Mimi Mars - Mua Lyrics
LYRICS

Mimi Mars – Mua Lyrics

MP3 DOWNLOAD Mimi Mars – Mua
Mimi Mars – Mua Lyrics

Tanzanian Pop darling Mimi Mars once again brings you a new hit song, Ohoo! Featuring Baddest 47 This club banger is produced by Gachi B.

SIMILAR: Mimi Mars – Mi Casa Su Casa

Mua Lyrics by Mimi Mars

Nkiwa mbali na uwepo wa macho yako mi mgonjwa siwezi pona
Nitatulia nikikuoonaa ah
Niwapo ubavuni mwako nadeka kama mtoto akiwa kwa mama aah
Natulia nikikuona aaah

Tabia umenibadilisha aah
Pozi zote kwisha
Jeuri ndo kabisa
Nimechange iih

Na hofia ukija nichoresha
Machoziozi sipati picha
Safari ukaikatisha
Huku sijiwezi

Najiona hodari(juu ya penzi lako)
Sina habari(juu ya penzi lako)
Nimeonja asali(juu ya penzi lako)
Najiona mbaali

Najiona hodari(juu ya penzi lako)
Sina habari(juu ya penzi lako)
Nimeonja asali(juu ya penzi lako)
Najiona mbaali

Mtamu kama mua mua mua mua
Game lako murua murua murua
Mtamu kama mua mua mua mua
Game lako murua murua murua

Unavonikanda na kunichua
We ni damu we nikiugua
Unanifanya najishebedua aah yeah
Puliza mrashi wapi mafua
Wanaopenda kudadavua
Sie tunapika na kupakua aah yeah

Hatuna kelele
Tunaendana endana
Mpaka milele
Tutazikana

Najiona hodari(juu ya penzi lako)
Sina habari(juu ya penzi lako)
Nimeeonja asali(juu ya penzi lako)
Najiona mbali
Mtamu kama mua mua mua mua
Game lako murua murua murua
Mtamu kama mua mua mua mua
Game lako murua murua murua

Mimi Mars – Mua Mp3 Download

Chek More Track From Marioo;

Leave a Comment