Haa! Kumbe Tamu Sehemu ya Nne
IMEANDIKWA NA: FRANK MASAI
*********************************************************************************
Chombezo: Haa! Kumbe Tamu
Sehemu ya Nne (4)
Hadi wanamaliza mchezo ule, tayari mitindo mbalimbali ya kufanya mapenzi ilipitiwa na kila mmoja alimkubali mwenzake kuwa anaweza kwenye upande wa kuridhishana.
“Totoo wewe ni mtamu.” Longino alimsifia Mercy huku akiwa pembeni akitweta taratibu kwa sababu ya kipute kigumu alichokimaliza punde.
Mercy naye kwa aibu alimsifia Longino huku uso wake ukiwa pembeni kabisa.
“Hata wewe Longino. U mtamu kama nini sijui.”Alisifia mtoto wa kike.
“Najisikia raha kuwa na wewe Mercy. Sijui ulikuwa wapi siku zote. Umebarikiwa sana mwanamke wewe. Nakuomba uitunze heshima yetu, sitapenda kusikia upo na mwanaume mwingine. Nami sitakuwa na mwanamke mwingine, nakuahidi Mercy.” Longino aliongea huku akimuangalia Mercy ambaye sasa aliweka ujasiri na kumtazama mwanaume yule rijali.
“Kama nilivyokwambia Longino, endapo nitakuwa na mwanaume tofauti na wewe. Basi na MUNGU anilaani. Sipo tayari kuwa na mwingine zaidi yako Long. Nakupenda kuliko unavyofikiria.”Mercy aliongea kwa hisia.
“Asante Mercy. Sasa tutoke maana karibu inaelekea usiku, halafu dogo yupo peke yake si wajua.”Longino alimuomba Mercy baada ya mazungumzo yale mafupi.
“Usijali. Dogo nilimpeleka nyumbani akakae na mdogo wangu mwingine. Ila tutoke twende tukamchukue ili aje kuoga na kula kisha alale.”Mercy alionesha kujali kwake juu ya ile familia.
“Dah! Nakupenda sana Mercy kwa hilo. Nitakupenda daima, nakuahidi.”Longino yalimtoka maneno na kumpatia Mercy busu la haja kabla hawajanyanyuka pale kitandani na kuvaa mavazi yao kisha kutoka nje na kuelekea maskani wanapoishi wakina Mercy, muda huo ulikuwa ni saa moja jioni.
Mapenzi yalizidi kushamiri na Longino alianza kutambulika hadi nyumbani kwa akina Mercy kama mtu wa karibu wa Mercy. Hakuna ambaye aliyemkosa Mercy nyumbani, akaenda kwa Longino akamkosa pia. Kifupi mapenzi yalikuwa ni mapenzi kweli.
Mawazo ya kumpenda Subira, yalianza kuhama kichwani kwa Longino na kuhamia kwa Mercy. Hakuwa na mshtuko tena juu ya kimwana yule mrembo wa sura na mwenye tabia ya kujiona nakujisikia. Sasa ikawa ni Longino na Mery, ndiyo habari ya mjini.
Kwa upande wa Subira, pozi ziliendelea pale mtaani kiasi kwamba kila mwanaume sasa alipanga kumfanyizia kitu.
Subira hakujua hila za wanaume hata kidogo, yeye aliona pozi na majibu ya chooni anayowajibu wanaume ndio njia sahihi ya kuwakomoa. Hakujua nini mioyo ya wanaume ilivyokuwa inakisununu kwa tabia zake.
Sawa, hatukatai. Alikuwa anauwezo wa kuwajibu chochote akipendacho kwa sababu mwili ni wake na maamuzi ni yake. Hakuna anayemtisha katika maamuzi yake. Lakini kwa upande mwingine, angeangalia na mioyo ya watu anaowaletea kejeli na matusi yasiyo na maana kisa katongozwa. Hakuna mwanaume ambaye anaweza kuvumilia uchafu huo, nasema hamna.
