Mzee wa Dodo Sehemu ya Kwanza
CHOMBEZO

Ep 01: Mzee wa Dodo

SIMULIZI Mzee wa Dodo
Mzee wa Dodo Sehemu ya Kwanza

IMEANDIKWA NA: ALLY MBETU “DR AMBE”

*********************************************************************************

Chombezo: Mzee Wa Dodo

Sehemu ya Kwanza (1)

Tumu aliingia chumbani kwake akiwa na hamu na mkewe baada ya kutoka kuoga pamoja na yeye kumwacha akijipaka mafuta na kutoka nje mara moja baada ya kuitwa na jirani yake. Akiwa katika mazungumzo akili yake yote ilikuwa kwa mkewe kwa kuamini siku ile hamu yake ya muda mrefu kupata penzi la ushirikiano

Alipoingia ndani alimkuta mkewe amelala bila kitu mwilini na macho yake kutua kwenye mahaba yake kwenye kilima kilichokuwa nyuma ya mkewe ambacho kwake kila alipomtazama mwili ulimsisimka. Alifunga mlango na kuondoa taulo iliyokuwa imenyanyuliwa chini kama mkonga wa gari la kubeba vitu vizito.

Alipanda kitandani na kumtikisa mkewe ili wafanya maandalizi kabla ya mchezo. Ajabu mkewe alionekana tayari kapitiwa usingizi mzito na kuanza kukoroma kuonesha amechoka sana na kazi za kutwa nzima. Yeye hamu zilikuwa juu lakini ndiyo hivyo mkewe ambaye kama kawaida alikuwa halali na nguo alikuwa ameisha pitiwa usingizi.

Kutokana na Mungu kumjalia maumbile ya utata hasa alipolalia tumbo Tumu alikuwa kwenye wakati mgumu kwani kila jicho lilipotua kwenye tuta alijikuta kwenye hali mbaya na alipomsogelea na kukutana na joto la asili hapo ndipo usingizi ulipokimbia kabisa na kuhitaji hata mguu wa jini ili alale bila hivyo mzee mzima aliteseka.

Kila alipomtikisa mkewe aliponekana yupo kwenye usingizi mzito, alimtikisa ili amsadie katika kulitafuta chozi moja kwani raha ya wimbo kuimba kwa kupokeza siyo kuimba peke yako. Alimtazama mkewe kwa jicho la uchu lakini tabia za kila siku kujipakulia na kula kisha aondoe vyombo aliiona kama inamnyima raha ya ndoa.

“Bebi..bebi..” Tumu alimtikisa mkewe aliyekuwa hakitambua japo kitanda kilikuwa sita kwa sita. Lakini kitanda chote alikimbaliza yeye miguu na mikono ilikuwa imetawanyika kuonesha amechoka sana kama alikuwa akifua vyuma. Aliendelea kumtikisa ili aamke alie chozi moja la ushirikiano alichoka kila siku kujifanyia self service.

“Mke wangu… Mama Maneno,” Tumu aliendelea kumwita mkewe aliyekuwa akikoroma.

“Mmh,” mkewe aliitika bila kuamka.

“Amka basi.”

“Mume wangu jamani nimechoka.”

“Sawa najua umechoka lakini nami nina haki kama mumeo.”

“Haki gani tena mume wangu?”

“Ya ndoa.”

“Mume wangu lini nimekunyima haki yako?” mkewe alimuuliza akiwa bado amelalia tumbo.

“Unanipatia lakini ya kunisusia.”

“Mume wangu si unajua kazi zangu nachoka sana?”

“Najua lakini na mimi mumeo nina haki ya kufurahia ndoa kwa kupata ushirikiano wako.”

“Mume wangu kila siku nakuachia ule utakavyo sijawahi kukubania kwa vile najua ni haki yako.”

“Unaniachia au unanisusia mpenzi gani nakuwa kama nafanya mapenzi na maiti.”

“Usiseme hivyo mume wangu maiti haina joto la kukufanya ufike safari yako.”

“Mke wangu raha ya mapenzi ni ushirikiano si kuniachia peke yangu,” Tumu alimlalamikia mkewe.

“Basi mume wangu nitajitahidi kukupa ushirikiano,” mkewe alisema huku akijigeuza mkao wa kula.

Tumu aliyekuwa na uchu wa fisi hakuchelewa aliruka mchupo wa mkizi, mwanzo wa mchezo mkewe alijitahidi kuonesha ushirikiano ambao ulimfanya Tumu aufurahie usiku ule. Kila muda ulivyokwenda mkewe kupitia raha ya safari usingizi ulimpitia na kurudi hali ya siku zote ya Tumu kuimba bila ushirikiano.

Mpaka anafika safari mkewe alikuwa akikoroma, hali ile ilizidi kumuumiza sana Tumu na kuiona ndoa yake imekosa furaha. Kazi kwa mkewe imekuwa kila kitu kufikia hatua ya kuiona kazi kama ndiye mumewe. Raha ya ndoa aliipata mwanzo mpaka wapopata mtoto na kupata msichana wa kazi.

