Ommy Dimpoz – Ni Wewe Lyrics
LYRICS

Ommy Dimpoz – Ni Wewe Lyrics

MP3 DOWNLOAD Ommy Dimpoz - Ni Wewe
Ommy Dimpoz – Ni Wewe Lyrics

Tanzanian Bongo Flava and AfroBeat Artist and songwriter  Ommy Dimpoz here with a brand new banger tagged Ni Wewe. Below are the Ni Wewe Lyrics written and performed by Ommy Dimpoz.

SIMILAR: Ommy Dimpoz Ft Ali Kiba – Nai Nai

Ni Wewe Lyrics by Ommy Dimpoz

Oh nana
Oh yeah Sultan 001 Nah nah nah nah…
Oooh Nimeacha pengo, bila ni wako upendo Umenipa nuru,
Umenitoa gizani Sina maelezo,
Nimeishiwa uwezo Namwomba aliye juu, anitoe kitandani Nikawazaje?
Ingekuwaje?
Maisha yangu na familia ningeondoka Nikawazaje?
Ingekuwaje yeah yeah Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika Oooh yeah

Baba ni wewe Oh baba yangu,
Baba ni wewe Oh Mungu wangu,
Baba ni wewe Oh Mola baba eeh,
Baba ni wewe

Ooh naona miujiza Siamini moyo ndo najiuliza, ni mimi?
Walelo waliza Kwa dua zao wakasimama na mimi Nikawazaje?
Ingekuwaje?
Maisha yangu na familia ningeondoka Nikawazaje?
Ingekuwaje yeah yeah Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika Oooh yeah

Baba ni wewe Oh baba yangu,
Baba ni wewe Oh Mungu wangu,
Baba ni wewe Oh Mola baba eeeh,
Baba ni wewe

Hakuna kama wewe Mola baba
Hakuna kama wewe mola baba Alpha na omega Ye…
Yeah Alpha na omega Yeah.
Yeah Nah nah nah nah nah…

Baba ni wewe…(Baba ye…ye)
Baba ni wewe…
Mola baba baba yeah.
Baba ni wewe…(Baba we ye..ye)
Baba niwe…
Mola baba baba yeah Mola wewe yeah yeah Baba yeah yeah

Leave a Comment