Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Kibango Lyrics
LYRICS

Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Kibango Lyrics

MP3 DOWNLOAD Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Kibango
Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Kibango Lyrics

Tanzanian recording artist Lava Lava, known for his electrifying performances and catchy tunes, has returned with a new hit titled “Kibango.” Signed under the prestigious WCB Wasafi record label, Lava Lava continues to showcase his musical prowess and ability to create infectious beats that resonate with fans across the globe.

SIMILAR: Lava Lava Ft Bailey RSA – Sawa

Hhhhmm!
Hii party ina mademu bwana
Ina mademu bwana
Hii party ina wachumba sana
Ina wachumba sana
Eeeh hii party inawachat bwana
Inawachat bwana
Hii party inamadanga bwana
Ina madanga

Ningejuta ningekosa kuja kwenye (Hii party)
Ningejilaumu sana (Hii party)
Eti nilitaka nisitokee (Hii party)
Si mngenicheka sana (Hii party)
Don masha yuko kwenye (Hii party)
Kamwaga watoto bwana (Hii party)
Nana mapozi yupo kwenye (Hii party)
Kamwaga madanga (Hii party)

Naskia nyee! naskia nyee!!
Naskia nyeee
Nyepesi hii pombe nchanganyie bapa
Naskia nyee! naskia nyee!!
Naskia nyeee
Nyepesi hii pombe nchanganyie bapa

Pablo! Pablo! Haujui..! Pablo!
Hii party inavijii Inavijiti
Yani jinsi Ilivyoshona ndani ntiti nje ntiti
Hii party inamabiii ina mabint
Vitoto vya elufu mbili vilivyonoga mashauzi vipi
Eeh! Ebwana mi sankae wapi
Ama ndo nipande juu ya meza (panda juu yameza)
Ama nije kati
Moja kwa moja nije kucheza
Sankae wapi ama ndo nipande juu ya meza
Ama nije kati moja kwa moja nije kucheza

Ningejuta ningekosa kuja kwenye (Hii party)
Ningejilaumu sana (Hii party)
Eti nilitaka nisitokee (Hii party)
Si mngenicheka sana (Hii party)
Don masha yuko kwenye (Hii party)
Kazimwaga bebe bwana (Hii party)
Santos yupo kwenye (Hii party)
Kavishusha vitu bwana
We Unaskiaje? naskia nyee!
Naskia nyee!! Unaskia nini?
Naskia nyeee, nyepesi hii pombe nchanganyie bapa
Naskia nyee! Naskia nyee!!
Naskia nyeee
Nyepesi hii pombe nchanganyie bapa

Pablo! Pablo! Haujui..! Pablo!
Kibango ikooo
Kinakwenda meza ya nani ebu nisomee
Kibango ikooo kinakwenda meza ya nani ebu nisomee
Kibango ikooo kimeandikwa tajiri nani ebu nisomee
Kibango ikooo kimeandikwa tajiri nani ebu nisomee
Eeeh! Kinakwenda meza ya nani (Kibango)
Kimeandikwa tajiri nani (Kibango)
Huyo mwenye fujo nani (Kibango)
Eeeeeehhh!!!! (Kibango)
Kinakwenda meza ya nani (Kibango)
Kimeandikwa tajiri nani (Kibango)
Huyo anaekomesha nani (Kibango)
Eeehee nani?

More hit songs from Lava Lava;

Leave a Comment