Basi kazi zote za ndani alimuachia msichana wa kazi mpaka kumlea mtoto, ikawa yeye na kazi, kazi na yeye. Kila aporudi usiku kutoka kazini aliulizia hali ya mtoto kama amelala hakuwa na shida ya kumuona alioga na kula kisha alipanda kitandani mpaka kesho yake kuwahi kazini.

Tumu alipotaka haki yake ya ndoa mkewe alimsusia afanye mambo yake bila ushirikiano mkewe akiuchapa usingizi wa kazi za kutwa. Tumu kila alipomaliza alimfunika mkewe na yeye kujilaza.

Siku ile nayo ilikuwa kama siku zilizopita, alinyanyuka baada ya shughuli ya upande mmoja, alimuangalia mkewe aliyekuwa kwenye usingizi mzito moyo ulimuuma na kupoteza hamu ya mapenzi na mkewe kutokana na kukosa ushirikiano. Alikwenda msalani aliporudi alimfunika mkewe na yeye kujilaza upande wa pili akiwa hana raha ya ndoa kabisa.


Snura mke wa Tumu baada ya kumaliza elimu yake ya chuo kikuu alikuwa na ndoto za kupata mume mzuri chaguo la moyo wake, ombi lake lilitua kwa Tumu kijana mfanya biashara mwenye fedha za kubadili mboga. Ndoto yake ya pili kupata kazi kulingana na elimu yake, dua yake nayo ilipokelewa na kupata kazi katika benki kubwa nchini.

Mwanzo wa ndoa yake mapenzi yalikuwa motomoto kitu kilichomchanganya akili Tumu kwa kujiona sawa na kuokota dodo chini ya mkorosho. Snura pamoja na kuwa na umbile la kuvutia hakuwa mvivu mnapoamua kupimana kifua, kwake ilikuwa mpaka mkwezi useme bhaaaas ndipo akuruhusu uteremke kwenye mnazi wake.

Baada ya kujifungua mtoto mmoja na kuwa na msichana wa kazi aliyefanya kazi zote na yeye kuanza kuongezewa majukumu ya kazi taratibu

alijikuta akibadilika kutokana na kuzidiwa na kazi na kumfanya arudi nyumbani usiku amechoka sana kiasi cha kushindwa kukidhi haja za mumewe.

Kutokana na kurudi amechoka sana na uwezo wa kufanya mapenzi na mumewe wake akiwa macho hakuwa nao alimuomba mumewe kama ameshikika basi amtegeshee yeye ajilie tani yake kama nyani aliyelikuta shamba lisilo na mwenyewe.

Mwanzo mumewe alipokuwa akisusiwa kutokana na uchu na umbile la mkewe lisilo isha hamu. Aliona kawaida alijihudumia mwenyewe kisha alimwaga mzigo na humfunika mkewe na yeye kujilaza. Mwanzo alijua hali ile ni ya muda lakini kumbe iligeuka kuwa mazoea kwa mkewe kila siku kurudi amechoka na kumuachia ajilie, penzi lililokosa ushirikiano na kujiona kama anabaka au kufanya mapenzi na maiti.

Tumu tabia za mkewe zilikuwa zikimkera sana kiasi cha kumkosesha raha na kutoona faida ya kuoa mwanamke anayefanya kazi. Kwa vile nyumbani mkewe alikuwa akirudi muda mbaya aliamua kumfuata kazini muda wa chakula cha mchana. Alimuomba kwa dakika kumi japokuwa hata hizo mkewe aliona kama anachelewa kufanya kazi zake. Lakini alikubali kwa shingo upande ili asimuuzi mumewe.

Wakiwa wanapata chakula cha mchana kwenye hoteli ya karibia na ofisi, Tumu alimweleza mkewe kinachomkosesha raha kwenye ndoa yao.

“Mke wangu najua unanipenda sana, lakini hivi hali hii itaendelea mpaka lini?”

“Mume wangu naomba uvumilie kwa kipindi hiki kifupi, matunda yake ni makubwa kuliko mateso ya muda huu.”

“Sawa lakini basi angalau hata mara moja kwa wiki nami nijue nina mke. Kila siku unachoka na sasa hivi mpaka jumapili ipi ni siku yangu kama mumeo?” Tumu alizungumza kwa unyonge.

“Najua kiasi gani ninavyokunyima raha mume wangu, lakini kama nilivyokuambia vumilia muda si mrefu nitakuwa meneja wa kanda, kazi zangu zitapungua nina imani zile raha za mwanzo zitarudi.”

“Mpaka lini?”

“Kipindi hiki cha mahesabu ya mwisho wa mwaka na kuandaa mipango ya mwaka ujao tupo bize sana na wafanyakazi wenye uwezo wa kuifanya hiyo kazi tupo wawili tu mi na Edna.

“Kama kazi itaisha vizuri tumeahidiwa kuwa mameneja wa kanda, mshahara juu na marupurupu kibao huoni mume wangu tutapiga hatua!” Snura alimweleza mumewe huku akimtazama jicho la kike.

“Mmh! Haya basi jitahidi mke wangu hata mzunguko mmoja uwe macho baada ya hapo ruksa kulala.”

“Mume wangu nitajihahidi ila huwezi kuamini uchovu na raha unazonipa hujikuta nimepitiwa usingizi katika raha ndani ya raha.”

“Jitahidi mke wangu nakupenda sana.”

“Hata mimi nakupenda ndiyo maana nimekuwa siku zote muaminifu katika ndoa yetu.”

“Basi mke wangu nisikucheleshe kazi, nashukuru kwa kuitikia wito wangu.”

“Nashukuru Mume wangu leo nimejisikia raha ajabu, nina imani nitafanya kwa furaha.”

Baada ya mazungumzo Tumu aliachana na mkewe na kwenda kwenye mihangaiko yake.

Mkewe alirudi ofisini na kuendelea na kazi, lakini muda mwingi alikuwa mtu mwenye mawazo mengi. Kitendo cha mumewe kumfuata kazini kutoa dukuduku lake ambalo nyumbani aliisha mweleza aliamini linamkosesha raha kwa kiasi kikubwa.

Kazi aliipenda na mume naye alimpenda sana, hakupenda kupoteza chochote katika vyote. Shoga yake wa karibu Edna alimgundua shoga yake yupo kwenye hali si ya kawaida.

“Snura?” alimwita baada kumuona yupo kwenye dimbwi la mawazo.

“Abee shoga,” aliitikia huku akijitahidi kutengeneza tabasamu la uongo.

“Upo sawa?”

“Ndiyo, kwani vipi?”

“Si uliniambia shemu amekuja?”

“Ndiyo.”

“Mi’ nilijua leo utakuwa na furaha kupata chakula cha mchana na mumeo.”

“Ni kweli katika siku ambayo moyo wangu umekuwa na furaha ni leo.”

“Sasa mbona kama umepoteza kitu usoni nilichokizoea?”

“Ni kweli, nina mtihani ambao nina imani unaikosesha amani nyumba yangu.”

“Mtihani gani tena?” Edna aliuliza huku akimkazia macho Snura.

Snura alifunguka kwa shoga yake malalamiko ya mumewe. Edna baada ya kumsikiliza shoga yake kwa makini alimjibu.

“Shoga kwanza pole.”

“Sijapoa kwa vile sijapata ufumbuzi.”

“Hilo tatizo inawezekana hata kwangu lipo ila mume wangu sijamsikia analalamika.”

“Mna muda gani hamjakutana?”

“Huwezi kuamini mwezi wa pili sasa.”

“Ha! Mnalalaje?”

“Kitanda kimoja, kwa vile huwa narudi nimechoka na nilimweleza nipo bize kwa sababu gani amekuwa muelewa.”

“Mmh! Mi wa kwangu ni muelewa lakini anataka hata siku moja lipigwe gemu live. Kama nilivyokueleza kutokana na uchovu wa kila siku akianza tu kupiga kasia, raha ninazozisikia basi zinanibembeleza na kujikuta nashtuka asubuhi na kujikuta nimetumika bila kujua nimelala saa ngapi.”

“Basi shemu anatakiwa kuwa mvumilivu, tena ana bahati unamtengea ajilie, mi jamani nikichoka huwa sitaki usumbufu. Mwenzangu tulichoahidiwa kikubwa umeneja wa kanda si masihara.”

“Sasa ndo unanishauri nini?” Snura alihitaji msaada wa shoga yake.

“Kwa vile bado miezi minne mwambie avumilie, mvumilivu hula mbivu.”

“Nitajitahidi kumwambia, naumia sana mume wangu anapokosa furaha ya ndoa.”

“Mweleze avumilie, nawe basi jitahidi kumridhisha siku mojamoja.”

“Hilo neno leo iwe isiwe patachimbika lazima nikomae naye.”

“Sasa sikiliza baadhi ya kazi zako nitazifanya mimi ili itimize lengo lako leo.”

“Nitashukuru, mbona mtoto wa kike leo atanitaja jina langu la utotoni,” Snura alijitapa.

“Hayo ndiyo maneno.”

Waliendelea na kazi huku wakicheka kwa pamoja.


Snura alijitahidi kuwahi nyumbani, alipofika alioga na kula chakula kisha aliagiza red bull na kuinywa taratibu kurudisha nguvu akimsubiri mumewe kwa hamu kubwa.

Kama kawaida alichukua CD ya blue print na kuanza kuuangalia mkanda wa weusi watupu ambao ulimpandisha mzuka na kuona mumewe anachelewa kwani siku ile alipania mchezo kuhakikisha mumewe anapoza machungu ya muda mrefu ya mkewe.

Baada ya kumuona anachelewa naye ndo kila dakika zilikuwa zikipanda na bwawa lilitishia amani kumwaga maji nje. Alitamani kumpigia simu lakini siku ile hakutaka kumshtua alipanga kufanya surprise. Akiwa katikati ya mawazo ya kumwaza mumewe. Mlango ulifunguliwa na kumfanya mumewe ashtuke kumkuta mkewe amevaa mavazi ya utata huku akiangalia mkanda wa kuyashtua mashetani.

Tumu alishtuka kumkuta mkewe amewahi kurudi tena kwenye hali ile ambayo ilimuonesha kuna kitu.

“Vipi mke wangu leo mapema?”

