Director Khalfani kuzikwa leo saa 10
E NEWS

Director Khalfani kuzikwa leo saa 10

Director Khalfani kuzikwa leo saa 10
Director Khalfani kuzikwa leo saa 10

Mtayarishaji wa video za muziki, filamu na matangazo ya biashara Director Khalfani maarufu kama ‘Khalmandro’ ambaye amefariki dunia leo May 5, 2024 katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa Matibabu, atazikwa leo jioni katika makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam.

Maziko hayo yatafanyika saa kumi jioni katika makaburi ya Kisutu baada ya swala katika Msikiti wa Maamoor ambapo kwa sasa msiba upo upanga mwanzoni mwa mtaa wenye Diamond Jubilee ( kama unatokea upande wa msikiti wa Wahindi )

Director Khalfani ameacha Mke ambaye ni Mjamzito wa miezi saba na Mtoto wa miaka mitano.

Leave a Comment