Pia Subira alimuona Mercy ni mkurupukiaji, hajui lolote na ndio maana alidiriki hata kumtusi baada ya kupata taarifa kuwa Mercy anamahusiano ya kimapenzi na Longino. Kejeli na matusi vikawa vingi mno kuelekea kwenye uhusiano ule.
Hakujua kuna kitu kinaitwa umri. Kuna umri ukifika yakupasa kuheshimu sana wanaume. Na kuna umri ambao yakupasa uwe karibu katika mahusiano. Hata kama hautakuwa ndani ya mahusiano, basi ujenge makazi mazuri ya kukaribisha mahusiano.
Yeye hakujali hilo. Kwa mapozi ambayo alikuwa anayaleta, ni mwanaume gani wa pale Chunya angejaribu kuingia naye katika mahusiano ya kudumu?
Mali za mzazi na ndugu zake, zilimdanganya na kujiona kafika. Hawezi kuishiwa wala hakuna anayembabaisha. Hakujua yale mapito na zile ni mali tu! Kuna kitu kinaitwa upendo au uhusiano wa kimapenzi unatakiwa uwepo katika maisha yake. Na ukiangalia umri wake, ndio ulikuwa umri sahihi wa kutengeneza mazingira ya kujitafutia mahusiano yaliyo bora kwake.
Akamtusi Mercy na Longino pamoja na uhusiano wao. Lakini haikuwa kitu kwa wapenzi wale. Walizidi kuimarika na upendo wa dhati ukazidi kuchanua katika maisha yao.
Urafiki kati ya Subira na Mercy, ukawa si kama zamani. Ukawa ule wa kimasomo zaidi na si kuongelea siri zao za ndani. Hapo ndipo likaja suala la nani bora kuliko mwenzake.
Huyu Subira akawekeza kwenye masomo na kusoma kadiri awezavyo, ili kumthibitishia Mercy kuwa mapenzi na shule haviendani hata kidogo. Alipaswa kusubiri ndio aingie kwenye mahusiano.
Mercy naye akazidi kukataa kauli ya mwenzake. Mapenzi na shule kwake yakaonekana yanaendana kwa sana tu. Ufaulu kwake ukawa sawa na rafikiye, na kuna muda alikuwa juu zaidi ya Subira. Akasoma kwa nguvu zake zote lakini hakuacha kuwa na Longino wala kutoijali ile familia.
Kufaulu kwa Mercy pamoja na kufanikiwa kwa mambo mengi. Kukatengeneza hali ya wivu kwenye moyo wa Subira. Wivu ambao kwa binadamu mwelevu angeuita ni wivu wa kijinga, wivu usio wa kimaendeleo.
Wivu huo ndio ulimfanya aingie kwenye mtego ambao vijana wengi wa pale mtaani walikuwa wanatamani huyu mwanadada aingie. Mtego ambao walitumia gharama sana kuutega, mtego uliochukua muda kufanikiwa. Ilifika kipindi mtego wenyewe uliwakatisha tamaa. Lakini sasa mwadada yule gwiji wa mashauzi, alizama kichwa kichwa.
Subira baada ya kumuona mwenzake anafanikiwa japo yupo katika mapenzi, naye akaamua kujiingiza penzini japo hakuwa na lengo la namna hiyo. Lakini nia kubwa ya kumfanya hivyo, ni kumtia wivu mwenzake.
OMMY au pale mtaani walizoea kumuita Sharo-bizo. Kwa Subira, huyo ndiye mwanaume aliyeona anafaa kumtia wivu rafiki yake.
Ommy alikuwa msafi na mwenye kujua kupangilia mavazi yake. Alikuwa anagari aina ya Vitara, na hata usipomuona na gari basi utamuona na pikipiki aina ya boxer 101. Kama hiyo haitoshi, Ommy alikuwa si wa kutembea kwa miguu hata kwa sentimita tano.
Alikuwa anabaiskeli moja ya ‘kitozi’ ambayo waweza kuikunja na kuibeba. Hiyo aliitumia sana katika safari zake za karibu.