“Kwani vipi?” Snura alisema kwa sauti ya mbano huku akimsogelea mumewe ambaye macho yaliyokuwa yamemtoka kama kaona meli barabarani.

Snura alitoa nguo za mumewe moja baada ya nyingine na kumfanya awe kama kuku aliyenyonyolewa manyoya. Akamshika mkono hadi bafuni na kumwagia maji kisha akarudi naye kitandani.

Kwa vile tayari tui lilikuwa nimekolea nazi, alipofika kitandani alimparamia mumewe kama komba mzofu kwenye mnazi. Hakuchelewa kukichemsha chombo antena ikawa juu si unajua tena kwa Tumu ilikuwa kama surpise aliyofanyiwa na mkewe bila kujiandaa.

Wakakivuta chombo mpaka katikati ya maji kisha wakakidandia. Tumu pamoja na kuwa mzoefu na bahari ile lakini siku ile alijiona mgeni wa chombo kila kitu alichofanya alionekana anakosea.

“Bebiii vipi?” Snura alimuuliza mumewe baada ya kuonekana ana papara nyingi.

“Kwani vipi?’

”Mbona kama unakimbizwa, hizi ni zako zabibu kula taraaatiibu,” Snura alimtoa hofu mumewe.

“Sawa Mpenzi.”

Tumu alijikuta akitumia nguvu sana kupiga kasia na kumfanya awahi kuiona pwani kitu kilichomuudhi sana Snura.

“Tumuuu! Unafanya niniii?”

“Hata sielewi nimejitahidi kufunga bleki lakini chombo kimeteleza na kwenda kugota ukingoni.”

“Tumu usinichezee kabisa nimeacha kazi zangu kwa ajili ya kazi hii.”

“Wacha basi nipumzike tutaendelea.”

“Aah! Wapi,” Snura alisema huku akiishika shingo ya kuku na kukuta kuku hajakata roho vizuri alimgeuza mumewe huku akisema.

“Tumu usinitanie, nikachie kazi hii,” alisema akiwa bado kamshika kuku shingo.

“Bebi acha atulie hajafa huyo amesinzia tu.”

“Aaah, wapi! Hawaaminiki hawa, lazima nimuwahi anaweza kunifia mkononi nami ndo kwanzaaa!” mtoto wa kike alisema akikalia shina la muhogo na kuliona bado lina nguvu. Hakusubiri kuwambiwa endesha alikivutia chombo kwenye maji na safari ilianza. He! Kumbe kuku alikuwa kweli amesinzia mchicha alipoanza kukuolea nazi aliwika bila kuangalia muda na kumfanya Snura azidi kuchanganyikiwa kwani mpinzani wake alikuwa amekaa kona aliyokuwa akiitaka.

Tumu naye hakutaka kuonekana hawezi kwani ugomvi aliutafuta mwenyewe hivyo kupigwa ingekuwa aibu. Aliamini kulegea kwake kutampa pointi mkewe ya kumdharau, hivyo naye aligangamala kuhakikisha analinda heshima yake. Tumu alirudi mchezoni ikawa piganikupige hakuna aliyekubali kurudi nyuma mashambulizi yalikuwa mbele kwa mbele. Kama kingekuwa chuma kingetoa cheche za moto.

Taratibu Tumu alianza kumpata sawasawa mkewe ambayo siku nyingi alikuwa hajapata kucha fupi zenye kukuna kwa raha isiyo karaha na kugeuka utamu usoisha hamu.

“Haki ya Mungu naacha kazi,” mkewe alianza kulia huku akikata mawimbi na shetani wa mahaba alikuwa kesha mpanda kichwani.

“Kwa nini mke wangu uache kazi?” Tumu alimuuliza huku naye akipiga kasia taratibu ngoma ukifuata mdundo.

“Ha..ha..pana mi..mi naacha kazi,” Snura alig’ang’ania,

“Meneja kakuudhi?”

“Hapana.”

“Kakutongoza?”

“Hapana.”

“Edna, kakuudhi?”

“Hapana.”

“Kuna mwanaume anakutongoza?”

“Hapana mume wangu.”

“Sasa kwa nini unataka kuacha kazi mke wangu?”

“Naacha tu mume wangu, haiwezekani!”

“Niweke wazi basi mke wangu tatizo nini?”

“Hunipendi mume wangu,” Snura alilalamika huku akifuata mawimbi kwenda juu na chini huku nyoga ukichukua nafasi mikono kichwani kama kapagawa.

“Mimi?” Tumu alishtushwa na maneno ya mkewe.

“Ndiyo, unipendi.”

“Kwa sababu gani?”

“Kumbe siku zote ulinipaka shombo.”

“Shombo?” Tumu alishtuka.

“Ndiyo, leo ndiyo nimemla samaki mwenyewe.”

“Samaki?”

“Ndiyo mume wangu, mbona siku zote hukunipa mapenzi matamu kama haya. Unasubiri mpaka nikuudhi ndipo unipe. Basi mi naona bora niache kazi nisizikose raha hizi.”

“Hapana mke wangu, fanya kazi mi nipo. Siku moja moja kama leo patakuwa panachimbika bila jembe.”

