Ibraah Ft Harmonize – Tunapendeza Lyrics — kichwahits
LYRICS

Ibraah Ft Harmonize – Tunapendeza Lyrics

MP3 DOWNLOAD Ibraah Ft Harmonize - Tunapendeza
Ibraah Ft Harmonize – Tunapendeza Lyrics

Tanzanian recording artist and Konde Music World Wide serial hitmaker Ibraah have released a new hits song titled Tunapendeza, Featuring konde gang boss Harmonize.

SIMILAR: Ibraah – Jipinde

Tunapendeza Lyrics by Ibraah Ft Harmonize

Kama mapenzi yangekua nyumba
We mchanga mi tofari
Waseme umenifanyia ndumba
Mie ata sijali
Nisipokupenda wewe nitampenda nani niambie
Yani kama nisipokupenda wewe ntampenda nani niambie
Ningeishi kamanda na nyota
Ila kwenye mapenzi nasota
Usiku nikilala nakuota nakuota wewe hapo
Mjeshi kamanda nanyota ila kwenye mapenzi nasota
Usiku nikilala nakuota nakuota wewe
Moyo wangu pancha mi moyo wangu pancha

Bila we mi siwezi tembea siwezi tembea
Husije ukaniacha baby ukaniacha
Wanafki watanizomea watanizomea

Mi na wewe tuu uuuh
Tunapendeza tunapendeza
Mi na wewe tuu uuuh
Tunapendeza tunapendeza
My baby boo uuuuh
Tunapendeza tunapendeza
Am me and you uuuuh
Tunapendeza tunapendeza

Ukiwa mbali nakumiss upweke si jambo rahisi
Jichunge ma kuna ibilisi mmmh
Tunavyogombana kesho tukapatana
Kipimo tosha tunapimana
Kiasi gani tunapendana eeh
Tunavyogombana kesho tukapatana
Kipimo tosha tunapimana
Kiasi gani tunapendana eeh
You’re you
You’re the one am going to marry you
Uwe wa halali uwe wangu tu
Umenipa pancha panch mi moyo wangu pancha

Bila we siwezi tembea siwezi tembea
Husije ukaniacha baby ukaniacha
Wanafki watanizomea watanizomea

Mi na wewe tuu uuuh
Tunapendeza tunapendeza
Mi na wewe tuu uuuh
Tunapendeza tunapendeza
My baby boo uuuuh
Tunapendeza tunapendeza
Am me and you uuuuh
Tunapendeza tunapendeza
Tunapende tunapendeza
Aah chinga
Konde music worldwide

Ibraah Ft Harmonize – Tunapendeza Mp3 Download

More hit songs from Ibraah;

Leave a Comment