MP3 DOWNLOAD Bella Kombo – Milele
Bella Kombo is a Tanzanian born Gospel singer, songwriter, minister, designer and an advocate for women whose most notable works include ‘Nifinyange’, ‘Mungu ni mmoja’, ‘Mwema’ and ‘Ameniona’ which have all amassed millions of views on YouTube.
Tanzanian gospel musician singer, Bella Kombo brings us a new wonderful gospel song titled, Milele.
SIMILAR: Roma Ft Abiud – Nipeni Maua Yangu
Bella Kombo – Milele Lyrics
Nataka nikujaribu
Zaidi ya nguvu zangu
Ninapofika mwisho
Uniongeze nguvu Baba
Nia nikuone
Nia nikupendeze
Mapenzi yako
Baba yatimizwe
Nia nikuone
Nia nikupendeze
Mapenzi yako
Baba yatimizwe
MP3 DOWNLOAD
Check More Track From Roma and Stamina;