AUDIO

Otile Brown – Nauelewa

MP3 DOWNLOAD Otile Brown - Nauelewa
MP3 DOWNLOAD Otile Brown – Nauelewa

Jacob Obunga popularly known as Otile Brown is a Kenyan independent R&B singer, songwriter, guitarist, and actor. He gained media attention after the release of his hit single “Imaginary Love,” featuring Khaligraph Jones.

Kenyan R&B sensation Otile Brown released the hit single “Nabayet,” a heartfelt love song dedicated to his former Ethiopian girlfriend, Nauelewa.

SIMILAR:Otile Brown – Nabayet

Otile Brown – Nauelewa Lyrics

Inachohitaji moyo
Hata akili haiwezi baini
Ila cha mtima cha moyo
Hata kama sio kizuri
Kwako nazama mazima
Sioni siambiliki
Umekuchagua mtima
Dhamani yako haina kifani

It takes two tango
Sako kwa bako
Tena unikumbate usiache
Mi wako peke yako
It takes two tango(Tango)
Sako kwa bako(Bako)
Tena unikumbate usiache
Mi wako peke yako
Maana huu mziki(Nauelewa)
Beiby(Nauelewa)
Mziki hatari(Nauelewa)
Nauelewa(Nauelewa)
Sasa washa ndololi(Washa)

MP3 DOWNLOAD
kichwahits.com

More hit songs from Otile Brown;

Leave a Comment