Kusah – Wasi Wasi Lyrics
LYRICS

Kusah – Wasi Wasi Lyrics

MP3 DOWNLOAD Kusah - Wasi Wasi
Kusah – Wasi Wasi Lyrics

Tanzanian Bongo Fleva’s talented recording artist, singer, and songwriter, Salmin Ismail Hoza popularly known as Kusah drops a new song titled, Kusah – Wasi Wasi.

SIMILAR: Kusah – Karibu

Wasi Wasi Lyrics by Kusah

Baby
Doli samwelaa
Ooh baby , penzi kombolelaa
Baby tusije kumbwelaa,
Ooh baby wakabutua pila,
Honey sisi hina damu hatujakamilikaa,
Ukinicheat mara koja sawa hila ficha,
Yani dunia ina mengi usijelewa sifaa,
Ukikosea mara moja tafadhali shukaa,
Haya puliza kama inauma,
Na ukiwashwa nakukuna,
Mna moyo wa nyuma sinawa chuma,
Ukikosea itaniuma.
Haya puliza kama inauma,
Na ukiwashwa nakukuna,
Mna moyo wa nyuma sinawa chuma,
Ukikosea itaniuma
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi
Beat
…………

Ety si unanipenda wee,
Ulisema hata nyumba si tutajenga wee,
Ety si uko kando wee,
Ulisema nikiwa sina nitabaki nawee.
Ningeweza kuigawa ningejichana ngejigawa,
Nikupe hata kipande nikiwa kipande nikiwa mbali baki dawa,
Honey sisi hina damu hatujakamilikaa,
Ukinicheat mara koja sawa hila ficha,
Yani dunia ina mengi usijelewa sifaa,
Ukikosea mara moja tafadhali shukaa,
Haya puliza kaa I nauma,
Na ukiwashwa nakukunaa,
Naa moyo wa bhana si wa chuma,
Ukikosea itaniuma.
Haya puliza ka inauma,
Na ukiwashwa nakukuna,
Nna moyo wa nyuma si wa chuma,
Ukikosea itaniuma.

Eeeiyyya
Waooo
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi,
Ndo tu wanitesaa
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi,
Ndo akili yoo
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi,
Ndo tu wanitesaa
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi

Kusah – Wasi Wasi Mp3 Download

Get More Hits Song From Kusah;

Leave a Comment