Chupi Mkononi Sehemu ya Nne
IMEANDIKWA NA : HAFIDHI J IKRAM
Chombezo : Chupi Mkononi
Sehemu Ya Nne (4)
Tulipoishia
Yule binti akaingia kati wenzake baada kuweka duwara na kumpigia makofi
“Kataa,,,,kataaa kata mwanangu kata kiuno chako mwenyewe,,,,wala hukuazimaa kata kata,,,,Fatuma binti kutoka Handeni kule mkoani
Tanga kweli kiuno hakuazima
Maana alikuwa anayakata mauno
Hata Chura wa Snura akasome.
Hawakuwa mbali na Maskani kijiweni
Vidume vikabaki kukunja nne maana
Andunje alikuwa anatutumuka kila
Mmoja wao”
SONGA NAYO
SASA
Vidume vikazidi kubadirisha mikao mara wakunje nne mara hivi,
basi ilikuwa shida tupu. Mabinti nao kama walijuwa vile kuwa wanawarusha roho Washikaji baada Fatuma ukipenda muite munira kufanya manjonjo yake ikawa zamu ya Rose toto la Kinyaturu kutoka kule Singidani
Nae akaingia kati
Akaanza kuyakata mauno kiuno bila mfupa huku akijishika shika matiti yake na kufanya kama anayabinya hivi. Kama haitoshi
Kidole chake kimoja kile cha kati akawa anafanya kama kukiingiza kwenye kipochi manyoya
Ahaaaa,,,aaaaaaaaha,,,
“hivi nyie watoto mnaakili kweli?”
Ni sauti ya Mama mmoja wa kikubwa ndio iliyowashitua na kuacha kibao kata chao, na kumtizama yule mama,
pasipo kumjibu kitu,
“nawauliza nyie msifanye kunitolea mimacho kama mjusi aliyebanwa na mlango hivi mnaakili timamu nyie”,,,,,,,
Wote kwa pamoja wakaangua vicheko huku wakitikisa makalio yao
“Hahahaha”,,,,,,unaro bibi yakwako yamekushinda unauliza ya wenzako Akili anayo Kuku itakuwa sie binaadamu”
Baada kusema vile hao wakaondoka na kumuacha yule mama kaduwaa tu
Akasikitika sana tu na kujisemea.
“hakika dunia imekwisha yani watoto wasiku hizi wamejaa mambo ya laana tupu mmh”,,,,,,mambo ya chumbani ya kwenda kuwaonyesha Wanaume zao wanakuja kuyaonyesha hapa kweupe,
Kuna kijana mmoja akaja na kumtusi yule Mama
“wee mama mchawi nini yani umetufukuzia burudani yetu hapa, umeona tunafaiidi sio haya sasa katika wewe tuone!”
“wee Issa shika adabu yako na ukome kwanza Mimi ni sawa na mama yako mshenzi wewe”
“kwenda zako huko yani Mchawi kama wewe ujifananishe na Bi mdashi wangu nitakunya kuanzia hapa mpaka Ubungo”
Yule mama wa kikubwa akaona sio vyema kupigishana kelele na vijana kama hawa maana Bange
ina waasiri sana na kujiona kila mtu yupo chini yake. Akaondoka na kuishia kuyakoga matusi tu,
“oyaa Issa kaka achana na huyo mkuda wakimbilia Chura wetu wape mtonyo kisha njoo nae kule kwenye mjumba
Waje kutufanyia show!”
Issa akatoka mbio kuwakimbilia kina Rose, bibiye
Irene kama unakumbuka jana yake Asubuhi aliomba kucheza mechi ya ugenini na Kidume basi Usiku hakuweza kupata usingizi kabisa mawazo yake yalimpeleka mbaali tayari yupo juu ya kifua cha Kidume kamkalia Andunje na kumkatikia kidole chake cha kati akikisugua kiarage chake
Ahaaaaaaaa,,,,,,assssssss,,,,ohoooooooh,,,,,,,,uwiiiiiiiiiii,,,,,akazidi kujinyonga nyonga kitandani kwa kifupi alikuwa anajichuwa kwa kuvuta hisia tayari yupo na Kidume.
