Barnaba Ft Diamond Platnumz – Hadithi Lyrics — kichwahits
LYRICS

Barnaba Ft Diamond Platnumz – Hadithi Lyrics

MP3 DOWNLOAD Barnaba Ft Diamond Platnumz - Hadithi
Barnaba Ft Diamond Platnumz – Hadithi Lyrics

The hitmaker of Lover Boy and the THT member known as Barnaba Classic, drop a new hits song titled Hadithi, a number one song from “Sounds Different (LSD) Album“. Below are the Hadithi Lyrics that were written and performed by Barnaba and Diamond Platnumz.

SIMILAR: Diamond Platnumz – Number One Lyrics

Hadithi Lyrics by Barnaba Ft Diamond Platnumz

Oooh mtume roho yangu inashindwa kuvumilia,
Si kwa mahaba anayonipa, yazidi mpaka namwagikiwa
Ananipa vinono mpaka nahisi changanyikiwa,
Hongera wake somo mtoto kafundwa katimilia
Wali kwa maini maji ya mdalasini
Na nikirudi nyumbani ananiuliza nianze chakula ama mimii
Hapo ndo ananivurugaga,
Kichwa kinaniumagaaa,
Ndo maana nimewaitaga, mnipe ushauri

CHORUS
Aaaaha Hadithi Hadithi Tamu Kolea,
Mwenzenu mimii tamu kolea,
Mchumba wangu Tamu Kolea,
Aaah sisemii, Tamu Kolea

Aaaaha Hadithi Hadithi Tamu Kolea,
Mwenzenu mimii tamu kolea,
Mchumba wangu Tamu Kolea, Basi sisemii

VERSE 2
Kanionesha jua la asubuhi,
Lavyopenya kwa dirisha na mizungu ambayo siijui amenifundisha,
Shombo la maharani amenisafisha yaya,
Kama hoi sijitambui navyojibebisha

Aaaaaah oooh, Mmmh kanitunza mahaba tamu kutaraji taa (lebe lebee)
Kibababaa michezo ya makida kida (lebe lebe)
Tunawakera waja mbona mtapata shidaa,
Niwape siri labda puto limepata mwibaa
Aaaaha eee nilonge nsilonge (longaa)
Mwenzenu mimi (longaa)
My Baby wangu (longaaa) Mi namlove

CHORUS
Hadithi Hadithi Tamu Kolea,
Mwenzenu mimii tamu kolea,
Mchumba wangu Tamu Kolea,
Basi sisemii, Tamu Kolea

Aaaaha Hadithi Hadithi Tamu Kolea,
Mwenzenu mimii tamu kolea,
Mchumba wangu Tamu Kolea Hapo Sisemi

OUTRO
Ati ona mtoto kataka nami sijivungi,
Nampa nampa tena nampa.
Nampa ale kusaza, nampa nampa tena nampa
Sibakizi hata tonee, nampa nampa tena nampa
Nampa kitu anapenda, nampa nampa tena nampa,
Nampa tamu tamuuu, nampa nampa tena nampa
Ale ajigaragaze, nampa nampa tena nampa

Barnaba Ft Diamond Platnumz – Hadithi Mp3 Download

More hit song from Barnaba;

Leave a Comment