MP3 DOWNLOAD Nyota Ndogo – Watu Na Viatu
Nyota Ndogo is a musician from Kenya who performs taarab-influenced pop music. Ndogo is from the coastal city of Mombasa. She was a school drop-out who worked as a housemaid
Welcome again, Today is a brand new day and It is our honor to present a brand new song from Nyota Ndogo titled Watu Na Viatu mp3 Download…..have it!
SIMILAR: Rayvanny ft Guchi – Sweet
Nyota Ndogo – Watu Na Viatu Lyrics
Rafiki lyangu mpendwa naja kwako siku nyingi
Wanipokea kwa uzuri siku zote
Wakati sina wanipa nitakacho husiti
Nisemacho kwako sawa waniombea mungu
Moyoni mwangu najua nina rafiki huyu wa kweli
Hakuna yule ambaye atakuja kati yetu
Wakati sina wanipa nitakacho husiti
Nisemacho kwako sawa waniombea mungu
Ooh kuna watu na viatu duniani
Ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
Ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
Achana nao, waepuke haraka sana
MP3 DOWNLOAD
Other related tracks from Rayvanny;