D Voice Ft Diamond Platnumz – Kama Wengine Lyrics
NEW AUDIO

D Voice Ft Diamond Platnumz – Kama Wengine Lyrics

AUDIO D Voice - Swahili Kid MP3 DOWNLOAD
D Voice Ft Diamond Platnumz – Kama Wengine Lyrics

Tanzanian upcoming singeli recording artist and singer signed under WCB wasafi label famous as D Voice is here with a new hit song titled Kama Wengine Featuring Diamond Platnumz, a numbe nine song from his new album titled Swahili Kid Album.

SIMILAR: D Voice Ft Mbosso – Mpeni Taarifa

Kama Wengine Lyrics by D Voice Ft Diamond Platnumz

Oya we unajifanyaa unajifanya mtu wa dini mchana
Usiku kidimbwi unagombania mabwana
Unajifanya ujatumika msichana
Sa nimechomeka sa mbona ijabana
Oya we (we malaya tu kama malaya wengine)
Oya we (we utumbo tu kama utumbo mwengine)

Aah snichi sio mwana mwana sio snichi
Nikiwanae shemu kumbe nikiondoka sweet
Viushauri penzi langu kunipatia
Kumbe kwa nyuma bebe yangu unaivizia

We snichi tu kama ma snichi wengine
Oya we ( we kuadi tu kama kuwadi wengine)
Unajufanya hupendi waganga unapenda mashekhe
Kujifanya dogo janja kama hujabalehe
Kumbe wewe na mimi wote wale walee
Tofauti mganga wako wabuza wangu watandalee
Oya wewe ( we mchawi tu kama wachawi wengine)
Oya wewe we ni mwanga tu kama mwanga wengine
Unaheshimu ramadhani unazini shabani
Mchana stara usiku viwanja

Sa maubiri yako unamuhubiria nanii
Wewe na mimi wote kesho motoni
We shetani tu kama shetani wenginee
Oya wewe we firauni tu ka firauni wengine

Asa nikilewa bwi msiniache mnibebe
Nikiwa tungi bwi msiniache mnibebe
Nikivesha bwi msiniache mnibebe
Nikipuliza bwi msiniache mnibebe
Aya nibebe nibebe nibebe nibebe
Oya kwenye ofa za bia msiniache mnibebe

Mkienda viwanja msiniache mnibebe
Wanangu wasafi fest msiniache mnibebe
We kwenye vibe msiniache mnibebe
Aya nibebe nibebe nibebe nibebe

Sawa mniite chizi mwendawazimu wewe apo msukule (kule)
Kama ulikula changu kasimu basi hakiendi bure
Asa muda wakulipa muda wakuchojoa
Muda wakulipa muda wakuchojoa

Dada muda wakulipa (lipa)
Muda wakuchojoa (chojoa)
Muda wakulipa (lipa)
Baba muda wakuchojoa

Nilipotoka mwenyenyumba kanivurula
Kanipandishia kodi kafikwa zadhurara
Nilipotoka mwenyenyumba kanivurula
Mpka nahisi joto kama kusaula

Sa na wewe saula sasa mwanangu saula sasa (saula)
Saula sasa nione saula sasa (saula)
Saula sasa wanangu saula sasa (saula)
Saula saaa ivue saula sasa (saula)

Oya wakilewa wao wanavibe tukilewa si tunastress
Sa nawanywea pombe niwashe moto kudadek
Wakilewa wao wanavibe tukilewa si tunastress
Sa nawalia kitu niwashe moto kudadek

Niwashe nisiwashe (washa)
Wanangu niuwashe (washa)
Niwashe nisiwashe (washa)
Wahuni niuwashe (washa)
Nauliza niwashe (washa)
Ama nisiwashe (washa)
Machizi boti niwashe (washa)
Amaa ni si waa…

D Voice Ft Diamond Platnumz – Kama Wengine Mp3 Download

Check out More Hits Song From D Voice;

Leave a Comment