MP3 DOWNLOAD Zuchu Ft Diamond Platnumz – Litawachoma
Zuhura Othman Soud, better known by her stage name Zuchu, is a Tanzanian singer, songwriter, and recording artist signed under WCB Wasafi records label Diamond Platnumz leadership, drop a new hits song titled Litawachoma.
Litawachoma new Zuchu hit banger produced By Mr. LG & Lizer Classic featuring her boss Diamond Platnumz the CEO of WCB Wasafi
SIMILAR: Zuchu Ft Diamond Platnumz – Cheche
Zuchu Ft Diamond Platnumz – Litawachoma Lyrics
Habiby Louzii
Kipenzi Changu Cha Ngama
Mi Ma Wewe Hadi Milelee
Komesha Wachokozii
Wabaki Kututazama
Tuwatoe Jasho La Nywele
Mhh! Nimesikia Khabari
Eetii Kuna Mtu Twamkera
Oooh Mbona Akae Tayari
Maana Bado Muvi Hili Trelaaa
Na Usiku Nikumbate (Iteh Teh Teh Teh)
Oooh My Baby Boo (Iteh Teh Teh Teh)
Kwa Gego Ning’ate Nga’te (Iteh Teh Teh Teh)
You Know I Love You
Nikizidi Ugomvi Unichape (Iteh Teh Teh Teh)
Silaha Runguu (Iteh Teh Teh Teh)
Kwenye Joto Nipepee (Iteh Teh Teh Teh)
Mwandani Wanguuu
Penzi Letu Kwao Fayaa
See Full Zuchu Ft Diamond Platnumz – Litawachoma Lyrics here