Weupe wa kumvutia kila mwanadada. Kifua kilichotanuka kutokana mazoezi ya viungo anayoyapiga. Nywele nyeusi alizozipunguza kwa pembeni halafu katikati akaziacha na kuzivuruga, ni mwanadada gani wa kileo ambaye angetongozwa na huyu ‘brazameni’ angekataa?. Kifupi hamna wa hivyo, labda huyu Subira ambaye Ommy aliletwa kwa ajili yake.
Ndiyo maana yake. Ommy aliletwa kwa ajili ya Subira. Na kila alichokuwa nacho huyu Ommy hakikuwa cha kwake bali cha wale waliomdhamini.
Ommy aliishi Mbeya mjini na kazi yake ilikuwa ni kuuza karanga mtaani. Alikuwa hana mbele wala nyuma katika masha yake.
Licha ya kuwa na leseni ya kuendesha magari madogo na usafiri wa miguu miwili, lakini hakuwa na bahati ya kupata ajira ambayo itaendesha maisha yake. Kuuza karanga ndio ikawa kazi yake inayompa chakula cha siku nzima pamoja na kumlipia pango la nyumba.
Katika wale vijana ambao walimpania kumkomesha Subira, kulikuwa kuna rafiki wa Ommy. Aliitwa Makasi.
Makasi ndiye alipanga mpango mzima wa kumtafuta Ommy na kumpa ‘mchongo’ mzima jinsi unavyotakiwa kwenda. Walimuahidi Ommy kumpa malazi na chakula kwa siku zote ambapo atakuwepo Chunya. Na kama atakamilisha kazi ambayo wamempa, basi watampa kiasi cha fedha kitakachomuwezesha kutanua biashara yake.
Gari, baiskeli pamoja na boxer ile pikipiki, vilikodiwa katika gereji fulani pale Chunya. Kuhusu mavazi na mambo mengine ya mwili, ni kazi nzuri ya wale waliopania kumuangamiza Subira.
Walienda Tunduma, mpakani mwa Mbeya ambapo kulikuwa kuna vitu vingi vya magendo. Huko ndipo nguo za Ommy zilipatikana tena kwa bei rahisi kabisa. Ommy akawa ‘Sharobizo’ wa ukweli kwa pale Chunya.
Alionekana mgeni sana pale mtaani. Na bila kuchelewa, akaanza kazi yake rasmi kwa kutafuta shule aliyokuwa akisoma Subira. Haikuwa shida sana kwani hata wale waliompa kazi hiyo walikuwa wanajua Miss Mapozi yule anaposoma.
Ommy akaanza kazi yake. Mara ya kwanza alikutana na Subira akiwa na rafiki yake Mercy huku yeye Ommy akiwa ndani ya Vitara.
Ommy akapiga honi ya gari lake huku anafungua kioo na kuutoa uso wake nadhifu kisha akawasalimia warembo wale akipambwa na tabasamu la kuifanya sabuni ikate povu lake.
“Samahani dada zangu, naweza kuwapa lift?” Alianza Ommy kabla ya Subira ya kumwangalia kwa nyodo na kubetua midomo yake iliyosindikizwa na msonyo wa kukata na mundu.
Hata mwenzake Mercy alimshangaa kwa tabia ile. Kwani kulikuwa na haja gani ya kumsonya kaka wa watu na kumbetulia midomo namna ile?
Mercy akabaki kasimama akimuangalia mwenzake akiondoka huku sketi yake ikipepea kama bendera iliyopata uhuru juzi.
“Samahani kaka. Huyu rafiki yangu hapatani na wanaume, samahani sana.”Mercy alichukua jukumu la kuomba msamaha na kuanza kumkimbilia rafiki yake kabla hata hajasikiliza maamuzi ambayo Ommy atayatoa.
Ommy kuona hivyo, alipandisha kioo cha Vitara yake na kuanza kutitia anapoishi.
Lilikuwa tukio la kustaajabisha sana kwa Ommy ambaye hakuzoea vya kuchinja bali vya kunyonga. Tabia yake ilikuwa ni kuhonga wanawake na kwenda kustarehe nao kwa usiku mmoja.
Tabia ya ‘kufukuzia’ mwanamke kwa muda mrefu alikuwa hana katika maisha yake. Sasa anashangaa kumuona mwanamke wa namna hii.