Tumu alisema huku akibadili mfumo toka pasi nyingi na kutumia mtindo chekeche yaani pasi ndefu mbio na krosi ambazo zilizidi kumchanganya mkewe.

“Tuuumu, o..o..ona sasaa, na..na..a..a.chiiii!”

Ooh! Maiwee, kumbe Snura alikuwa ameiona pwani na kutulia kukiacha chombo kiende taratibu kwenda kugota ukigoni.

“Asante mume wangu,” Snura alishukuru huku akimuangalia mumewe mara mbilimbili asiamini kilichompata muda mfupi uliopita.

“Nawe asante mke wangu.”

“Naweza?”

“Tena sana,”

“Mmh! Muongo.”

“Kweli mke wangu ukiamua mtoto hatumwi dukani.”

“Hata wewe leo umeniweza sijawahi, mbona hukunipa siku za nyuma?”

“Raha ni zilezile sema ulizikosa kwa muda mrefu na ulikuwa na hamu nayo lazima iwe tamu.”

“Asante mpenzi, mmmwaaa,” Snura alibusu mumewe huku akimvutia kifuani kwake walikumbatiana na kujikuta wakipitiwa usingizi wakiwa wepesiii,

Siku ile ilikuwa zaidi ya siku ya fungate. Kila mmoja aliliona penzi kama limezaliwa upya.

Siku ya pili Snura alikwenda kazini akiwa amechoka sana, siku hiyo kazi ilimshinda kila alipogusa kazi, dakika mbili alipitiwa na usingizi mpaka alipoamshwa na shoga yake Edna.

“Snura..Snura.”

“A..a..bee.”

“Jamani pole.”

“Asante shoga, yaani hata sijui siku ya leo itakuwaje, ndo maana huwa sipendi kitu kama hiki.”

“Shoga mbona kitu cha kawaida tu, siku moja moja siyo mbaya.”

“Shoga bosi atokee hapa unafikiri kuna usalama? Atajua nilikuwa namridhisha mume wangu?”

“Ayajue yote hayo ya nini?”

“Nitamwambiaje?”

“Ukiuliza utasema unaumwa, kwani wewe chuma huumwi? Hata chuma kinapata kutu.”

“Mmh! Wee acha tu, unafikiri kama kila siku si mtu unafukuzwa kazi.”

“Shoga wala usihuzunike sana, kazi za leo nitakusaidia. Fanya unazoweza ukichoka jilaze mi nitafanya peke yangu, usingizi ukiisha utaendelea na kazi. Najua leo kwako kesho kwangu wala usiwe na wasi.”

“Mmh! Nashukuru shoga yangu.”

Snura aliyekuwa amechoka sana alitoa kitenge kwenye mkoba na kutandika chini kisha alijilaza.

Edna alimwangalia shoga yake aliyekuwa amejilaza kwa kujiachia, kuonesha usiku wa kuamkia siku ule palichimbika bila jembe na kutamani naye usiku wa siku ile alianzishe kwa mumewe.

Baada ya kazi Snura alirudi nyumbani baada ya kuoga na kula aliwahi kitandani hakuwa na hamu ya kitu chochote kwa siku ile. Usiku ulipofika hakuna mtu aliyekuwa na hamu na mwenzake kila mmoja alimpa mgongo mwenzake, japokuwa baada ya kugusana kidogo Tumu alitaka kuomba angalau chozi la mnyonge.

Lakini siku ile mkewe alionekana amechoka sana hivyo ingekuwa usumbufu. Aliiacha siku ile ipite huku akiifurahia jana yake ambayo kwake ilikuwa historia ya ndoa yao.


Baada ya kumkata kiu mumewe Snura aliendelea na kazi zake huku zikiwa zimeongezeka zaidi baada ya Edna kuugua ghafla. Hivyo kumfanya afanye kazi kwa kipindi kirefu na kurudi nyumbani muda mbaya sana ambao mumewe na mwanaye huwa wamelala. Msichana wa kazi ndiye aliyekuwa na jukumu la kumsubiri tajiri yake na kumwandalia chakula.

Kutokana na wingi wa kazi za mkewe Tumu alijikuta akirudia tabia yake ya kujipakulia na kula bila ushirikiano na mkewe. Alijikuta akipenda kutazama sana CD za blue print ili kumpa mzuka wa kwenda kulianzisha kwa mkewe.

Kila siku ilikuwa lazima abakie sebuleni peke yake kuangalia mkanda ule na akitoka hapo beki ya kwanza kwa mkewe. Mchezo ule ulikuwa kila alipojisikia hamu ya kufanya mapenzi na mkewe lazima aweke mkanda ule kisha ndipo akaliazishe.

Siku moja alijisahau na kuondoka bila kuzima tivii na kuwahi chumbani. Msichana wa kazi alitoka usiku kwenda msalani alipofika sebuleni alishtuka kuona picha ambayo hakuwahi kuiona katika maisha yake.

Alikwenda msalani haraka na kurudi sebuleni kuangalia, alijikuta akivutia huku akihamishiwa katika dunia nyingine kabisa. Bila kujielewa mkono mmoja alishuka bondeni na mwingine aliziminya dodo zake changa zilizojaa kifuani sawa bin sawia.

