Whozu Amuita Marioo Akachukue Tuzo Yake
LIFESTYLE

Whozu Amuita Marioo Akachukue Tuzo Yake

Whozu Amuita Marioo Akachukue Tuzo Yake
Whozu Amuita Marioo Akachukue Tuzo Yake

Utani wa @whozu_ kwa @marioo_tz kuhusu tuzo ya @barnabaclassic aliyoibadilisha jina na kuandika la msanii huyo baada ya madai yake kuhusu kukosa tuzo mwaka 2023.

SIMILAR: Unlocking Minds: Stop using your age as an excuse

Barnaba aliamua kumwambia Toto Bad kuwa amekubali maneno yake na amempa tuzo hiyo kwa moyo mmoja, akisema anastahili na kuanzia sasa tuzo hiyo itakuwa yake.

#Marioo #Tuzo #Muziki #Tanzania #AfrikaMashariki

Similar Lifestyle Post;

Leave a Comment