MP3 DOWNLOAD Young Lunya – Mbwa Mwitu
Young Lunya, born Patrick Peter in Dar es Salaam, is a prominent Tanzanian rapper and a leading figure in the East African hip-hop scene. He initially gained fame as a member of the rap trio OMG before launching a successful solo career in 2019, eventually becoming the first Tanzanian hip-hop artist to sign with Sony Music Entertainment Africa.
Tanzanian Hip Hop recording artist signed under Rooftop Gang a hip-hop record label based in Tanzania, Young Lunya is back with a brand new banger titled Mbwa Mwitu.
SIMILAR: Young Lunya – Freestyle Session 6
Young Lunya – Mbwa Mwitu Lyrics
Yeah gang-gang mimi nimekuwa kwenye mazingira magumu
Ya kigang gang, sikuweza hata kumantain
Sikuweza hata kufikiria furaha, maana kila siku ni same pain
Nikimcheki baba kastaafu, nikicheki mama ana vitenge sijui vitatu
Mdogo wangu anakosa hata viatu, godoro ni la baba na mama
Wengine tunalalia sakafu sasa hapo mimi ilinibidi nijipange maana
Nyumbani kila siku ni ugali tu tukila vizuri kande, labda na tupapa twa kipande
Na kama ni Chips kavu moja wote tunaipiga mande
Mambo nikaona yanaenda kuchina
Inafikia muda sister angu anachada mi mwanaume sina
Home nako kukaza fitina
Naonekana kama jibwa koko chafu lililokosa jina
Nikaona siwezi kutukanwa bora niingie machakani kutafuta cha kufanya
Nitabeba hata magunia ya nyanya
Mateso kaumbiwa mtoto wa kiume
Nikasepa kupambana shida straight up
Nikaingia kwenye makundi ambao wananasa ndege kama gundi
Nitawaambia ukweli kwa kuiba wana walikuwa mafundi
MP3 DOWNLOAD
Get More Hits Song From Young Lunya;
- Young Lunya – Simu
- Young Lunya – Fimbo
- Young Lunya – Vitu Vingi
- Young Lunya – Freestyle Session 2
- Young Lunya – Freestyle Session 5
- Young Lunya – FreeStyle Season Magufuli

