Manengo Ft Kusah – Milele Lyrics
LYRICS

Manengo Ft Kusah – Milele Lyrics

MP3 DOWNLOAD Manengo Ft Kusah - Milele
Manengo Ft Kusah – Milele Lyrics

Tanzania artist and Hitmaker of Mbuzi famous known as Manengo release a new hit song titled Milele Featuring Tanzanian Bongo Fleva’s talented recording artist, Kusah.

SIMILAR: Manengo Ft Nacha – Walete

Milele Lyrics by Manengo Ft Kusah

……….
mmmh eeeh
mmmh baby
(Anaitwa Manengo hatari mtu huyu)
eheee
Nilisha mvulisha
Alisha nivalisha
Nishamfanyisha push up

……
Na vita nikaanzisha
chumba ni kanisa
pastor nikaanzisha missa

…..
Nilisha mfanya akakesha namimi
nilisha mvalisha pesa madini
alisha nipandisha pressure lakini
mapenzi amefanya akashusha
*** ehee

wazushi wamekalia kuzusha
kughushi story kurusha
baby am sorry kanusha
**hee

kemea wale wenye mapepo majini
Mwenyezi alikuumba weekend iwe pini
kanipa mavumba uspendi na mimi
spendi
vidampa mjini
ni vyema tuka waka lisha


Yote ya nyuma delete si ndo uko na mi eeeh
nipe kwa nguvu ongeza ma ex waumie
mwenzako roho mpaka juu


(milele utakuwa na mimi)
yani juu mpaka juu
(jiandae twende mwezini)
nikuite nani my boo
(we ndo kiboko ya mimi)
usije nipa tabuu


mistari mikali kwa mam sup
mtoto anajua me hip hop
japo mara moja kuzuga
kutari changamsha penzi letu na
kwa taarifa kanusha skendo
hakuna
kupandisha kushusha stable
na tuna
habari eti nachepuka
kusizi kubali mam sup
naweka mkeka una ticki
namoka stoka na stiki
nachapa stiki
nawasha njiti
naapa stokaa na dhiki
we apa utokaa na giggy money
naapa stofanya kiki abadani
wanaomba tuachane
you want my money
waulize tunaachana
Mwenyezi alikuumba weekend iwe pini
kanipa mavumba uspendi na mimi
spendi
vidampa mjini
ni vyema tuka waka lisha


Yote ya nyuma delete si ndo uko na mi eeeh
nipe kwa nguvu ongeza ma ex waumie
mwenzako roho mpaka juu
(milele utakuwa na mimi)
yani juu mpaka juu
(jiandae twende mwezini)
nikuite nani my boo
(we ndo kiboko ya mimi)
usije nipa tabuu
**me korombwee korombwee
kwako korombwee baby
me mujinga
yani chizi
kwako tahira baby


(milele utakuwa na mimi)
(jiandae twende mwezini)
(we sindo kiboko ya mimi)

Manengo Ft Kusah – Milele Mp3 Download

More hit song from Manengo;

Leave a Comment