Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe Lyrics
LYRICS

Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe Lyrics

MP3 DOWNLOAD Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa - Nasema Nawe
Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe Lyrics

A top Tanzanian recording artist and WCB Wasafi serial hit sing maker, Boss Diamond Platnumz a.k.a Simba, came through will a new released song titled Nasema Nawe, Featuring Queen of Taarabu Tanzania Khadija Omary Kopa famous as Khadija Kopa.

SIMILARDiamond Platnumz – Kamata

Nasema Nawe Lyrics by Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa

Hallooooo… weweweaah… aah kutwa viguru njiani
Majirani wote wamekuchokaa
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usio kaa
Washinda vibarazani vya wenzako kuropoka
Ukome mwana fulani ona uso ulivyo kukoboka

Sio mwisho vibaoni hadi kwenye vigodoro
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wee haujioni kuwa una kasoro
Usio mchana jioni si wa juzi si tomorrow

Sio mwisho vibaooni kwenye vigodoro
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wee haujioni kuwa una kasoro
Usio mchana jioni si wa juzi si aah

Nasema nawe (nasema nawe) nasema nawe (nasema nawe)
Nasema nawe (nasema nawe) usio haya nasema nawe
Umezoea (nasema na wewe) chezea chezea (nasema nawe)
Umezidi (nasema nawe) zizi, zidi (nimechoka nasema nawe)

Huna haya ka kibakuli cha vumba
Popote unajitokeza babu eee haa we kichoji tu
Unaingia kwenye kundi la ninga utachanika mabawa

Hmmm ah zingifuli zingifuli ungezinga mahala ukakaa
Usio mila desturi usio jua tongozwa ukakataa
Usio hiyana fedhuri uongo umekujaa

Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechaka aga
Mwenzako mi ni turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokali la nguvu pakarata

Lile hodari maguvu si kwasa kwasa
Ooh mwenzako mi ni turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si hozakoza aah

Nasema nawe (ona wewe) nasema nawe (nawe)
Nasema nawe usio haya nasema nawe (na wewe)
Nasema na wewe nasema nawe (na wewe)
Nasema nawe nimechoka nasema nawe

Umezoea (nasema na we) chezea chezea (nasema nawe)
Umezidi (nasema nawe) zidi (usio haya nasema nawe)
Nasema na wewe nasema nawe ooh nasema nawe
Nimechoka nasema nawe

Wewee umejifunza ngumi leo wataka upigane na Tyson? Haah
Ale kata kata kakata katika si kata oh teteme teteme (kata)
Wenye kusema waseme (kata) ale kata kata kakata katika si

Kata kiuno chako mwenyewe (kata) mola amekupa wewe (kata)
Tena vya kili kilali (kata) nipe vya bara na pwani (kata)
Vile vya nje na ndani (kata) tumkomeshe fulani (kata)
Tena

Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe Mp3 Download

More hits songs from Diamond Platnumz;

Leave a Comment