Mbosso – Amepotea Lyrics
LYRICS

Mbosso – Amepotea Lyrics

MP3 DOWNLOAD Mbosso – Amepotea
Mbosso – Amepotea Lyrics

Tanzanian recording artist and former Yamoto Band member currently signed under WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi better known as Mbosso drops a new hot banger titled, Amepotea.

SIMILAR: Mbosso – Huyu Hapa

Amepotea Lyrics by Mbosso

Vipeperushi vinasambaaa eti natafutwa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa, wananitafuta
Nimepotea mwezi imekata

Kazini sionekani, yupo wapi huyu
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
Baba kaniuoizia, yupo waapi huyu
Mama haishi kulia, yupo wapi huyu

Mimi, nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
Sio “*”:. mwana Rahabu mlomkuta Tanga
Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waanga
Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
Penzi lawa sasa mbule lenye protini vitamini na wanga
Aaah ladha yake, si sukari
ni vichenza na malimao
Mechi zake huwa hatari
Ni chenga na mabao

Kazini sionekani, yupo wapi huyu
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
Baba kaniuoizia, yupo waapi huyu
Mama haishi kulia, yupo wapi huyu

Mimi, nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi (msinitafute, msihangaike,…..)
nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
Nipo salama mimi, nipo salama mimi, msinitafute niko salama mimi

Mbosso – Amepotea Mp3 Download

Also, Check out More Hits Song From Mbosso;

Leave a Comment