Hadithi nzima ya kilichomtokea aliwafikishia waliomtuma. Mara ya kwanza walimcheka sana kwa kumuona kama bwege. Wao walimshindwa ndio wakamuita yeye, sasa hata hakujiuliza ni kwa nini aliitwa yeye? Hakujiuliza kuwa hata pale kuna ‘Ma-handsome’ tena kushinda yeye, lakini alitafutwa yeye na kupewa jukumu la kumteka huyu kimwana.
“Mwanangu ndio maana tumekuita wewe ili umteke yule boya. Usidhani kama sisi tulimshindwa bure. Cha msingi pigana hadi aingie mstarini halafu tutajua cha kumfanya.” Makasi alimwambia rafiki yake baada ya kumcheka sana kwa kilichomkuta.
“Daaah! Mwanamke ana nyodo yule. Utasema labda yeye ni kiwanda cha sukari au anajisaidia wali. Kudadeki mbona nimekoma leo kuingia ‘ndonga-ndonga’.”Ommy aliongea huku akipamba uso wake kwa sura ya kereko.
“We pigana kikamanda. Akiingia tu! Kanya kajaza. Atajuta.” Maongezi ya wale jamaa yakawa hivyo siku nzima.
Mara ya pili ilikuwa ni vilevile kwa huyu Ommy kutemewa shombo na Subira. Mapozi aliyoletewa ni zaidi ya kumchezesha mwanasesere kwa kutumia kamba.
Ommy alijiona kama kinyesi lakini atafanya nini na wakati kapokea tenda hiyo ili awasaidie walioshindwa kazi ile.
Nyodo zikaendelea kuwa nyodo kutoka kwa Subira. Mercy alikuwa shuhuda wa hali ile lakini alishindwa kumkanya rafiki yake kwa kuwa alikuwa tayari kapoteza mawasiliano mazuri ya kuambiana siri zao. Hivyo alibaki kumuangalia na kutikisa kichwa pekee.
Ommy hakukata tamaa. Matendo ya Subira yalikuwa kama kumpiga teke kobe, humuumizi bali kumtoa sehemu moja na kumpeleka sehemu nyingine. Ommy akawa mtu wa kununua vito na zawadi za gharama kwa ajili ya kimwana yule. Japo vilikataliwa lakini ndivyo hivyohivyo vilivyomuingiza mstarini kimwana huyu mwenye nyodo.
Matokeo ya mitihani ya kuingia kidato cha sita yalipotoka, Mercy akawa kafanya vizuri sawa na rafiki yake. Hali hiyo Subira haikumpendeza hata kidogo. Kwa nini huyu aliye kwenye mapenzi afaulu kama yeye, yaani ajihusishe na mapenzi na bado kwenye matokeo yake wawe sawasawa!!?
Kiriba cha roho hicho ndicho kilimfanya Subira kumkumbuka Ommy. Aliona ni heri ajiingize penzini na huyu kijana aitwaye Sharobizo pale mtaani.
Si kwa sababu huyu Subira alikuwa anampenda sana huyu kijana, bali alifanya hivyo ili kumuonesha Mercy kuwa naye anaweza kuwa na mtu mwenye hadhi yake kuliko huyo aliyenaye yeye.
Kwanza Sharobizo alikuwa anahela, anapendeza na anajijali kuliko hata huyo Longino wake. Subira akaona ni bora atumie mwanya huo kumuumiza au labda niseme kumjaza wivu Mercy kwa kuwa na mvulana mtanashati na mwenye fedha.
Hakujua, na wala hakupaswa kujua kuwa jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Kiza kilichoficha hata weupe ufananao na theluji.
Ommy Sharobizo akiwa kakata tamaa kabisa juu ya kumpata Subira, ikiwa ni wiki ya tatu anapeleka zawadi na tambo mbalimbali kwa kimwana yule. Akapata ahueni siku hiyo ambayo aliwaambia wenzake ni siku ya mwisho yeye kwenda kujinadi kwa Subira.
