MP3 DOWNLOAD Goodluck Gozbert – Kina Muuma
Goodluck Gozbert (born on April 12, 1991), a Tanzanian gospel singer known for his soulful sound and his punchy spiritual lyrics. He currently resides in Dar es Salaam but his birthplace is in Mwanza.
Tanzanian Gospel artist and “Shukrani“ hitmaker, Goodluck Gozbert is back with another stunning banger titled Kina Muuma, a number one song from his extended playlist titled Ushindi Ep.
SIMILAR: Goodluck Gozbert – Kama si Wewe
Goodluck Gozbert – Kina Muuma Lyrics
Kinamuuma shetani kinamuuma
Kinamuuma shetani kinam
Amengoja zamani aninase na kamba
Amehaibika ningali chini ya Mwamba
Tena nashangaa alitumia wanadamu
Mi nina Mungu amewatoa manundu
Wale wachawi mabonde radi zilizotumwa
YESU alinibeba mbawani mwake
Kwanza ngoja nicheke
Hahaha hahaha
Kinamuuma kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Aah Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Aliozuia yote yameshindikana aah
Wanaoana amekasirika (Kinamuuma)
Aliochonganisha wamepatana (Kinamuuma)
Wale aliopanga wafe anawaona tena kazimia aah
Wampepee (Wampepee pepee)
Tena wampe na pole (Pepee Pepee)
Aiiih ameshinda tena YESU (Amen Amen)
Ameshinda na vita (Amen Amen)
Kinamuuma kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Ati Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
See Full Goodluck Gozbert – Kina Muuma Lyrics here
MP3 DOWNLOAD
Other related tracks from Goodluck Gozbert;