Alijikuta akisafiri na mchezo uliokuwa ukichezwa naye bila kujitambua alikuwa amedondosha kanga na kubakia kama kuku anayesubiri kuingizwa kwenye kalai la mafuta ya moto.

Kwa vile mchezo ule alikuwa akiujua alijikuta akifika pwani bila kujijua na kupiga kelele baada ya kuangukia banda la kuku na kuvunja yai moja.

Alijilaza chini kuvuta pumzi ili arudi chumbani kwake kulala. Chumbani Tumu akiwa amemaliza kushusha mzigo mawazo yake yalimtuma kama hakuzima deki.

Alitoka haraka akiamini msichana wa kazi hajatoka kwenda msalani. Alipofungua mlango, msichana wa kazi alishtuka alijinyanyua chini ili awahi chumbani. Alipotaka kuelekea chumbani alikumbuka ameacha kanga, alipotoka kuirudia Tumu alikuwa amefika aligeuka na kutimua mbio kuwahi chumbani kwake akiwa hana kitu mwilini na kumfanya Tumu afaidi umbile la msichana wake wa kazi live.

Binti wa kazi naye hakuwa si haba, Mungu alimpendelea kiumbile kidogo lakini chenye utata mtupu. Hakuwa na makalio makubwa sana ila kiuno cha dondola kiliyafanya naonekane vizuri na kumfanya mwanaume rijali kuyatamani.

Kifuani alikuwa na dodo zilizojaa kama embe nyonyo ambazo hazitakiwi kuliwa kwa kisu bali kunyonywa tu, ukitumia kisu utakuwa amefanya kosa la jinai.

Siku zote umbile lile Tumu aliliona ndani ya kanga nyepesi hasa anapotoka kuoga, lakini moyoni alimlaani shetani na kuona kutembea na msichana wa kazi ni aibu pia uchafu hakuwa na hadhi ya mkewe hivyo angejishushia hadhi yake.

Lakini siku ile alijikuta akipandwa na mzuka baada ya kuliona umbile tamu la binti yule. Aliamini mtu wa kushusha hasira zile ni mkewe alirudi tena ndani kwa mkewe kumaliza hasira zake japo mchezo ulikuwa wa upande mmoja.

.

Siku ya pili wakati Tumu anajiandaa kwenda kazini alikutana uso kwa uso na msichana wa kazi, ambaye alionekana mwenye aibu na sana tofauti na siku zote.

“Shikamoo shemeji,” alimwamkia huku akitazama pembeni.

“Marahaba, vipi?”

“Ha..ha..pana,” alijibu huku akielekea msalani akiwa katika vazi la kanga moja.

Tumu alijikuta akimsindikiza kwa macho mpaka alipopotea. Alijikuta akimwona msichana wa tofauti na alivyomzoea siku ile alikuwa kama embe dodo lililoiva juu ya mti na kunukia. Alisisimkwa alipoliangalia umbile kwa mara nyingine likiwa ndani ya kanga nyepesi japo alivaa nguo ya ndani na kulikumbuka aliloliona jana yake likiwa halina kitu.

Kwa vile alikuwa ameisha jiandaa kwenda kazini alikunywa chai iliyokuwa imeandaliwa juu ya meza ili aondoke zake.

Alishangaa siku ile msichana wa kazi kuwa na aibu kupindukia. Mpaka anataka kuondoka hakumuona ilibidi amwite ili amuachie maagizo.

Ajabu alipomwita alikuja akiwa na aibu huku amevaa gauni na kuzifanya dodo zake kifuani zionekane vizuri. Huku akimtazama kifuani alimuuliza.

“Teddy vipi?”

“Sa..sa..mahani shemu.”

“Ya nini Teddy?” alimuuliza kwa sauti ya upole.

Teddy alishindwa kusema alibakia kuuma kucha huku ameangalia chini. Tumu aligundua pengine ni kutokana na kuangalia mkanda wa pilau ambao aliusahau kuuzima. Alimtoa hofu huku akimshika mgongoni kwa kuutembeza mkono taratibu.

“Teddy ya jana achana nayo, sawa mke wangu?” Tumu alipenda kumwita mkewe kutokana na kumwita Snura dada pia kulea mtoto wake ambaye siku zote alimwita mama.

Teddy alisisimkwa mwili baada ya kupata joto la shemeji yake lilimwingia barabara na kumfanya ahisi raha ya ajabu huku bomba la chini likijifungua na kumwaga maji. Alijikaza ili asijulikane yupo kwenye hali gani, kwani alifumba macho na kuliacha bomba limwage maji mepesi.

“Aiishii…a..a..asante mu..mu…shemeji.”

“Nini?” Tumu alishtuka na kumuuliza, baada ya kumuona Teddy ametulia kwa muda akiwa amefumba macho na kushusha pumzi ndefu.

“Aah! Basi tu,” Teddy alijibu akiwa ametizama chini, hali ile ilimshtua Tumu, aliamini Teddy mambo ya kikubwa anayajua.

“Teddy bwana,” Tumu alisema huku akimpiga kofi jepesi shavuni.

“Mmh!” Teddy aliguna tu na kuangalia pembeni hakutaka kukutanisha macho na shemeji yake.