Alifika mida mizuri sana pale katika shule ambayo Subira anachukua masomo yake ya kidato cha tano na sita.
Kama kawaida, aliwakuta marafiki hawa wanatembea kurudi nyumbani. Akapiga honi ya Vitara yake na kisha akatoa uso wake na kumuita Subira.
Hapo Subira kwa mbwembwe nyingi zilizolenga kumuumiza Mercy, alimuacha pale rafiki yake na kwenda kwa Ommy kisha akambusu katika midomo yake huku kachanika kwa tabasamu mwanana kama Adam kamuona Hawa kwa mara ya kwanza.
Hata Mercy alishangaa kwa kitendo kile, lakini alizidi kushangaa pale rafiki yake alipomuaga na kumwambia wataonana kesho, kisha yeye alienda upande wa kushoto wa gari lile na kufungua mlango wa mbele na kuingia ndani ya gari ile. Mwanadada akajibweteka kwenye nafasi ya mbele ya gari ile.
Ommy akiwa kama anaota kwa kinachoendelea, alishindwa hata afanye nini kwa wakati ule. Akili ilirudi pale Subira alipomuita Mercy na kumkumbusha kuwa asije kwao kusoma siku ile.
Hapo Ommy alichoma mafuta yaliyokatika gari lake na kumuacha Mercy akisikitika kwa anachokiona.
Safari ya wawili wale iliishia kilabu(Bar) moja iliyokuwa inachoma nyama na kuuza vinywaji mbalimbali zikiwemo bia na vile vinywaji laini.
Ommy hakuwa mwenye papara, alifanya vitu vyake kwa misingi yote ya upendo. Hakutaka kumuumiza mwanadada yule wala hakutaka kumkera. Alimhudumia kwa chochote alichoagiza.
Baada ya kula na kushiba kisawa sawa, Ommy akachukua jukumu jingine la kumrudisha kimwana yule nyumbani kwao. Alpofanikiwa kumfikisha Subira kwao, moja kwa moja akarudi kwa rafiki zake na kuwapa habari ya mambo yalivyokwenda.
Hakuna ambaye hakufurahia habari ile. Wote walipiga mbinja na mayowe baada ya taarifa ile mwanana kwao. Kila mmoja alishukuru kuwa mwanamke yule sasa anaenda kuumia. Uzuri wake wote pamoja na mapozi walipania kuutokomeza.
“Kwa hiyo Kamanda mambo fresh.”Makasi rafiki yake wa karibu alisaili.
“Yaani ningekuwa najua mkakati wenu, leoleo ningemaliza kazi mliyonituma. Toto limelegea lenyewe. Nikiliambia twende huku linaongoza tu, na manguo yake ya shule.” Ommy Sharobizo aliongea kwa hamasa na kuwafanya wenzake washangilie kwa ushindi huo.
“Basi huyo tumalize keshokutwa tu! Hamna kumuweka weka, katusulubu sana mioyo yetu, na kututukana sana. Sasa muda wa mwisho wa nyodo zake umewadia, lazima afe mtu Jumamosi.” Makasi alionesha hali ya kisasi kuliko wale rafiki wengine.
Mpango ukapangwa kukamilika siku ya Jumamosi, siku mbili toka siku hiyo waliyoipanga.
Kesho yake, Subira akawa haishiwi maneno mdomoni. Sifa kedekede anammwagia Ommy Sharobizo. Sifa hizo anazitoa mbele ya Mercy. Na ubaya alikuwa anamwaga sifa hizo huku akimkandia mpenzi wa Mercy, Longino.
Mercy alikuwa ni mtu wa kutabasamu na kumuona rafiki yake ni rimbukeni tu. Mwanaume hamjui, shida kapewa vizawadi kwa wiki tatu mfululizo, basi kaona kamaliza. Kumbe ujinga tu, hajui hila za wanaume.
Subira alichosifia ni hela tu za Ommy. Jinsi alivyokuwa anazimwaga kwa ajili yake. Hakutaka kukumbuka maneno ya wahenga kuwa ukiona vimeundwa, vimegharamiwa. Yeye akili yake akaona kama kaundiwa yeye. Mdomo wake siku nzima ukawa ni Ommy Sharo, hata masomo siku hiyo hayakwenda.
