Roma Ft Chid Benz – Nasikia Harufu Lyrics
LYRICS

Roma Ft Chid Benz – Nasikia Harufu Lyrics

MP3 DOWNLOAD Roma Ft Chid Benz - Nasikia Harufu
Roma Ft Chid Benz – Nasikia Harufu Lyrics

Roma, also known as Roma Mkatoliki is a Tanzanian-based artist/rapper/activist. Roma is arguably one of the best rapper in Tanzania drop a new song titled Nasikia Harufu, Featuring Chid Benz, the number five song from his new album titled Nipeni Maua Yangu Album.

SIMILAR: Roma Mkatoliki – Tupeni Chetu

Tongwe Recordz, baby
(Bin Laden)
(Instrumentals)
Yeah
Oi
Uh-huh

[Verse 1: Roma Mkatoliki]
[Grand phenomena] ‘holla at your boy
I’m (?) Foreigner
Na I’m food nasipoi, siboi
Na staa wima
Orchestra ka Bichuka, si mna enjoy?
Nawa vunja mifupa na wana bima, wanafia Moi
Oi!
Upande Iniesta, upande Xavi
Na supply bars niiteni afisa wa ugavi
Leta singeli hata trap yaani nita switch, nita sound fit
Bandana rap, ma bolo yeung nawapiga round-kick
Na sina kiki
Na siandiki muziki naandika hit
Beki ya boli, ‘Paulo Maldini, unapita vipi?
Ka ukuta wa Guantanamo [Mkato] unalinda lango
Forwad butu za michongo
Na striker hawana mipango
I see my lyrics
16 bars on my left arm
Booth nachora mistari kwa RIZLA kuleni rhyme
I feel sorry for young rappers, please don’t do that
Bonjour comme ça va (?)

[Chorus: Chid Benz]
Naskia harufu
Naskia kick za madufu
Naskia kimenuka mpaka nje ya [Q.P]
Now, tunajua nani chawa nani groupie
Naskia harufu
Naskia kick za madufu
Naskia kimenuka mpaka nje ya [Q.P]
Now, tunajua nani chawa nani groupie

[Verse 2: Chid Benz]
Big li tungi
Big li tungi, doh
Mr. Snoopy doggy doh
Domo chafu kama vile choo, wamekaa (Yeah)
Hujakosea na unaomba msamaha
Kwenu wananiona hata ukizima taa
Maneno hayaishi kila siku, yeah
Maureen sio mtamu kama Chiku, yeah
Mateso yanakuja baada ya kitu, yеah
Matusi hayanogi mpaka usiku, yeah
Niache, ‘nnapo enda sipajui
Ila michеzo nnayo cheza wanacheza mabedui
Kila nnavyoona mnanijua na ma brother hunijui
Umejaza nyama ila mashine haikui
Demu wako viatu mkononi asubuhi
Katoka ghetto kupigwa battle
Wahuni wanachabo huku wanapiga [drop]

[Chorus: Chid Benz]
Naskia harufu
Naskia kick za madufu
Naskia kimenuka mpaka nje ya [Q.P]
Now, tunajua nani chawa nani groupie
Naskia harufu
Naskia kick za madufu
Naskia kimenuka mpaka nje ya [Q.P]
Now, tunajua nani chawa nani groupie

[Verse 2: Chid Benz]
Big li tungi
Big li tungi, doh
Mr. Snoopy doggy doh
Domo chafu kama vile choo, wamekaa (Yeah)
Hujakosea na unaomba msamaha
Kwenu wananiona hata ukizima taa
Maneno hayaishi kila siku, yeah
Maureen sio mtamu kama Chiku, yeah
Mateso yanakuja baada ya kitu, yеah
Matusi hayanogi mpaka usiku, yeah
Niache, ‘nnapo enda sipajui
Ila michеzo nnayo cheza wanacheza mabedui
Kila nnavyoona mnanijua na ma brother hunijui
Umejaza nyama ila mashine haikui
Demu wako viatu mkononi asubuhi
Katoka ghetto kupigwa battle
Wahuni wanachabo huku wanapiga [drop]

[Chorus: Chid Benz]
Naskia harufu
Naskia kick za madufu
Naskia kimenuka mpaka nje ya [Q.P]
Now, tunajua nani chawa nani groupie
Naskia harufu
Naskia kick za madufu
Naskia kimenuka mpaka nje ya [Q.P]
Now, tunajua nani chawa nani groupie

Roma Ft Chid Benz – Nasikia Harufu Mp3 Download

Check More Tracks From Roma Mkatoliki;

Leave a Comment