LYRICS

Harmonize – X Lyrics

MP3 DOWNLOAD Harmonize - X
Harmonize – X Lyrics

Harmonize, the Tanzanian artist, has recently released a new song titled “X.” The track blends catchy Afrobeat rhythms with his signature Bongo Flava style, showcasing his evolving musical range.

SIMILAR: Harmonize – Ujana

X Lyrics by Harmonize

(Cough…)
Bomboclaat!

(Beat starts…)
It’s Konde Boy, call me Number One!

Kimamba on the Beatz!

[Verse 1]

Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?

Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?

Nikimwona analewa, namuelewa
Anajiona kachelewa, age go

Na bado hajapewa
Viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa, age go

Ohhh… uuhhh… ohhh!

[Chorus]

Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?

Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?

NEVER!

[Bridge]

Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila

Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila

[Verse 2]

(Mh) Ibiza, Miami, mbali
Hajapelekwa hata Zanzibari

Hapo Kizimkazi aka enjoy
Low budget

Dubai hatoboi

Anasikitisha X
Kama embe la mti wa porini

Anajipitisha X
Amekosa wa kumuweka mjini

Nikimwona analewa, namuelewa
Anajiona kachelewa, age go

Na bado hajapewa
Viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa, age go

[Chorus]

Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?

Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?

NEVER!

[Bridge]

Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila

Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila

[Outro]

Aaahhh… Bomboclaat!

It’s Konde Boy, call me Number One!
Bakhresa

Ahhhiii
Konde Music Worldwide!

Eh! Sikumpenda tu, nilimtukuza
Nikala bata bila kumchunguza (babe)

Mambo madogo akayakuza
Eti kisa upendo akaniburuza

Harmonize – X Mp3 Download

More hit songs from Harmonize;

Leave a Comment