Jumamosi ilipowadia, Ommy aliwasiliana na Subira ili wakutane kwenye ile klabu na kisha wangeleekea nyumbani kwa Ommy ambapo palikuwa ni mahala anapoishi Makasi.
Mtoto pozi hakuwa nazo tena. Zawadi na pesa alizokuwa anamwagiwa na Ommy unadhani angekataa nini sasa. Hata muda wa kukutana naye aliupanga yeye mwenyewe kuwa ni saa kumi jioni.
Hatimaye ukawadia muda huo. Baada ya kunywa na kula nyama za kutosha, Ommy alimchukua Subira na kumpeleka katika makazi yake.
Bila hata kusita, Subira aliingia chumbani kwa Ommy na kujitupa kitandani kwa kulalia tumbo huku sketi fupi iliyombana vyema ikipanda juu na kuonesha mapaja yake yaliyonona kama nyama ya kuku anayetaga. Kwa pale nyuma, kijungu matata chenye milima miwili, kilipanda na kumsisimua yeyote atakayeangalia.
Mate ya uchu yakamtoka Sharobizo. Bila hata kufikiria mara mbili, naye alienda na kumlalia kwa juu huku lile eneo la zipu likiwa maeneo ya kwenye kijungu cha Subira.
Subira naye kwa mbwembwe alianza kukatika taratibu na kufanya maruhani ya mapenzi kumpanda Ommy ambaye tangu afike pale Chunya ni mwezi sasa alikuwa hajakutana na mwanamke kimwili.
Ommy akaingiza mikono yake kwenye mapaja mapana ya kimwana yule na kuanza kuyapapasa kwa hamasa huku Subira akizidi kuyarudi mayenu kama kawekewa wimbo wa Yondo Sister au kafungiwa gurudumu jipya kwenye kiuno chake.
Hayo yote aliyafanya ili kumridhisha Ommy Sharobizo. Alikwatua viuno kadiri awezavyo. Kutahamaki, tayari blazia yake ilikuwa kando ya kitanda na titi moja likiwa mdomoni kwa Ommy huku mkono wa kushoto ukisugua titi lingine katika hali iliyomfanya Subira ahemee juu-juu kama kafukiwa kwenye machimbo ya almasi.
Uso wa Subira ulizidi kubadilika na kuwa wa ajabu zaidi pale Ommy alipoondoa sketi yake na kumbakiza na bikini ambayo kwa ufundi wa jamaa yule, alikuwa hana haja ya kuivua bali kusogeza pembeni kile kifuniko cha mbele na kisha Ommy alipenyeza kidole chake cha kati kwa kukiingiza katika mlango wa raha wa kimwana yule mwenye wingi wa vilio.
Sauti ya utamu ilimtoka Subira na alijiona yeye mshamba sana kwa kukosa raha zile na Mercy kuzipata. Aliahidi katika nafsi yake, ataufanya ule mchezo kadiri ya uwezo wake. Na hakika alikuwa anajisikia raha sana pale Ommy alipokuwa anasugua uso wa utamu wake saa nyingine kukizamisha kidole chake.
Baada ya mwendo mrefu wa kumuandaa binti yule, Ommy naye alihitaji huduma ya mwanadada yule. Kiukweli Subira alikuwa mgeni sana, hakujua aanzie wapi kufanya ile kitu. Hakuwa mzoefu wa kufanya mapenzi. Tabia hiyo alishaiacha tangu kidato cha kwanza. Hiyo ni baada ya kuanzisha mahusiano na kijana mwenzake wa darasani, na baada ya kutolewa usichana wake, jamaa yule alianza visa visivyoisha. Mwisho wa siku Subira aliambulia kusasambuliwa nguo kwa mara ya pili, na kisha kesho yake yule jamaa, akaachana naye.
Kwa hiyo Subira hakuwa na lolote katika mapenzi licha ya kujidai mwenye mapozi na wingi wa kejeri. Ni hapo ndipo Ommy alishangaa na kuanza kumuonea huruma Subira kwa kitu walichompangia. Subira alikuwa mtoto kabisa, hakujua A wa E katika mapenzi.
