Young Killer Msodoki – Blessing Lyrics
LYRICS

Young Killer Msodoki – Blessing Lyrics

DOWNLOAD MP3 Young Killer Msodoki - Blessing
Young Killer Msodoki – Blessing Lyrics

Tanzania Hip Pop raper famous as Young Killer Msodoki the hitmaker of Dear Gambe comes up with the new hit song titled Blessing. Below are the Blessing Lyrics written and performed by Young Killer Msodoki.

SIMILAR: Young Killer X Gigy Money – Leo Lyrics

Blessing Lyrics by Young Killer Msodoki

Ee bwana
Haaah. ukweli uko wazi, haujifichagi
Yooh. Usimpe kichwa panzi, mzingwa wa konyaji
Warembo wape zanzi na maji kwenye jagi
Wapunguze stress kisha niwape stimu waki ni hug
Mungu ndo mpaji, kanipa kipaji
Wanangoja nikae kimya, wanakuta sinyamazi
Yani warembo na kazi, Hennessy na zanzi
Wote watu wazima hakuna dogo wa kumtuma maandazi
Nalala na mchuchu
Naamka na supu
Nimeamka tajiri
Nililala kapuku
Nilizima na nguo
Nimeamka mtupu
Kitandani watoto wanalia kama kasuku
Okay.
Mimina pombe kwenye readcup
Ni ukimbie unyonge chap umeniparamia pap
Usione bado tupo top hizo ni blessing
Naona haina haja ya kuki close kiki happen
Inna a d Angelini kuwapata ni channel
Nyumba hii haiuzwi, ogopa matapeli
Vibopa na cancel na maisha ni travelling
Tuna enjoy thug life, Tupac Makaveli
Unapanda kitandani umevaa nguo una maana gani
Akili za kuchimba chambo kwenye lami
Hapa ukija kichwa kichwa
Unarudi tipwa tipwa
Kuna pombe na mademu na vitu zime pikwa pikwa
Misosi nenda kitchen
Everybody listening
Biashara chochote naomba basi njoo unipe me
Pool nenda garden
Mvinyo ukikolea hapa naona wakala wengi
Mpaka sijui pa kutolea. ooh yeeah
Usije sema watu wameiba
Wakati na wewe usha kula vya watu umeshiba
Alafu wahuni wanakuomba ‘mmh mmmh.’ unaziba
Utavua viatu utachuma kisamvu
Naimani utapigwa wewe (hatari) makofi ndio habari
Utaendaje home na dereva kasha lewa chakari
Ila mwenzio hatari, ka vipi mpe habari
Belea halewi bwana mfungulie safari
Na hatulewi kwa sababu ya stress
Kwetu hasara roho, heshima inaambatana na cash
Jicho nyanya hebu tazama ma face
Hapa hakuna kuchorana ka Ronaldo amekutana na Mess
Yes.
Ninahitaji company
Mtoto mmoja wastani
Khriiii mpaka maka, afu tutokee kitandani
Hapo kifuatacho ni kutia mpira kamabani
Ukiona umetengwa basi ujue hujichanganyi
Fanya unitembezee shuka kuta kucha
Maana fisi leo ninapolala kuna bucha
Hapo askari kasimama kuna pusher
Zile bebe kali zimeinama zimesuswa
Mwambie baunsa asilete nyama za sambusa
Apambane maana kuna baby mama hazijaguswa
Aone huku vimini na fulana vinashuswa
Kifuatacho kupambana tu na rushwa
Macho zigi zigi za niga na wizi wizi
Babay uko na me yani ni ku jigi jigi
All night, alright, alright, all night, alright oooh.
Ee bwana
Ujue me sinaga swagger kabisa.

Young Killer Msodoki – Blessing Mp3 Download

Leave a Comment