“Teddy nini mbona hivyo?”

“Hakuna kitu shemu.”

“Hebu niangalie,” Tumu alisema huku akimtazama usoni.

Teddy alijitahidi kumtazama kwa shida, jicho lake lilikuwa limelegea lililohitaji msaada. Tumu aliamini pale shetani alikwisha sogea hivyo akimwendekeza angeingia katika majaribu yaliyomshinda baba yetu Adamu.

Ilibadili mada haraka ili aondoke zake.

“Asante kwa chai.”

“Asante kushukuru,” Teddy alijitahidi kujibu sauti ya kawaida, lakini ilikataa na kuonekana kama anatafuna kitu.

“Ulisema nini kimepungua kwenye mahitaji muhimu?”

“Mayai ya kienyeji kwa ajili ya uji wa mtoto, maziwa ya kopo na pambasi.”

“Okay, nitavileta jioni.”

Tumu alitoka kuwahi kazini na kumwacha msichana wa kazi akiwa bado amesimama. Alihisi kumejichafua baada ya kupapaswa na tajiri yake. Alikimbilia bafuni na kujiangalia, alikuta amejivunjia yai la bata lenye ute mwingi.

Alijiswafi na kujikuta akitamani na yeye tamu ya mwili. Toka alipofika ulikuwa ukikatika mwaka wa pili bila kumjua mwaname. Mara ya mwisho alikumbuka alikutana na mwanaume wake wa kijijini usiku wa kuamkia siku ya safari aliyelala kwake mpaka asubuhi.

Tokea hapo alikuwa hamjui mwanaume hasa kutokana na nyumba aliyoikuta kuwa ya watu wanaojiheshimu. Japokuwa tajiri wa kiume alimwita jina na mkewe, lakini yeye alimuona kama baba yake mzazi, alimpa heshima zote.

Lakini jana yake alivyokuta picha ya watu wakipeana raha, alijikuta akiamsha mashetani yake na mtu wa kuyashusha hakuwepo. Baada ya kuoga alirudi kuendelea na kazi zake kama kawaida. ****

Tumu kama aliendelea na tabia zake za kutazama mkanda wa pilau kila alipopata hamu ya kukutana na mkewe ili kupata stimu ya kulianzisha, Siku moja akiwa mjini alinunua mkanda uliokuwa umeandikwa kiswahili BANDIKA NDANDUA na maneno mengine Shughuli mtindo mmoja. Mkanda ule ulimvutia usiku kama kawaida alimwacha mkewe amelala na kutoka sebuleni na taulo bila nguo ya ndani alikuwa ametoka kuoga.

Alipokuwa akiangalia mkanda ambao kweli ulikuwa mtoto hatumwi dukani. Mkono ulikuwa umeshika mnazi, raha zilivyokuwa zikikolea naye alijisahau na kuupanda mnazi wake kwa mikono.

Kelele za mwanamke aliyetandikwa bakora balabala, zilimchanganya na kujiona kama yeye ndiye aliyekuwa akimchapa yule punda aliyetoa kilio cha furaha.

Teddy naye siku ile alikuwa ameamka ili aende msalani, sauti ya mwanaume kugugumia kama anatumbuliwa upele ilimshtua na kumfanya asogee taratibu kwa kunyata hadi sebuleni na kukuta mchezo kwenye screen umepamba moto.

Kila alipoitafuta sauti ya mtu anayegugumia kwa raha hakuiona sauti na mambo yalivyokuwa yakiendelea kwenye screen ya tivii vilimchanganta mtoto wa kike. Hakujua kanga ameiangusha saa ngapi, alizidi kuifuata sauti huku wadudu wakiwa wamecharuka chini.

Teddy alikuwa kama mbwa aliyesikia sauti ya chatu na kuzidi kuifuata sauti ya tajiri yake, aliyekuwa akijisafirisha kwa mkono huku amejilaza kwenye kochi.

Kwa vile alikuta kitu kipo hewani na tajiri yake amefumba macho akiitafuta Pemba. Aliwahi kumtoa mkono kwenye mnazi na kuupanda yeye.

Tumu alishtuka kusikia hali tofauti ilibidi afumbue macho. Alishtuka kumuona msichana wa kazi katikati ya mnazi. Alitaka kumshusha lakini alikuwa amechelewa kwani wazungu walikuwa wameishafika.

Alitulia kuliacha bomba limwage maji kwani hakuwa na nguvu za kumteremkasha kwenye mnazi. Bomba lilipokata maji alimsukuma mpaka chini huku akilalamika.

“Teddy unafanya nini?”

“Sa..sa..mahani she..shee..mu.”

Teddy alisema huku akikimbilia chumbani kwake.

Tumu alimsindikiza kwa macho huku hamu zake zikiwa zipo juu na kutamani kumwita angalau wacheze mchezo wa live tofauti na mkewe anayesusia bila ushirikiano. Kwake ilikuwa kitu kipya kwa msichana wake wa kazi kufanya kitendo kama kile.

Siku zote hakupenda kitu kile kitokee kwa kufanya mapenzi na msichana wa kazi aliye duni asiye na hadhi ya kutembea naye japokuwa alikuwa na umbile changa la kuvutia.