Ohooooo,,,,,aaaaaaaaahaaa,,,,,chomekaaaaaaababiiiiiiii,,,,,,akajikuta anapiga bao na kutulia kimyaa usingizi ukampitia,
yapata saa kumi na mbili Asubuhi
Irene akashituka kutoka usingizini baada kuhisi kushikwa shikwa maungoni mwake kufumbua macho kumbe alikuwa ni Mumewe bwana Rashidi ambaye ni dereva wa Magari makubwa hizi Scania fuso
na nyinginezo.
Utakuta anaenda Congo Democratic au Malawi Uganda unapita hata
Mwezi mmoja au mitatu hajarudi na asilimia kubwa watu hawa wanakuwa na michepuko
Swali la kujiuliza umeowa ili iweje
wewe ukichepuka huko na mkeo nae atachepuka tu yeye sio gogo bwana,,,,,,
Irene hakupenda jinsi Mumewe anavyo mfanyia yani anachojuwa yeye ni kuchomeka tu na kukojoa basi
Hana hata maandalizi tena dakika tano tu Mwanaume yupo hoi
Roundi ya pili tena mpaka kesho,
Ndio maana akamuitaji Kidume basi Rashidi baada kuona mkewe kashituka kutoka usingizini akaunyanyua mguu mmoja na kukipekenyua kipochi manyoya kisha kumuingiza Andunje wake
Irene akagugumia sio kwa raha bali maumivu tu,
“ahaaaaa,,,,,uwiiiiiiiiii,,,,yalaaaaaaa,,,ohooooo,,,jamaa hakuchukuwa muda akakojoa na kujibwaga pembeni na kumuacha mtoto wawatu kwenye mateso akashuka kutoka kitandani na kupanga kwenda kumfata Kidume
Akajifunga upande wa kanga akachukuwa ndoo ya maji na kutoka nayo
Mumewe akiwa anakoroma pale akamfungia mlango kwa nnje kisha yeye mwenyewe huyo hadi bafuni baada kujisafi akaenda
Hadi mlangoni kwa Kidume akagusa mlango ili apige hodi akashangaa mlango upo wazi akaingia
Ghafla akataka kurudi akimbie maana
Kidume alikuwa yupo uchi wa mnyama eti anapiga pusha pu.
Irene akafumba macho kwa viganja eti anaogopa Kidume akatabasamu
Na kumsogelea pale alipo simama
Binti akajikuta mikono ikitambaa kiunoni mwake na kuanza kusisimka na vile alikuwa kavaa kanga moja tu iliyonatana na maji,
Akabaki kurembua macho,,,,
Kidume akaudaka mdomo wa bibiye na kunyonyana Denda
Pale pale ukutani mwanaume akachuchumaa
Kanga wakati huo ishatupwa pembeni
Akakipekenyua kipochi manyoa na
Kuanza kukiramba Irene hakuwai kufanyiwa hivyo Aisee,,,,,,akabaki kugugumumia kwa raha sio karaha,,,,,,,,aaaaaaaaaaaaah,,,ssss
sssssssssss,,,aaaaaaaaaaaaaiii
iiishiiiiiiiiiiiiiii,,,mmmh,,ooooooh,,ooh,,oo
oooooooooooh,,,oooooooooshiiii
iiiiiii,,,alilalamika hivyo Irene ambapo Kidume akazidi kukinyonya kiarage cha soya yani alikinyonya utasema anataka kukichomoa. Tena kuna muda unyonyaji wake ulikuwa unatoa sauti kabisa na kuanza kumsababishia Irene ahisi kutaka kuanguka kwani Wanawake hupenda kunyonywa viarage vyao,,,,,,,
Kidume akambeba bibiye na kumbwaga kitandani,,,,
mtoto wa watu amelegea kabisa,sasa hakutaka kumwahisha pia,alimshika Andunje wake ambapo alikuwa ametuna hasa. Akambinya kidogo ambapo kichwa chake kiliongezeka ukubwa. Wakati huo mdomo wa Irene ulikuwa kama mtu aliyekula pilipili sasa anasubiri maji ya kunywa. Kidume alimpanua mapaja bibiye na kukiacha kipochi manyoya chake,na kuanza kukipigapiga kiarage cha Irene na Andunje wake
,,,aaaaaaaaaaaaaaaah,,,,aaaaaa
aaaaaaah,,,,mmmmmmmmmh,,,aaaaa
Irene.
akabaki kugugumia tu, maana hajawai kufanyiwa kitu kama hiko
tokea aingie kwenye nyanja ya Mapenzi
mtoto alivyo debweda utasema anataka kukata roho kumbe yote utamu tu
Andunje taratiibu
Akaanza kuingia na kuzama nusu
Opsiiiiiiii,,,,ahaaaaa,,,suuuuuuuuuu,,,,guaaaaa,,,,ohooookwanguvuuuu,,,,Kidume akaongeza speed mpaka
Mtoto akaanza kumwaga maji yaliyotoka kwenye kipochi manyoya…
Kelele za mwizi ndizo zilizo
Mshitua bwana Rashidi kutoka usingizini
Akakurupuka na kuchukuwa panga maana anahasira na wezi vibaya mno kuna siku walikata wavu dirishani kwake na kuondoka na simu zake mbili wallet na saa
Ile anagusa kitasa tu akagundua mlango umefungwa kwa nnje,
Akapaza sauti kuita
“Irene,,,wee Mwanamke njoo unifungulie haraka sana
Sauti yake ikapenya mpaka chumbani kwa Kidume wote wakaweza kuisikia
Irene akashindwa kutoka mwilini mwa Kidume akabaki kusikilizia mapigo tu jinsi anavyosuguliwa,
Kwa nnje kulikuwa na vurugu za mkimbize mkimbize mwizi….
“oyaa kapitia wapi”,,,,,
Kapitia hukuu vijana kwa wazee wakiwa na dhana za jadi wakaingia kila kichochoro kumsaka mwizi sijui hata kawapotea vipi
Rashidi nae akaita na kuomba afunguliwe mlango akachoka na kulirudisha panga sehemu yake akajibwaga kitandani,
Akabaki kujiuliza maswali tu,
hivi huyu Mwanamke atakuwa wapi mida hii”,,,,,mbona kanifungia mlango dahaa,
Akaona sio mbaya wacha aendelee kulala tu na kujisemea huyu mwizi kudadeki zake ana bahati leo,
Irene akajikuta anaomba maji maana kitendo cha kusuguliwa takribani dakika kumi na tano
Akajikuta yuko hoi hata kunyanyuka ilikuwa hawezi.
Kidume akaenda kumchotea maji ya kunywa akampa
“mmh hapa kidogo najisikia afadhali wacha niende kumfungulia huyo boya”
Irene aliongea hivyo na kujifunga upande wa kanga
Kabla ajafika mlangoni Kidume akamshika makalio yake na kuyabinya
Ahaaaaaasssss,,,,,ohoooooo,,,,,mmmmmmmh,,,,,Irene akabaki kugugumia baada Kidume kukizamisha kidole chake cha kati kwenye mpododo.
Basi akafanya kama kukikatikia hivi.
Kisha akajichomoa na kukimbia nnje maana alijuwa akizubaa tu
Shukhuri itaanza tena,
Kidume akabaki kucheka tu na kujisemea
“hakika babu kanipa dawa kiboko ya Wanawake, wataisoma number mwaka huu”
Irene kwanza akapitia bafuni akajisafisha kipochi manyoya chake na kutoka kwenda chumbani kwake
“wee Mwanamke ulikuwa wapi muda wote?”
Rashidi alimuuliza mkewe baada kumuona anaingia tu,
“nilikuwa chooni baby!”
“Chooni gani muda wote huo kibaya zaidi umenifungia mlango ndio tabia gani hiyo ya kufungiana Milango.
“Sio hivyo mume wangu wakati naenda chooni wewe ulikuwa umelala nikahisi mwizi ataweza kuingia pasipo wewe kushituka nikaona bora nifunge mlango kabisa.
Na wakati naingia chooni ndipo nikasikia kelele za Mwizi nikaenda kuangalia!”
“Irene tambua kitu kimoja kitendo cha kumfungia mtu chumbani sio kitu kizuri yani umeenda kutizama Mwizi ukiwa umevaa Kanga moja tu”
Basi mke na mume wakayamaliza,
kimtindo tu,
Kidume siku hiyo alikuwa yupo off baada kumsugua bibiye Irene akaenda kuoga kisha akatoka na kupitia kwa Mama ntilie yani
Mama Sikitu.
“mmh shogaangu mkaka mwenyewe ndio huyo anakuja”
“unasema yule aliyevaa Fulana ya blue?”
“ehee ndio yeye huyo anaitwa Kidume tena Kidume haswa yani mwenzako nilitembea na Chupi mkononi pasipo kujitambua!”
Yalikuwa mazungumzo kati ya mama Sikitu na shogaake nae zinga la jimama.
Za saahizi jamaani?”
“nzuri tu Mwanaume wa shoka huyo!”
“mama Sikitu bwana ujaacha tu mambo yako eti Mwanaume wa shoka ahaa wapi”……..
Kidume akakaa kwenye benchi kabla hajaagiza Sikitu akamletea oda yake kama alivyo agiza jana,
Kwa macho ya kiwizi wizi Sikitu akawa akimtizama Kidume,
Kwa upande wa Seiph hakuweza kumuelewa kabisa mpenzi wake ambaye ni bibiye Glory kama unakumbuka juzijuzi tu alienda kufanya mapenzi na Kidume yani shemeji yake.
“oyaa Amidu kaka unajuwa huyu
Shemeji yako simuelewi kabisa yani”,,,,,,
“shemeji yupi Glory au?”
“embu acha uchoko kwani mimi naishi na nani”,,,,,,,
“kuishi na nani sio Surusheni ndugu unaposema Shemeji taja na jina basi wewe si unademu anaitwa Tabu mwingine Hasina na Latifa
sasa naitaji kujuwa yupi hapo?”
“ni Glory yani kwa kifupi hataki kunipa unyumba hata kidogo yani nikitaka mpaka nitumie nguvu kama nabaka vile!”
“mmh kama umefikia hatua hiyo hapo sasa kuna bonge la tatizo ndugu, embu niambie kuna siku yeyote ambayo mligombana?”
“ndio ndugu kama unakumbuka siku ile tukiwa hapa maskani tukapanga kwenda kucheki game kati ya
Arsenal na Chelsea, sasa wakati narudi home nikatulia zangu kimyaa.
Time ya kwenda kibanda umiza
si ikafika ile natoka tu,
Glory akanizuia na
kutaka nisex nae. Wakati muda wote nilikuwepo hakusema,
Anakuja kusema wakati natoka.
Nikaona anazingua tu, nikamshit! na kusepa zangu!”
“Duhuu sasa mwanangu hapo ndio umearibu kila kitu unaposema muda wote ulikuwepo sijui hakutaka huwezi jua, mashetani yake yalikuwa mbali sana.
Hivi naomba nikuulize kitu ndugu
kati ya mpira na Glory vikiwekwa
hapo mbele ukaambiwa uchaguwe kimoja wapo utachagua nini?”
Seiph akajibu,
“nitachaguwa mpira”
“khaa kumbe mchizi wangu wewe kolo ehee yani unathamini kuangalia mpira kuliko demu”,,,,,,,,kwanza mpira unakupa faida gani ndugu.
Huyo Arsenal Wenger wewe hakutambui kabisa Embu acha ujinga”
Seiph akaona kumbe jamaa nae kimeo
baada kumpa ushauri
wa maana anamletea propaganda za
kijinga akanyanyuka na kuondoka zake.
Katikati ya kitaa hiko kuna mwanadada alikuwa analia vibaya mno huku akigaagaa chini,
“hiiiiiiiiiiiii,,,,,Mungu wangu mieeeeee,,,,,!!!!,,nakufaaaa….jamani mwiziiiii,,,,
“wee Witness nini tena mbona hivyo”
yule binti anaekwenda kwa jina la Witness ndio aliyekuwa analia,
Mwenzake akafika na kumuuliza
“tuambie basi nini tatizo shost kulia sio suruhisho la matatizo vipi umefiwa au?”
“hiiiiiiiihaaaa…bora hata ningefiwa kuliko hiki kilichonitokea”
“sema basi nini hiko kilichokutokea yani kikawa zaidi ya msiba?”
“mwenzenu nimeibiwa pesa zote za mchezo nilikuwa nampelekea mwenyewe ghafla nikaporwa”,,,,,,,,
Wenzake wakaangua vicheko vya kishambenga na kumwambia
“Hahahaha yani shost ndio useme bora kufiwa kuliko kuibiwa mbona makubwa
Hivi nani amekwambia ndugu
anaweza kupatikana tena”,,,,,,,
Wakati pesa inatafutwa tu cha umuhimu futa machozi twende tukapange mchongo au sio Shost?”
Witness akatikisa kichwa kuitikia kisha hao
Wakaondoka pamoja,
Ndani ya Camp moja kitaa hikohiko cha Magomeni kuna washikaji walikuwa wanavuta bange utasema hawana akili nzuri.
“oyaa Issa jana tulikupa mchongo gani ukafanye ukazingua mbaba?”
“sio nimezingua wale mademu niliwapa mtonyo kama kawa wakasema kwa muda ule hawawezi kuja maana kila mmoja anaitajika nyumbani kwao.
Wakatoa ahadi watatimba leo”
“kama hivyo full mamzuka kichaa wangu sasa wamesema saa ngapi ndio watatimba”,,,,
“hawasema saa wamesema watakuja tu!”
“ukisikia uboya ndio huo yani utaki kutaja muda ili wakija wengine tusiwepo sio, uchezee Chura peke yako”
“sasa ubaya wangu uko wapi”,,,,,embu weka denda ganja inaisha hiyo!”
Ni kijiwe cha wahuni
mtoto wa Mama huruhusiwi kuwepo basi msela akaweka denda
Msoto usiishe haraka,
Ndani ya kichochoro kimoja wapo tunawaona wale mabinti waliokuwa wakionyesha show ya kukata viuno nao wakijadiliana jambo
“mmh unajuwa shoga zangu mie mpaka sasa naogopa kwenda huko!”
“sasa Rose unaogopa nini si tunaenda kuwakatikia viuno tu
kama pesa tushapewa nusu twenzetuni bwana”
“Fatuma wewe ujui tu kumbuka wale ni watoto wa kiuni uwezi juwa tusije kufanywa asusa bure”
“ehee ushasema watoto wa kiuni pesa yao tushakula nusu
Tukisema tusiende hivi unavyofikilia wewe tutajifichia wapi?”
“sikia nikwambie kitu maadamu tushampa taarifa Shemeji yenu Kidume kasema atakuwepo sio mbaya nyie twendeni”
“unasema kweli Suzy Kidume atakuwepo?”
“ndio maana yake mbavu nene yupo”
Mabinti wale wakaongozana na kufika kwenye Mjumba huo,
Kitendo cha kuingia tu Radio ikawashwa na kusikika nyimbo ya nakomaa na jiji kutoka kwa Shilole.
Mabinti nao wakaanza kuyakata mauno,
Kidume nae alikuwa katulia kimyaa akivuta msoto wake
Yani ilikuwa full mamzuka kwa kila
mmoja hata masela waliokuwa
Arosto wakazinduka na kucheki jinsi makalio yanavyo jimwaya tipwatipwa,
Nyimbo zikazidi kubadilishwa tu
Sugua gaga kutoka kwake
Shaa maji yakazidi unga pindi
ilipowekwa nyimbo ya Chura wa Snura
Kila mshikaji akanyanyuka na kuanza kubambia na kuyashikashika makalio yale yaliyonona.
Kwa kitendo hiko hakuna
binti aliyeshituka wakachukulia kawaida tu,
Ndani ya bagamoyo tunamuona
Witness akiwa na shogaake yule aliyekuwa akimuuliza unalia nini, na safari hii imewaleta moja kwa moja kwa mganga mzee Othman chulli
Bagamoyo nzima wanamtambua mzee ni noma”
ITAENDELEA
Chupi Mkononi Sehemu ya Tano
Also, read other stories from SIMULIZI;