LYRICS

Whozu – Gonga Lyrics

MP3 DOWNLOAD Whozu - Gonga
Whozu – Gonga Lyrics

Oscar John Lelo better known by his stage name Whozu, is a Tanzanian singer, songwriter, and Entertainer. Too Much Money presents a new hit banger from Whozu titled Gonga.

SIMILAR: Whozu Ft Zuchu – Attention

Gonga Lyrics by Whozu

Lebaah… Switch Whozu…
Eeeh uuuh… S2kizzy baby…
Uuuh uuuh uuuh eeeh…

Verse 1
Baby ni penzi oh letu wasitie doa
Ziba masikio wakizogoa
Wakileta utete usiteteleke
Wapi mgongo zoa zoa hii

Hook
Endapo wakijaribu kuminya chochote imani yetu ipo kwenye salaah
Nikiteleza usinihukumu nikianguka niokote tumeshikama ndugu mpaka twafanana aah uuuh oooh

Chorus
Baby gonga gonga gonga ayaii
Baby gonga aiaii gonga gonga pruu prata
Baby gonga gonga gonga aiii eeeh
Baby gonga ayayaa gonga gonga maii
Musiki wa wakubwa S2kizzy mwapao weeh

Verse 2
Vichenchi nadunduliza waje wasome watoto wasinipe lawama (usinipe lawama)
Kuna kibanda umiza mii muuza pombe ridhiki co laana (ooh co laana)
Maisha mazuri sina chonde chonde jahazi lisije zama hiii
Nachopata najima usikonde na tutafika salama uuuh aah

Hook
Endapo wakijaribu kuminya chochote imani yetu ipo kwenye salaah
Nikiteleza usinihukumu nikianguka niokote tumeshikama ndugu mpaka twafanana aah uuuh oooh

Chorus
Baby gonga gonga gonga ayaii
Baby gonga aiaii gonga gonga pruu prata
Baby gonga gonga gonga aiii eeeh
Baby gonga ayayaa gonga gonga maii
Musiki wa wakubwa S2kizzy mwapao weeh

Outro
Mamaa tutaenda Moshi sawa eh nyumbani kwetu ayeee

Whozu – Gonga Mp3 Download

Also, check more tracks from Whozu;

Leave a Comment