MP3 DOWNLOAD Bahati Bukuku - Ahabu
NYIMBO ZA DINI

Bahati Bukuku – Ahabu

MP3 DOWNLOAD Bahati Bukuku - Ahabu
MP3 DOWNLOAD Bahati Bukuku – Ahabu

Bahati Bukuku is a mother and veteran gospel musician from Tanzania. She is celebrated across the continent for her inspiring gospel tunes. The veteran singer has been tight-lipped on her personal life, and not much is known on her date of birth or the place.

Tanzanian Gospel song singer famous known as  Bahati Bukuku comes up with the new hit gospel song titled Ahabu, a number two song from Dunia Haina Huruma Album.

SIMILAR: Bahati Bukuku – Abneli

Bahati Bukuku – Ahabu Lyrics

Hakuna mtawala mbaya kama ahabu
Hakuna mtawara mbaya kama Ahabu
Wakati wa utawara wake Ahabu
Wakati wa utawara wake Ahabu
Israeli walimtenda Mungu dhambi
Israeli waligeukia njia mbaya
Wakati wa utawara wake Ahabu
Wakati wa utawara wake Ahabu
Wakati wa utawara wake Ahabu
Alitokea nabii jina lake Eliah
Taifa lile lilimtenda Mungu
Hasira ya Mungu iliwaka ndani ya Eliah

MP3 DOWNLOAD

Also, check more tracks from other Gospel Song;

Leave a Comment