Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody – Mapoz Lyrics
LYRICS

Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody – Mapoz Lyrics

MP3 DOWNLOAD Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody - Mapoz
Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody – Mapoz Lyrics

A top Tanzanian recording artist and WCB Wasafi serial hit sing maker, Boss Diamond Platnumz a.k.a Simba, came through will a new released song titled Mapoz, Featuring Mr. Blue & Jay Melody.

SIMILARDiamond Platnumz – Kamata

Mapoz Lyrics by Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody

Mmh mmh
Ooh no no no
Jay once again

Penzi zito kilo mia hamsini
Vile napata rah utaniambia nini
Kuna muda kama siamini
Na kuna muda ni kaa napendwa na jini
Maana penzi lako ndege mtini
Niko matawi ya juu nisha tulia mimi
For your love let me sing sing
Nisha kolea hatari mapenzini
Tamu pipi ya kijiti (anhaa)
Ukiilamba unacheka
Na kibaridi hikii
Niozesheni hata ndo ya mkeka

Penzi halishikiki (anhaa)
Linavyo tetemesha
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza

Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mapoz na mi

Mmmh
Na sio ndumba wala
Raha tuu zimeniziidi
Sio mambo mitala
Penzi mwenyewe nafaidi
Nakumbatwa kwa baridi
Usinione nnang’ara
Natunzwa habibi
Matikiti kudondokaa
Matikiti kudondokea
Marafiki huwa ni nyoka
Hivyo chunga wanayoongea
Nikande kande nikichooka
Sio narudi unanifokea
Ona mweni nilikotokaa
Mambo fyongo hayajaninyookea
Tamu pipi ya kijiti (anhaa)
Ukiilamba unacheka
Na kibaridi hikii
Niozesheni hata ndo ya mkeka
Penzi halishikiki (anhaa)
Linavyo tetemesha jamani
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza

Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mapoz na mi

Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody – Mapoz Mp3 Download

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment