AUDIO

J.I Ft Lil Ghetto – Kidato Kimoja

MP3 DOWNLOAD J.I Ft Lil Ghetto - Kidato Kimoja
MP3 DOWNLOAD J.I Ft Lil Ghetto – Kidato Kimoja

It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Kidato Kimoja mp3 audio Download by J.I. Enjoy!

SIMILAR: Lava Lava – Tajiri

J.I Ft Lil Ghetto – Kidato Kimoja Lyrics

Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe
Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchagua wewe
Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe
Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchagua wewe
Nikiwa karibu na ua ridi, basi na mimi nitanukia
Kukuoa inanibidi, kwa kila hali ma umenivutia

Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi
Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja
Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi
Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja

MP3 DOWNLOAD

More hit songs from Lava Lava;

Leave a Comment