Mocco Genius Ft Alikiba – Mchuchu Lyrics
LYRICS

Mocco Genius Ft Alikiba – Mchuchu Lyrics

MP3 DOWNLOAD Mocco Genius Ft Alikiba - Mchuchu
Mocco Genius Ft Alikiba – Mchuchu Lyrics

Tanzanian music singer and producer, Mocco Genius, has released a brand new song titled “Mchuchu,” featuring the renowned artist Alikiba. The collaboration between these two talented musicians is sure to excite fans and bring a fresh sound to the music scene.

SIMILAR: Mocco Genius Ft Alikiba – Napendwa II

Mchuchu Lyrics by Mocco Genius Ft Alikiba

Mojaaaaah
Yooooooh
Mocco

Mimi nimekuona wewe
Katika mamia ya wengine
Me wa kwako weweee
Hakika Sina mwengine

Wamaisha yangu
Wamaisha yangu
Wamaisha yangu
Wamaisha yangu

Mbona hata mama aliniambia
Kila kitu changu Cha kwako wewe
Cha kwakooh
Ndo maana (nakupa mchuchu

Moyo wangu woteeee
Moyo wangu woteeee
Moyo wangu woteeee
Moyo wangu woteeee

Ahaaaaaaaah
Yooooooh
Hiii tamu bhanaa
Compa kompa
Busu tu nazimaaaa
Mahaba yako mazito ukiyapimaaa
Oooh uwezi Sina ningekuonga Madina
Na hata hii Dunia iih itakuwa lako jina
Ooh nalikwambiaga ungenipenda Mimi tu
Kwa mapenzi ya kumwaga, Oooh

Aaah we (Wamaisha yangu)
Aaah we (Wamaisha yangu)
Aaah we (Wamaisha yangu)
Aaah we (Wamaisha yangu)

Mbona hata mama aliniambia
Kila kitu changu Cha kwako wewe
Cha kwakooh
Ndo maana (nakupa mchuchu

Moyo wangu woteeee
Moyo wangu woteeee
Moyo wangu woteeee
Moyo wangu woteeee

Alooooooh
Mmh ….
Hii tamu bhanaaa
Mojaaaaaa

Mocco Genius Ft Alikiba – Mchuchu Mp3 Download

Get More Hits Song From Nandy;

Leave a Comment