“Yawezekana alikuwa anawatimua wanaume kwa kuwa alikuwa hajui mambo. Hivyo kama angepata nafasi ya kuwapa mwili wake, wangemkashifu kwa kumuita majina mbalimbali kama gogo, au sanamu.
Na yawezekana alinikubalia Ommy kwa kuwa nilikuwa mgeni, hivyo nisingemtangaza kwa watu hasa ukizingatia nilikuwa sina marafiki pale mtaani. Nani ajuaye hayo yote?
Na je? Hiyo ndio sababu ya kujidai keki mbele ya washika dau? Ni ujinga kumuonea huruma mwanamke kama huyu, acha tujilie vyetu.”Ommy alijiwazia kabla hajaanza kumuamuru Subira afungue mkanda wa suruali yake, na kishakutoa kipaza sauti chake na kuanza kutangaza.
Hakika Ommy alikuwa akisikia raha isiyokifani. Midomo ya moto ya Subira, pamoja na ulimi unaotereza kwenye kile kipaza, ulimfanya Ommy kung’ang’ania kichwa cha Subira na mwisho wa siku kile kipaza kilimwaga kimiminika chake kwenye kinywa cha Subira.
“Meza.” Sauti nzito ya Ommy ilimuamuru Subira ameze ujinga wake alioutoa kwenye kipaza sauti.
Subira alitii amri japo alihisi kama anataka kutapika pale alipokuwa anameza.
Baada ya kuridhika na hali hiyo. Ommy sasa aliamua kuanza kazi yake rasmi ya kujichimbia madini ambayo yalikuwa ndani ya kisima kile cha raha alichopewa kimwana Subira.
Ngoma ilianza kuchezwa huku Ommy akiianza kwa kasi ya ajabu kwa kutumia kifo cha mende. Subira alikuwa ni mtu wa kufumba macho huku akitoa miguno ya utamu pale Ommy alipokuwa anazama wote na kugusa pale panapostahili.
Kutojua cha kufanya, ni kweli kulimfanya kimwana yule aonekane gogo mbele ya Ommy. Na Ommy naye wala alikuwa hana haja ya kumuamrisha afanye kitu fulani. Yeye kazi yake ilikuwa ni kumkalisha mikao tofauti tofauti tu.
Umoto wa kisima kile cha raha, ukamfanya Ommy amwage sera zake baada ya mwendo wa dakika zisizopungua ishirini. Mwanaume akajibwaga pembeni huku akitweta kwa kasi ya ajabu.
Subira akawa mtu wa kuangalia tu! Hakujua kama yeye kafikishwa au. Ila kiukweli bado alikuwa anataka kuendelea na mchezo ule.
Wakati anasubiri Ommy arudi tena, ndipo mlango wao ulipogongwa na moja kwa moja Ommy alivuta taulo na kujifunga kiunoni kisha akaufuata na kuufungua. Bila kusita aliwakaribisha wagongaji kitu kilichomfanya Subira awahi shuka na kufunika mwili wake.
Baada ya hapo, alishuhudia vijana wanne wakiingia chumbani na wawili wakiwa wamekamata kamera za kuchukulia video na picha mnato. Wengine walikuwa wanaviboko na hata kisu kilikuwepo kwa mmojawao.
“Hawa ni wageni wangu Subira. Wamekuja hapa kufanya kazi ambayo walikuwa wanaisubiri kwa hamu sana.” Ommy alikuwa kama anamtambulisha Subira ambaye alikuwa kakodoa macho kama mwenye kuangalia filamu ya kutisha. “Walinituma nikulete, na tayari nimefanikiwa kukuleta. Pozi na matusi yako, ndivyo vimesababisha haya yote. Ulitutukana sana Suby, sijui tulikukosea nini.”Ommy alizidi kumshangaza Subira.
ITAENDELEA
Haa! Kumbe Tamu Sehemu ya Tano
Also, read other stories from SIMULIZI;