Phina – Wawili Lyrics
LYRICS

Phina – Wawili Lyrics

Phina – Wawili Lyrics

Tanzanian Bongo Fleva diva and 2018 Bongo Star search winner, Saraphina Michael better known as Saraphina or Phina keeps disturbing the East African music scene and she brings you another highly anticipated single Wawili.

SIMILAR: Phina Ft Jay Melody – Manu

Wawili Lyrics by Phina

La wawili , la wawili
La wawili,

Tam tam
Ugali mwenzake mutindi
Mmh..masham sham
Penzi umelijaza ndindi
Njoo come come
Tucheze kuchi kama wahindi
Mi na we dam dam
Hii game si ndo washindi

Una mapenzi kedekede
Tufunge ndoa one day one day
Hata sitaki delay delay
Watanipora mabosi
Una mapenzi kedekede
Tufunge ndoa one day one day
Hata sitaki delay delay
Watanipora mashangingi

Hili penzi la wawili (la wawili)
La wa wawili (la wawili)
Wewe na mimi
Watatu wa nini?
Hili penzi la wawili tuu (la wawili)
La wawili (la wawili)
Wewe na mimi
Watatu wa nini?

Sifa ya jongoo kujikunja kunja
Dawa ya kho mkojo wa punda
Wanasema, halina ubani la kuvunda
Mmh, kwako taabani nakukunda
Mmh yeah
Nilimwomba Mungu anipe wakufanana nae
Akanipa wewee
Wakwangu mwenyewe
Aiiii

Una mapenzi kedekede
Tufunge ndoa one day one day
Hata sitaki delay delay
Watanipora mabosi
Una mapenzi kedekede
Tufunge ndoa one day one day
Hata sitaki delay delay
Watanipora mashangingi

Hili penzi la wawili (la wawili)
La wa wawili (la wawili)
Wewe na mimi
Watatu wa nini?
Hili penzi la wawili tuu (la wawili)
La wawili (la wawili)
Wewe na mimi
Watatu wa nini?

Phina – Wawili Mp3 Download

More hit songs from Otile;

Leave a Comment