Komasava ya Diamond Yapigiwa Debe kuwa nyimbo Maalumu Kombe la Dunia 2026
E NEWS

Komasava ya Diamond Yapigiwa Debe kuwa nyimbo Maalumu Kombe la Dunia 2026

Komasava ya Diamond Yapigiwa Debe kuwa nyimbo Maalumu Kombe la Dunia 2026

Hii ni habari njema kwa Muziki wa Bongo Fleva baada ya Mtandao Maarufu wa Burudani kutoka Nchini Afrika Kusini ‘CultureCollecter’ kuacha kuupigia debe wimbo wa Komasava wa @diamondplatnumz ft.@chley_nkosi & @khalilharison kuwa uwe wimbo maalumu Kutumika kwenye Michuano ya Kombe la Dunia 2026 .

DOWNLOAD: Diamond Platnumz Ft Khalil Harrison X Chley – Komasava

Wimbo Huu Ambao umekua wimbo MKubwa Zaidi kwasasa Barani Afrika na Duniani kote Kutokana na Maudhui yake kugusa Tamaduni na Lugha Mbalimbali karibia mataifa yote duniani kwa njia ya salamu.

Jarida hilo limepost na kuuliza je wimbo huu unafaa kutumiwa kama wimbo maalumu kwenye michuano ya Kombe la Dunia kwa mwaka 2026 linalotarajiwa kufanyika katika Nchi tatu yaani Marekani, Canada na Mexico !

Kwa upande wako unaonaje??

Wazo hili linafaa??

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment