MP3 DOWNLOAD Dizasta Vina - Fallen Angel
AUDIO

Dizasta Vina – Fallen Angel

MP3 DOWNLOAD Dizasta Vina - Fallen Angel
MP3 DOWNLOAD Dizasta Vina – Fallen Angel

Edger Vicent Mwaipeta (born February 17, 1993), known professionally as Dizasta Vina is a Tanzanian rapper, songwriter, and record producer from Mbeya, Tanzania. Many of Dizasta Vina songs become very popular and trendy online with a great number of streaming and downloads.

Tanzanian hip hop musician and producer from Tanzania, Dizasta Vina unlocks a new song titled Fallen Angel, a number twelve song from his album titled Jesusta Album.

SIMILAR: Dizasta Vina – Top Shelf

Dizasta Vina – Fallen Angel Lyrics

Wanasema nilipenda bila tija,
kwamba sikutaka kujifunza sikutaka tiba
Nilikupenda na mtaani ilikuwa shida
Nilikosana na watu maana nilikutaja kila mida

Niligombana na wana uliposema nipunguze marafiki,
ulihisi wengi wao wa nafikiria. Ukasema niache muziki,
nikaacha nikatafuta kazi ilimradi nipambane na dhiki.
Nikaona shega, kama kuna boya yeyote atanilaumu…..
yamkini bado hajapenda
Niliitika uliponita,
nilifika nikakusikiliza na kila uliponituma nilikwenda

MP3 DOWNLOAD
kichwahits.com

More hit songs from Dizasta Vina;

Leave a Comment