Lakini alishangaa raha za muda mfupi zilimchanganya na kujawa na mawazo mengi juu ya ujasiri ya yule msichana kuupanda mnazi wake bila wasiwasi kama ameuzoea.

Alinyanyuka kwenye kochi na kusimama huku mkonga wa tembo ukiwa bado upo juu huku bomba likiendelea kudondosha maji machache yaliyobaki bombani.

Kwa vile alikuwa ametiwa ndimu na hamu zake zilikuwa juu, alikwenda kumaliza hasira kwa mkewe aliyemkuta amelalia tumbo na kuacha kifusi cha haja kilichoonekana nimejaa tele juu ya kitanda.

Kama kawaida alimgeuza na kukivutia chombo kwenye maji na kuudandia mtumbwi kisha kuanza kupiga kasia taratibu kuitafuta pwani, hakuchelewa kufika pwani. Kama kawaida alikipaki pembeni na kushuka kisha alijilaza pembeni ya mkewe kuitafuta siku ya pili.


Teddy aliingiwa na uoga kwa kitendo alichomfanyia tajiri yake kwa kumbaka. Aliamini kabisa ajira yake ilikuwa mashakani, alipanga kutoroka bila kuaga. Lakini alihofia kumuacha mtoto wa tajiri yake bila mtu wa kumwangalia.

Wazo lilikuwa usiku ule afanye kazi zake ikiwa kufanya usafi wa nyumba nzima kisha aandae chai na kujifungua chumbani ili shemeji yake akitoka asimuone ili jioni akirudi mama mwenye nyumba aombe kuacha kazi.

Alifanya kama alivyopanga kwa kufanya usafi usiku ule, kisha aliandaa chai ya mabosi wake na kwenda kujifungua chumbani kwake kusubiri tajiri zake wote waondoke bila kuonana nao.

Tumu baada ya kuondoka mkewe alioga na kwenda juu ya meza na kukuta kila kitu kipo tayari, alikunywa chai na kushangaa kutomuona Teddy wala mtoto wao ambaye huwa lazima amwone kabla ya kwenda kazini.

Alikwenda chumba cha Teddy na kugonga, Teddy kwa woga aliuliza:

“Nani?”

“Mimi,” Tumu alijibu na kushangaa swali kama lile ambalo hakuwahi kuulizwa na msichana wa kazi.

Aliposikia sauti ya shemeji yake alishtuka na haja ndogo ilimtoka kwa mbali alijiuliza atamtazamaje usoni pia atamjibu nini akimuuliza kwa nini alifanya vile.

“Teddy vipi mbona leo umelala muda huu, hebu amka ili nikuachie maagizo niwahi kazini.”

Teddy alifungua mlango na kutoka nje huku vidole vikiwa mdomoni na macho kuangalia chini kwa aibu.

“Shi…shiii..kamoo she..shee..meji,” Teddy aliingiwa na kigugumizi cha ghafla.

“Marahaba,” Kwa vile Tumu hali ile aliishaijua itatokea hakutaka kumtisha kwa lolote alijifanya kama hakuna kitu chochote kilichotokea.

Alimweleza alichomwitia na kumuona mtoto aliyekuewa ameamka kipindi cha kucheza kitandani. Baada ya kumwona mtoto alimwachia maagizo ya siku ile na aliondoka bila kumuuliza kitu chochote.

Tumu akiwa njiani ndani ya gari lake alijikuta akiwa na wasiwasi mwingi kuhusu kitendo cha msichana wa kazi kufanya naye mapenzi bila idhini yake, huenda atamwambia mkewe na kuwa tatizo na litakalo tafsiriwa kuwa yeye ndiye aliyepanga kitendo kile.

Wazo lake lilikuwa kumfukuza kazi ili kuifanya nyumba yake kuwa katika hali ya utulivu. Wasiwasi wake ilikuwa hali ya dharau na kujiamini kwa msichana wa kazi kwa vile alikuwa ameisha ujua mnazi wake na kibaya siku ile hakutumia kinga risasi zilitua ndani. Lakini alijiuliza ataanzia wapi kumfukuza kazi bila maelezo ya kutosha, kutokana na sifa walizokuwa wakimpa msichana wao wa kazi ya heshima na kumlea vyema mtoto wao kama mwanaye wa kumzaa pamoja na umri wake ndogo mkewe asingemuelewa.

Pia ingekuwa vigumu kumwondoa haraka kwa vile hakukuwa na mbadala wake hasa wakizingatia wasichana wengi wa kazi hawako makini na malezi ya mtoto mdogo. Moyoni alipanga kesho yake amweleze kuwa hakufurahishwa na kitendo kila pia alichokifanya asimweleze mtu yeyote ibakie siri yao.

Baada ya kuondoka Tumu, Teddy alibakia na maswali yasiyo na majibu juu ya shemeji yake kuondoka bila kumuuliza chochote kuhusiana na kitendo cha usiku wa kuamikia siku ile.

Hakutaka kusubiri kufukuzwa kazi bali kuomba mwenyewe kuacha kazi.

ITAENDELEA

Mzee wa Dodo Sehemu ya Pili

Also, read other stories from SIMULIZI;

Leave a Comment