Kijana wa Miaka 23 Ashinda TZS 100 Milioni Kupitia SportPesa Goal Rush!
Kwa mara ya kwanza tangu kuzinduliwa kwa mchezo wa Goal Rush mwaka 2024, SportPesa Tanzania imeshuhudia mshindi wa kihistoria aliyejinyakulia TZS 100,000,000 baada ya kufanya utabiri sahihi kwenye mechi tatu mfululizo.
Ibrahimu Muya Sankonga, kijana mwenye umri wa miaka 23 kutoka Kilindi, Tanga, ndiye mshindi wa kwanza mkubwa kabisa wa Goal Rush — akitengeneza historia kama mwanamichezo wa kubashiri mwenye uelewa wa kipekee katika mchezo huu wa kipekee wa maarifa.
SIMILAR: Watanzania sasa wanaweza kushinda papo hapo kwa TSh 100 tu – Tatu Pesa kutoka SportPesa yazinduliwa
Table of Contents
Utabiri Ulioleta Utajiri
Ibrahimu alibashiri kwa usahihi timu zitakazofunga bao la kwanza, kipindi kitakachofungwa bao hilo, na dakika halisi kwenye mechi zifuatazo:
- Liverpool vs Arsenal – Bao la kwanza: Liverpool, dakika ya 20 (kipindi cha kwanza)
- Napoli vs Genoa – Bao la kwanza: Napoli, dakika ya 15 (kipindi cha kwanza)
- Boavista vs Porto – Bao la kwanza: Porto, dakika ya 20 (kipindi cha kwanza)
“Nilikuwa nimelala, nilipoamka na kufungua simu, nikakuta taarifa ya ushindi wa milioni 100. Niliketi kwanza, nikapumua… sikuamini kabisa! Hii ni ndoto yangu kutimia,” alisema Ibrahimu kwa msisimko.
Mshindi wa Kwanza wa Goal Rush – Mshindi wa Taifa
Kwa ushindi huu, Ibrahimu amejiunga rasmi na orodha ya mamilionea wa SportPesa Tanzania, akiwa mshindi wa kwanza kabisa wa TZS 100 Milioni kupitia Goal Rush.
Akiwa na furaha tele, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa, Mhe. Tarimba Abbas, alisema:
“Hii ni fahari kubwa kwa SportPesa. Tumeshuhudia kijana kutoka Kilindi – sehemu ya mbali ya nchi – akitengeneza historia. Huu ni ushahidi kuwa washindi wetu wanatoka kila kona ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ushindi huu mkubwa utabadilisha maisha yake na familia yake.”
Betting ni Skill Game – Na Goal Rush Inadhihirisha Hilo
Mhe. Tarimba aliongeza kuwa mchezo wa kubashiri umeegemea kwenye maarifa na uelewa wa michezo:
“Kuna dhana potofu kuhusu betting. Ukweli ni kwamba betting ni mchezo wa maarifa (skill game). Siyo tu burudani — ni pia shughuli ya kiuchumi. Ushindi kama huu unaweza kuchochea biashara, kutoa ajira, na kuingiza kodi serikalini. Ibrahimu sasa si tu mshindi – ni mwekezaji mtarajiwa.”
Goal Rush – Mchezo wa BURE wa Maarifa na Bahati
Goal Rush ni mchezo mpya na wa kipekee wa SportPesa unaowapa wachezaji nafasi ya kubashiri mechi tatu, kuchagua timu ya kufunga bao la kwanza, kipindi na dakika halisi.
Ni bure kabisa kwa kila mchezaji wa SportPesa aliyesuka mkeka ndani ya siku 7 zilizopita.
Zawadi zinazotolewa:
- TZS 100,000,000 kwa mshindi mkuu
- Bonus za TZS 200,000 na TZS 10,000 kila siku
Ungana na Washindi wa Goal Rush Leo!
Tembelea www.sportpesa.co.tz. Piga 15087# BURE au. Ingia kwa tovuti ya SportPesa na uweze kua mshindi. Na zaidi ya hapo, Zero Data ya SportPesa inakuwezesha kucheza bila kutumia bando kupitia mitandao ya Vodacom, Yas, na Airtel. Ushindi mkubwa huanza na hatua ndogo — jaribu Goal Rush leo, ushindi wako unaweza kuwa wa kihistoria kama wa Ibrahimu!
Check more SPORTS articles;
- CV na Profile ya Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba SC
- Watanzania sasa wanaweza kushinda papo hapo kwa TSh 100 tu – Tatu Pesa kutoka SportPesa yazinduliwa
- Supa Jackpot ya SportPesa yafikia Tzs 1.28 bilioni: jukwaa maarufu la ushindi unaobadilisha maisha Tanzania
- Bingwa wa Aviator ashinda zaidi ya TZS 116,000,000: Jiunge na SportPesa uwe mshindi mkubwa anayefuata!