APP

Diamond Platnumz – Upofu Natamani

MP3 DOWNLOAD Diamond Platnumz - Upofu Natamani
MP3 DOWNLOAD Diamond Platnumz – Upofu Natamani

Nasibu Abdul Juma Issack, popularly known by his stage name Diamond Platnumz, is a Tanzanian bongo Flava recording artist, dancer, philanthropist, and businessman of Ha heritage. He was born and raised in Tandale, Dar es Salaam.

A top Tanzanian recording artist and WCB Wasafi serial hit sing maker, WCB Wasafi Record Big Boss Diamond Platnumz a.k.a Simba, came through will a new released song titled  Upofu Natamanisong number four from his best AlbumLala Salama Album

SIMILAR: Diamond Platnumz – Kwanini

Diamond Platnumz – Upofu Natamani Lyrics

Mi kweli natamani siku iwezekane
Nifumbue macho mi kuona
Nijue sababu gani, unanipenda sana
Wakati siwezi mi kuona?

Mi kweli natamani siku iwezekane
Nifumbue macho mi kuona
Nijue sababu gani, unanipenda sana
Wakati siwezi mi kuona?

Mara nyingi peke yangu nawaza
Namuomba Mungu nisije kukwaza
Nikaja kukupa maudhi na nafsi kuichoma
Chei, tena usiku mzima nalia darling
Napiga goti kwa Mola nasali
Azidi tupe baraka tusije kosa dona

MP3 DOWNLOAD

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment