Balaa la Mbuzi Kagoma Sehemu ya Tatu
IMEANDIKWA NA: UNKNOWN
***************************************
Chombezo: Balaa La Mbuzi Kagoma
Sehemu ya Tatu (3)
“ Hapana zubery inatoshaaaaa…inatoshaaaaa…” Aliongea kungwi huku akijaribu kumsukuma zubery nyuma. Ilikuwa bure. Zubery aliendelea na kazi kama kawaida.
Gafla, mlango ulisukumwa. Aliingia wema akiwa anahema juu juuu.
“ Ndio nini hiki?’ Aliuliza kwa mshangao.
Zubery hakumjali mkeo, ni kama alipandwa na wazimu aliendelea kumfanya kungwi kwa ukatili wote. Kisima cha kungwi badala ya kutoa maji kilianza kutoa damu. Zubery hakujali.
“ Mume wangu ndio nini hiki?” Aliuliza wema.
“ Nisaidieeee…nisaidieeeee…..” Alipiga kelele kungwi. Wema bala ya kumsaidia, alimvaa kungwi pale pale. Alimshushi ngumi hatari ya uso.
Katika purukushaani ya kumpiga, kungwi alifanikiwa kuchomoka kwa zubery.
“ Aaaaaa…aaaaaaa…” Alilalamika zubery badala ya kuchomoka. Akiwa analalamika, mkewe alimuwahi na kumshika nyoka wake. Alimshika na kumvuta kwa nguvu.
“ aaaaaaaaaaaaa…” Zubery alilalamika kwa maumivu makali. Akiwa anapiga kelele, mkewe alimzaba vibao vya uso.
“ Paaaa…paaaaaaa.”
“ Mbona unanipiga?” Aliuliza zubery. Alikuwa ni kama mtu aliyetoka usingizini.
“ Unaniuliza kwanini nakupiga hujioni ulivyo? Hivi nilikuleta kufanya haya?” Aliuliza Wema. Zubery alijitazama akashangaaa. Haraka aliwahi nguo zake na kuzivaaaa. Ile amemaliza tu kuzivaaa, mlango ulifunguliwa tena. Aliingia mama wema.
“ Eeeeeeh! Mkwe mbona hapa?” Aliuliza mama wema.
Zubery akiwa anajiuma uma hajui hajibu nini, Wema alimvamia kungwi , alimrukia vichwa na mateke. Mama yake alimshika na kumvutia pembeni.
“ Mwanamke hauna haya wewe.” Aliongea wema.
“ Mumeo kanibaka. Wala mimi sikutaka kufanya haya. Kanibakaa ..kanibakaaaa..’ Aliongea kungwi. Wema hakujali, alimvamia na kuendelea kumshushia kipigo. Mama yake alimshika na kumuondoa.
“ Hivi nini kinaendelea? Kwanini nilikuwa vile?’ Alijiuliza Zubery. Haraka naye alitoka nje kumfata mkewe kwa nyuma.
“ Ukija nyumbani nakuua leo..” Aliongea wema. Alimtaka zubery asiende nyumabani wake.
……………………………………….
“ Uuuuuuuh!” Kungwi alihema baada ya wema na mumewe kuondoka. Alichukua maji ya vugu vugu na kwenda kujikanda choooni.
“ Mmmmh! Hivi ile dawa wema alifanyaje? Mbona mwanaume amekuwa vile?” Alijuliza kungwi wakati akiwa anajikanda. Hakuwahi kukutana na balaa kama lile. Ilikuwa ni mara yake ya kwanza. Licha ya kuwa na madawa ya ngono na kuwapa watu wengi lakini hakuwahi kukutana na mashine kama zubery.
Alijikanda, na kujituliza kwa maji ya uvugu vugu. Alijaribu kusimama aliweza, ila hakuweza kutembea vizuri. Alikuwa akichechemea.
……………………………………
Baada ya kuzuiwa na mkewe kwenda nyumbani kwake, Zubery aliamua kwenda kijiweni kupoteza mawazo. Akiwa kijiweni akili yake yote ilikuwa kwa yale matukio yaliyomtokea.
“ Inamaana dawa ya wema ndio imenifanya niwe vile?” Alijiuliza. Aliwaza na kuwazua bila ya kupata majibu.
“ Zubery mbona upo hivyo? Unawaza nini?” Aliuliza sele.
“ Mwanangu hata sielewi. Kuna jambo linanitatiza sana. Hata sielewi vizuri.”
“ Mmmmh! jambo gani hilo?”
“ Mapenzi ndugu yangu. Kuna kitu nimefanyiwa, mwanamke akikaa staili ya mbuzi kagoma na kuwa na nguvu za ajabu sana, yaaani nafanya tu bila kuchoka hadi inakuwa kero kwa yule mwanamke. Yaaani nimekuwa mashine kupitiliza.” Aliongea Zubery.
“ Mmmmh! hio mbona mpya.” Aliongea Sele. Akiwa anaongea hivyo sele, akili yake ilikumbuka kitu. Alimkumbuka hidaya. Hidaya alikuwa mpenzi wake ila waliachana baada ya hidaya kumalalamikia sele amfikishi anakotaka.
“ Mwanangu hiyo sio shida,sasa kama ipo hivyo kuna jambo nataka unisaidie. Tena kila kitu nitagaharamia mimi.” Aliongea sele.
“ Mmmh! Jambo gani?”
“ unamkumbuka hidaya, yule manzi aliyekuwa anauza bar pale juu?”
“ namkumbuka.”
“ Yule manzi katutukana wanaume wote wa huu mtaaa, Anasema wote ni sifuri hatujui mapenzi na hatuna nguvu. Sasa kama ni kweli wewe unahizo nguvu nataka twende ukamkomesheeee.’ Aliongea Sele.
BALAAA LA MBUZI KAGOMA 09
“ Yule manzi katutukana wanaume wote wa huu mtaaa, Anasema wote ni sifuri hatujui mapenzi na hatuna nguvu. Sasa kama ni kweli wewe unahizo nguvu nataka twende ukamkomesheeee.’ Aliongea Sele.
“ Hilo siwezi sele. Siwezi kabisaaa.” Aliongea Zubery. Pale pale alisimama na kutaka kuondoka. Sela alimshika mkono na kumtuliza.
“ Jamaa yangu hilo hapaana. Hilo siwezi kulifanya.” Aliongea Zubery. Alisimama na kuondoka.
Hatua kadhaa mbele, alikutana na Amina, mwanamke aliyemtetemesha wakiwa kwenye daladala. Kumuona tu, kwa aibu aliamua kuangalia pembeni.
“kaka samahani.” Aliongea Amina huku akiwa anamsogelea Zubery.
“Shiiiit..” Alitamka Zubery. Hakutaka amuone.
“ Shiit nini?” Aliuliza Amina.
“ Aaaaa…aaaaaa…” Alishikwa na kigugumizi Zubery.
“ Mmmmh! halafu sura yako sio ngeni sana.” Aliongea Amina. Alimsogelea zubery vizuri na kumtazama usoni. Alimkumbuka. Alijikuta anaangua kicheko. Alicheka kwa dakika kadhaa kisha akatulia.
Kitendo cha kucheka kilimkera Zubery, alihisi kudharauliwa sana.
“ Samahni nimecheka bila kukusudia, ila yale yalipita kaka.” Aliongea Amina.
“ Unashida gani?” Aliuliza Zubery.
“ Kuna Kaka mmoja anaitwa Michael, anakaa mtaa huu! Sijui unamjua?” Aliuliza Amina.
“ Namjua. Nyosha na hii barabara, ukifika pale mbele utaona nyumba imepakwa rangi nyeupe. Ndio nyumbani kwake hapo.” Aliongea Zubery.
“ Lakinis si unipeleke tu.” Aliongea Amina.
“ Mmmh! Kwanza unashida naye ipi? Nisijekupoteza muda wangu hadi kule halafu hakuna lolote la maana.” Aliongea Zubery.
‘ Usijali nitakupa elfu kumi. Yule kaka namdai elfu hamsini, jana usiku alinichukua clud aliniahidi atanilipa elfu hamsini lakini kanitoroka guest na hela hajanipa. Nataka niende nikamuwashie moto anaipe hela yangu.” Aliongea amina.
Maneno ya amina yalimshangza Zubery, akili yake iifanya kazi haraka akaamua kitu.
“ Sasa sikia. Naomba achana na huyu Michael, hiyo elfu hamsini mimi nitakupa.” Aliongea Zubery.
“ Utanipa kwa kazi gani?” Aliuliza Amina.
“ Kazi gani tena vipi? Kazi hiyo hiyo uliyomfanyia Michael mimi nitakulipa, nitakulipa elfu hamsini kwa ajili ya Michael na pia nitakupa elfu hamsini kwa ajili yangu.” Aliongea Zubery.
“ Mmmmh! kwa wewe hapana aisee, hela yako siiitaki. Unajua hata kama najiuza lakini mwenzio nataka burudani, kwa jinsi ulivyoshindwa kumthibiti nyoka wako kwenye daladala inaonekana wewe ni dhaifu sana. Hauwezi kufika hata dakika utakuwa umemaliza mchezo. Sasa mimi maswala ya kupakana shombo siyataki.” Aliongea Amina.
“ Duuuuh!’ Alitamka Zubery. Aliumia kudharilishwa.
…………………………………….
Nyumbani, wema alikuwa kwenye majuto makubwa. Alijilaumu kwa yote aliyoyafanya. Alijilaumu kwa dawa alizomfanyia mumewe. Akiwa anatetemeka kwa hasira aliyachukua majani ya mnyono na kwenda kuyatupa nje.
“ Hasira hazisaidiii, lamsingi mtafute mumewe mkapime. Yule kungwi ni muathirika. Fanya juu chini mkapimeeee na mumeo.” Aliongea mama wema.
“ Ushenzi wafanye leo na leoe hii hii tukapime?” Aliuliza Wema.
“ Hapana. Subiri hata mwezi ndipo mkapime, ila kwasasa kaa mbali na mumeo usikubali kushirikiana naye.” Aliongea Mama wema.
“ Sikutegemea kama yule kungwi angeweza kuyafanya haya aliyoyafanya. Siwezi kumuacha, lazima nimfundihe adabu. Popote nitakapokutana naye nitamfundisha adabu.” Alibwata wema.
“ Ni kweli usimwache. Amekuharibia ndoa yako, la kufanya hakikisha mnakuwa peke yenu ndipo unamfanyai hicho unachotaka kumfanyia.” Aliongea mama wema.
“ Nina akili mama. Sitafanya kipumbavu, kwanza nitajifanya nimemsamehe, kisha nitamleta hapa nyumbani. Akithubutu tu kukubali atakuwa amekwisha.” Aliongea wema.
Wakiongea hayo, gafla, “ Ngoo…ngoooo…ngoo…’ Mlango uligongwa.
“ Nani tena huyu saizi?” Aliuliza wema. Alisimama alipokaa na kwenda kufungua. Ile anafungua mlango alikutana uso kwa uso na kungwi wake.
BALAAA LA MBUZI KAGOMA 10
“ Nani tena huyu saizi?” Aliuliza wema. Alisimama alipokaa na kwenda kufungua. Ile anafungua mlango alikutana uso kwa uso na kungwi wake.
“ eeeeeh!’ Alishtuka Wema.
“Ka..ka…ribu…” Alipatwa na kigugumizi cha gafla. Hakutegemea kumuona pale kungwi. Kungwi bila kusita alipiga hatua kuingia ndani.
“ Mmmmmh! Huyu dada lazim atakuwa mchawi. Yaani kuongelewa saizi na sasa hivi kaja.” Aliwaza mama wema.
“ Mwanangu naona unamgeni, naondoka mara moja nitakuja baadae.” Aliongea mama wema. Alisimama na kuondoka.
………………………………………….
Amina aliendelea kumkataa zubery, alimwambia ni dhaifu.
“ Unavyonifikira sivyo. Naomba nikiwa dhaifu kama unavyosema ongeza dau, badala ya elfu hamsini nikulipe laki.” Aliongea Zubery.
“ Kama hivyo sawa.” Alijibu Amina.
“ Yeeess…” Alishangilia kimoyo moyo Zubery. Akili yake iliwaza kisasi. Alipanga kulipa yale yote aliyosababishiwa na amina.
“ Utanitambua leo. Yaani wewe wa kusababisha nyoka wangu asimame vile ndani ya daladala! Leo utanikoma, dharau zote naenda kuzifuta, kuanzia leo tukikutana utaniheshimu.” Aliwaza Zubery.
Waliongoza na Amina mpaka lodge maarufu iitwayo hope lodge.
“ Chumba kipo lakini salama tumieishiwaaa.” Aliongea muhudumu.
“ Aliyekuambia tumefata salama nani? Yaani kila unayemuona anakuaja lodge akili yako inadhani amekuja kufanya ngono?” Aliuliza Amina.
Muhudumu bila kuwajibu alitoka kaunta na kwenda kuwaonesha chumba. Zubery na amina waliingia kisha wakafunga mlango.
“ Naomba nipe hela unayomlipia Michael kabisa.” Aliongea amina.
“ Sina cash, hela yangu ipo kwenye simu ungenitajia namba nikutumie.” Aliongea Zubery. Amina alitaja namba yake pale pale zubery alimtumia elfu hamsini.
“ Mmmmh! umetuma hamsini ya Michael tu. Ya kwako bado.”
“ Mimi nitakulipa baada ya mchezo, maana mpaka sasa haieleweki nitakulipa shilingi nagapi? Maana ulisema nikiwa dhaifu laki moja na nikikufikisha elfu hamsini.” Aliongea Zubery.
…………………………………
Wema hakutegemea kumuona kungwi pale, licha ya kuwa na mipango ya kumleta pale, ujio wake wa gafla ulimshtua.
“ Unajua sitaki hata kukuona. Naomba niambia nini kimekulete hapa?” Aliuliza Wema.
“ Mdogo wangu mimi na wewe hatutakiwi kuwa hivyo, mimi na wewe ni kama ndugu tayari. Hutakiwi kuniongelea hivyo kabisaaa.” Alongea Kungwi.
“ Ungejua hayo wala usingethubutu kulala na mume wangu wakati unajua fikra umeathirika.”
“ mmmmh! aliyekuambia nimeathirika nani? Mbona kanitangazia ubaya hivyo. Maisha yangu yote sijawahi kuumwa ukimwi wala gonjwa lolote la ngono, hizi habari ndio kwanza nakusikia wewe.’
“ Hayo utajua mwenyewe. Naomba niambie kilichokuleta hapa.” Aliongea kwa ukali wema.
“ Shoga kilichoniletea hapa ni mumeo. Nguvu alizokuwa nazo sio za kawaida. Bila shaka kunasehemu ulikosea wakati unafanya dawa, haiwezekanai mwanaume akawa vile. Wote tuliowahi kuwafanyia dawa hakuna aliyekuwa na nguvu vile.”
“ Kwahiyo hilo ndio lililokuleta?”
“ Sio hilo tu, ukiachana na hilo, lingine lililonileta ni kukupa onyo. Naomba kwasasa kwa usalama wako usikubali kualala na mumeo. Pia mchunge sana asilale na wanawake wengine itakuletea kesi maana anaweza kuwaua.”
“ We fikiria mimi pamoja na ukungwi wangu kaniumiza vile, sasa je akikutana na hao wengine wa mtaani itakuwaje? si ataua.” Aliongea kungwi.
………………………………………………
“ ole wako unipake shombo.” Aliongea Amina huku akivua nguo zake.
“ Usijali..” Alijibu zubery huku naye akivua nguo zake.
sehemu ya 11
“ Usijali..” Alijibu zubery huku naye akivua nguo zake.
“ unaongea kwakujiamini utafikiri kidume kweli.” Aliongea Amina. Alimsogelea zubery na kumla mate. Zubery naye alijibu, alimnyonya ulimi Amina huku akimpapasa mgongoni. Kwa sekunde kadhaa walipapasana na kunyonyaana ndimi.
………………………………………
Kijiweni, baada ya Zubery kukataa kwenda kumuonesha kazi hidaya, Sele naye alipata wazo.
“ Ikiwa Zubery kafanyiwa dawa na kawa ananguvu nyingi kwanini na mimi nisitafute dawa ili niwe na nguvu nyingi?” Alijiuliza.
“ Sipaswi kumtegemea mtu kumkomesha hidaya. Hapa ni kutafuta dawa na kwenda kumjkomesha.” Aliwaza.
Baada ya kufikiria na kuwaza sana, aliamua aende kwa rafiki yake aitwae Hans.
“ Mwanangu nasikia unamjua fundi wa nguvu za kiume. Naomba nitajie niende.” Aliongea sele.
“ Mmmmh! umri huo unaanza kutaka kutumia madawa ya kuongeza nguvu? Uoni kama ni hatari?’ Aliuliza Hans.
“Punguza maswali best. Kama unanisaidia sema.” Aliongea sele. Hans bila kinyongo alimuelekeza sele kwa mganga aitwae Nyota.
ITAENDELEA
Balaa la Mbuzi Kagoma Sehemu ya Nne
Also, read other stories from SIMULIZI;