Jux – Bado yupo Lyrics
LYRICS

Jux – Bado yupo Lyrics

MP3 DOWNLOAD Jux ft Diamond Platnumz - Sugua
Jux – Bado yupo Lyrics

Tanzanian R&B king Juma Jux drop the new music audio for his hit single from the latest album “The Love Album” titled As Long as you know means Uzuri Wako.

SIMILAR: Jux – Uzuri Wako

Bado yupo Lyrics by Jux

Mo-ko
Hello (eeh) habari gani?
Hello oh ooh, unaitwa nani?
Hello, uko kizani?
Hello, una tatizo gani?

Basi we nieleze
Walipokaza nilegeze
You’re so beautiful baby
Hauendani na mawazo mama (aah)

Huwezi kushindana na moyo wako
Usijiumize aah, uh
Mimi sio mbaya wako
Nisikilize, ah oh

Bado yupo yupo kwanza (mmh)
Bado yupo yupo sana (eeh eh)
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana

Kushindana na moyo wake
Bado yupo yupo kwanza (no, no)
Bado yupo yupo sana (eh, yeah)
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana

Anataka awe peke yake
Bado, ah ah nah nah
Hana ulinzi wa moyo tena (aah)
Wake uaminifu umekufa mazima (aah)

Mapenzi yamefanya asile
Mapenzi yamefanya asilale
Chochote nachomwambia bure
Anaona nampigia kelele

Ila ati anashukuru Mungu
Alipofika panatosha aah
Hata na mzigo mzito wa mapenzi
Ameutua amepumzika

Yaani hataki tena
Bado mapema
Hataki tena
Vurugu za mapenzi zimemchosha

Huwezi kushindana na moyo wako
Usijiumize aah, uh
Mimi sio mbaya wako
Nisikilize (eh ooh)

Bado yupo yupo kwanza (mmh)
Bado yupo yupo sana (eeh)
Bado yupo yupo kwanza (eeh)
Bado yupo yupo sana
Bado kushindana na moyo wake

Bado yupo yupo sana
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana
Anataka awe peke yake
Peke yake, peke yake, peke yake, peke yake eeh

Jux – Bado yupo Mp3 Download

Check out More hit songs from Jux;

Leave a Comment