Alikiba Ft Sabah Salum – Yalaiti Lyrics
LYRICS

Alikiba Ft Sabah Salum – Yalaiti Lyrics

MP3 DOWNLOAD Alikiba Ft Sabah Salum - Yalaiti
Alikiba Ft Sabah Salum – Yalaiti Lyrics

Tanzanian singer-songwriter, footballer, and the owner of Kings Music label, Ali Saleh Kiba, better known as Alikiba came back with a new wonderful song titled, Yalaiti Featuring Sabah Salum.

SIMILAR: Alikiba & Tommy Flavour – Huku

Yalaiti Lyrics by Alikiba Ft Sabah Salum

Yeaaap

Naona raha, kukuona aah nafsi yangu inafurahika
Majeraha nimeshapona aah hivi sasa moyo wangu
Umehimarika aah maana umenituliza hayuni iii
Kwa raha zako na sazaa, Sijui niseme nini iii
Napewa vya kila Ladha, Oooh nikeshe na wewe
Tukiambizana, nikeshe na wewe tukiliwazana
Nikeshe na wewe Tukiambizana nikeshe na wewe
Tukiliwazana

Yalaiti “yooh”yalaiti yalaitii yalaiti “yalaiti Ningejua mapema”
Yalaiti “Aaah”yalaiti yalaitii yalaiti “yalaiti Ningejua mapema”
Aaah Ooah aaah aaaaaih yalaaiti yalaa aaah

Siri yangu yako wewe, Siri yako yangu mimi
Mwili wangu wako wewe, mwili wako wangu mimi
Amina Rabbi amina mimi kwako hali sina umenizidi
Hekima mi nasitirika, nikeshe na wewe
Tukiambizana, nikeshe na wewe tukiliwazana
Nikeshe na wewe Tukiambizana nikeshe na wewe
Tukiliwazana

Yalaiti “Oooh”yalaiti yalaitii “yalaiti Ningejua mapema”
Yalaiti “Oooh aah”yalaiti yalaiti mmh yalaiti “yalaiti Ningejua mapema”

Amina Rabbi amina mimi kwako hali sina umenizidi
Hekima mi nasitirika,
Oooah amina Rabbi amina mimi kwako Siri sina umenizidi
Hekima mi nasitirika aa

Alikiba Ft Sabah Salum – Yalaiti Mp3 Download

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment