga,
Nazivunja chaga….

Ooooooh hatuongei … Utashoboka mwenyewe …
Meza imenoga vinywaji we jisogeze ulewe….
Hatutongozi we leta namba mwenyewe….
Huduma tutazokupa week utaomba uolewe….
Wababa … si ndio wababa….
Wababa … Si ndio wababa…
Wababa … sio ndio wababa…
Wababa … si ndio wababa …

Masharobaro kazi kujipodoa hela twahonga sisi…
ma slay queen wanatulilia ka mfupa kwa fisi …. Wanapenda tiketi za Dubai na wengine paris ….
Tukiingia bar macho kodo si wanataka pipi…. Ma range kuhonga hatuogopi …
(aaah hatuna baya) Dada kapuku anageuka boss (aaah Hatuna baya)
Tufanye siri siri wife mkorofi….
Piga picha mkono sura usi nipost….

Mtu mzima naitwa babe (hela ina balaa hela)
Mvi haionekani (hela ina balaa helaaa) mubaba naitwa babe (hela in balaa hela)
uzee hauonekani ( hela ina balaa helaaa ) kweli nakitambi okonko je utanipa ????
(Ntakupa) Sura mbaya ila na hela je utanipa (Ntakupa)
Mi mubaba , Miaka mia saba , Ukiletaga,
Nazivunja chaga….

Ooooooh hatuongei … Utashoboka mwenyewe …
Meza imenoga vinywaji we jisogeze ulewe…. Hatutongozi we leta namba mwenyewe….
Huduma tutazokupa week utaomba uolewe….
Wababa … si ndio wababa…. Wababa … Si ndio wababa…
Wababa … sio ndio wababa…
Wababa … si ndio wababa …

Nipe uno la wazee, lakipedeshee…Nipe uno la wazee Watoto wazuri wakushobokee….
Nipe uno la wazee… lakipedeshee…
Nipe uno la wazee watoto wazuri tu wakushobokee

Rayvanny – Wababa Mp3 Download

Other related tracks from Rayvanny;

Leave a Comment