AUDIO

Alikiba – Lupela

MP3 DOWNLOAD Alikiba – Lupela
MP3 DOWNLOAD Alikiba – Lupela

Alikiba (Ali Saleh Kiba), born November 29, 1986 in Kigoma, Tanzania, is one of East Africa’s most esteemed Bongo Flava and Afropop artists. Dubbed “King Kiba,” he first rose to prominence with hits like Cinderella (2008), and after a brief hiatus returned with acclaimed tracks such as NagharamiaAje, and Mwana.

A Tanzanian artist, singer, and songwriter, Alikiba has continued to impress fans with his unique style, powerful vocals, and creativity. Over the years, he has released several hit projects that showcase his musical growth and versatility. His latest release titled Lupela was produced by Ali Kiba Music.

SIMILAR: Alikiba – Mvumo Wa Radi

Alikiba – Lupela Lyrics

Pokea zangu salamu, kwangu mimi
Mwambie ameshakuwa, nahitaji kukuoa
Kwanza uwe na mume, utambe na uringe
Nami niwe na muke, ili unichunge
Mng’aro wa nuru yako, kama mba la mwezi
Na uzuri wa macho yako, kama yana machozi

Lupe lupe lupe, lupela
Umeumbwa mama, lupela
Lupe uwe wangu, lupela
Inapendeza lupela
Lupe lupe lupe, lupela
Lupe uwe wangu, lupela
Inapendeza
Lupe luwi uwi, lupela
Luwi uwi, lupela
Luwi uwi, lupela
Inapendeza
Lupe lupe lupe, lupela
Aaah lupe, lupela
Lupe uwe wangu, lupela
Inapendeza

Honeymoon wapi twende visiwani
Ama chini baharini au tupae angani
Lupela
Mi papa si ujaji, nawe mama si ujaji, lupela
Wal -adal -baudhi

MP3 DOWNLOAD
kichwahits.com

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment