CHOMBEZO

Ep 05: Godoro la Mtumba

SIMULIZI Godoro la Mtumba
Godoro la Mtumba Sehemu ya Tano

IMEANDIKWA NA: GLOBAL PUBLISHERS

*********************************************************************************

Chombezo: Godoro la Mtumba

Sehemu ya Tano (5)

Mjomba alipenda kutembea na mimi hadharani siku hiyo kwa sababu mavazi niliyovaa yalinitoa sana. Suruali ilinishika vizuri mwilini halafu mimi mambo f’lani nimejaliwa, vibastola na wowowo kwa sana.

Tena wowowo langu si la fujo kama wengine mpaka unakuwa kichekesho au sinema, langu liko makini sana, limekwenda shuleni. Ningesimama na kwa jinsi nilivyovaa halafu ukaniangalia kwa upande, ungepata umbo moja la kuvutia sana, kifuani pako vizuri na kwenye wowowo kuko vizuri pia, piga picha hapo.

Wakati tunaingia Mlimani City macho ya watu yalikuwa kwetu mimi na mjomba. Najua wengi walijiuliza mimi ni nani kwa mjomba, maana tulipishana sana umri. Mjomba alinipita mimi miaka 25.

Miongoni mwa watu waliotukodolea macho walikuwa ni wanawake wenzangu, najua walikuwa wameshikwa na wivu, mimi nimeumbwa nikaumbika bwana, loo! Kweli Mungu alinipendelea.
Tulikwenda kukaa kwenye meza ya peke yetu, wahudumu watatu wakafika na kusimama mbele yetu kutuuliza huduma.

“Juisi tu,” alisema mjomba akiniangalia kama anayesema au wewe unataka kunywa kinywaji kingine?”

“Na wewe anti?” mhudumu huyo aliniuliza kwa jicho lililojaa wivu. Unajua sehemu nyingi za huduma, hasa baa, wanawake wanaohudumia huwachukia wanawake wenzao waliofika na wanaume.

“Naweza kupata ile pombe yenye ladha ya maziwa yaliyowekwa sukari?”
Mjomba alishtuka kidogo, akasema…

“Ndiyo pombe gani hiyo sweet?”

“Iko kama ina chokleti ndani yake,” nilisema nikimwangalia mhudumu.

“Mh,” mhudumu aliguna.
“Hebu fafanua vizuri bwana,” alisema mjomba akiachia tabasamu…

“Jamani! We anti, hakuna pombe inaitwa Ama… Ama nini sijui?”

Mhudumu alishaijua, akacheka huku akimalizia jina la pombe yenyewe, akaondoka kwenda kuleta.

“Baby,” mjomba aliniita.

“Niambie.”
“Hivi hiyo pombe umewahi kuinywa au leo ndiyo siku ya kwanza?”

Niliachia tabasamu laini, nikamshika mjomba kwenye mkono nikawa kama namkuna kwa mbali, nikasema…

“Leo ndiyo siku ya kwanza.”

“Kweli?”

“Amini mjomba, kama umenifuatilia utagundua mimi si mwongo.”
Mjomba alitingisha kichwa kuashiria kukubaliana na hoja yangu ya kuwa mimi si mwongo…

“Ina maana siku ukinisaliti nikikuuliza utakiri?”

“Mara ngapi?”

“Ooo, kwa sababu ulikiri kwa mwalimu ndiyo maana unajifanya wewe ni mkweli siyo?”

“Mimi ni mkweli na nilikwambia sirudii tena, amini sirudii tena.”
Kule kuongea kwangu, kumwangalia mjomba na kutabasamu, nilimwona mjomba akilainika. Akausogeza uso wake kwangu mpaka kwenye shavu, akalibusu na midomo yake minene.

Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vinanichosha kwa mjomba ni midomo yake minene kisha myeusi. Niliipenda sanasana. Na mara nyingi tulipokuwa tunadendeka, mimi nilipenda kuinyonya midomo hiyo.
Pombe yangu ililetwa, ikawekwa mezani na glasi nzuri huku nikiitumbulia macho kama kweli ningeiweza kwani ni kweli sikuwahi kuitumia hata siku moja katika maisha yangu ya shule.

Nilimshika mikono mjomba na kumuuliza kama ataweza kunibeba nikilewa…

“Usiwe na wasiwasi baby, mimi nipo hapa.”
Nilianza kunywa pombe hiyo huku maongezi yangu na mjomba yakiendelea, hasa mambo ya mapenzi tena yale ya ndanindani, chumbani zaidi kwenye kitanda, juu ya godoro na shuka yake huku foronya nayo ikiongeza mashamshamu.

Ilifika mahali nahisi nilianza kumuuliza mjomba maswali yenye kuamsha hisia za mapenzi…

“Hivi baby, kwa kawaida wewe unapenda kucheza mechi dakika ngapi kabla ya kipindi cha pili.”
“Baby, mbona unaniuliza kama tupo kitandani, si unanijua mimi nilivyo, sasa hivi nitakubeba kwenda hotelini, shauri zako.”

Tulicheka wote, mjomba akanishika kiunoni bwana, weeee! Kumbe ile pombe ni mbaya sana kwa watu wenye ‘mhemko’ wa haraka kama mimi…

“Jamani baby,” nilisema nikijikunjakunja kuikwepa ile mikono yake, maana niliamini inaninyevuanyevua mwili wangu.

Ilifika mahali nikawa sichagui cha kuongea na sauti ikapanda, niliongea hadi mtu wa meza ya tatu alisikia…
“Baby mi nahisi kulalalala tu, kwani bado tupo?”

“Bado,” alisema mjomba. Akamwomba mhudumu ampatie pombe kali na yeye, alitaka aletewe pombe inayoitwa Great Thinkers.

“Mh! Sweet, hiyo ni pombe kweli au?”

“Tena kali kuliko hiyo yako inayotengenezwa kwa kutumia maziwa.”
Tulicheka, hata mhudumu alicheka…

Mjomba aliletewa pombe yake, tukaanza kunywa kwa pamoja huku tukilewa polepole bila kujijua, kuja kushtuka wote tulikuwa tumeanza kulala kwenye viti.

Hali yangu ilikuwa mbaya zaidi, mjomba naye usiseme, tulisimama tukiyumbayumba.
Njia nzima kuelekea kwenye gari mjomba alikuwa akitema mate hovyo, mimi kuna mahali nilichuchumaa na kutapika. Hapo ilikuwa saa tisa mchana. Sikukumbuka kama ile pombe yangu niliimaliza au la!

“Jamani mngeacha gari mkachukua teksi iwapeleke kulala hotelini, naona mlivyo hakuna mwenye uwezo wa kujimudu,” alisema mlinzi mmoja wa ndani mle Mlimani City.

Mimi nilisikia kwa mbali sana, nikamtukana yule mlinzi kwani niliamini anatuingilia kwenye mapenzi yetu na mjomba, lakini mjomba akamsikiliza…
“Baby, anachosema huyu mzee ni sahihi kabisa, usimtukane, twende tukalale hotelini.”

“Mama akitutafuta je?”

“Tutapanga cha kumwambia.”

Hapo mimi na mjomba tulishikana mikono huku tukikosa ‘balansi’ ya miili, tulitaka kusimama lakini tuliyumba kila mahali.
Mwisho wa yote, mjomba alichukua teksi na kuacha gari lake ndani. Tulikwenda kwenye hoteli moja siikumbuki kwa jina lakini ipo maeneo yaleyale, tukachukua chumba. Tulipofika chumbani hakuna aliyekumbuka kumshika mwenzake wala kumvua nguo, tulijipindua kitandani hadi kunakucha. Mimi ndiyo nilianza kushtuka, niliangaza huku na kule na kugundua si nyumbani, nilipovuta kumbukumbu nikakumbuka kila kitu cha jana yake, weee…

“Mjomba mjomba,” nilimwita mjomba kwa cheo cha udugu wake na mama bila kutumia jina la baby, sweet, darling wala mpenzi. Wasiwasi wangu mkubwa ulikuwa kwa mama kwani najua hakulala kwa wasiwasi aliokuwanao.

“Ee…ee,” mjomba alishtuka sana huku akijifikicha machoni…

“Baby wapi hapa?” aliniuliza eti.
“Si hotelini.”

“Tulikujaje?”

“Jamani baby hukumbuki? Si tulilewa jana ukaacha gari tukaondoka na teksi tu.”

“Da! Kwa hiyo hatukurudi nyumbani?”

Mimi sikumjibu, nilichofanya ni kukimbilia simu mezani. Nilikuta missed calls kibao za mama…
“Mjomba tumekwisha, mama kapiga simu hadi kachoka. Kuna missed calls kama mia halafu na meseji juu,” nilisema kwa sauti inayokaribia kuangua kilio huku nikipigapiga miguu chini.

Mjomba naye aliamka na kwenda kwenye simu yake ambayo aliiweka ndani ya mfuko wa suruali lakini yeye kumbe aliizima wakati tunaingia kulala hapo.
“Mimi hajanipata, nilizima simu,” alisema mjomba kwa sauti mbaya.

Tulikaa kitandani tukiangaliana, mara mama akanipigia tena. Hapo nilikuwa sijasoma meseji…

“Baby mama anapiga tena,” nilisema.

“Usipokee kwanza. Acha niangalie cha kufanya kabla hujapokea.”
Mjomba alijishika kichwa akafikiria kwa muda kama wa dakika moja kisha akasema…

“Hivi tulipolala usiku tulicheza mechi?”

Nilimshangaa sana mjomba kwani swali lake halikuwa likihusiana na nilichotegemea mimi. Nilijua atatoa utatuzi wa tukio la mimi na yeye kulala hotelini huku nyumbani kuna mama.

“Baby swali gani hilo?”
“Lina ubaya gani?”

“Huoni kama tuko katika kipindi kigumu sana?”

“Yataisha haya, wewe jibu swali langu.”

“Haya, hatukucheza mechi.”

“Kwa nini?”
“Kwa nini! Si tulikuja tumelewa sana, tukafikia kulala tu.”

Mjomba kusikia hivyo tu, akanishika na kunikumbatia huku akiuleta ulimi wake kwenye kinywa changu, yaani alitaka denda, nikampa kikamilifu kabisa.

Mjomba alikuwa mtundu sana, sijui alinigusa wapi nikajishangaa napandwa na mdadi ile mbaya, nilimkumbatia na kumsukumia kitandani, akapindukia huko, nikaanza kushika maiki na kuimba huku ‘nikimwombelezea’ kwa maneno yenye mahaba.
Mambo yakawa mambo, tukaingia uwanjani na mjomba tena kwa fujo sana maana kila mmoja alikuwa na kiu na mwenzake na vile jana yake hatukushiriki ndiyo kabisa.

Kila aina ya pozi mjomba aliniegesha, mapozi mengine hata sikuwahi kufikiria kuyakaa lakini niliweza na yaliniongezea ‘mashamshamu’.
Dakika kumi mbele nilimtangazia mjomba hali ya kuvunja dafu langu huku nikimwita kwa majina yote ya mapenzi yanayotumika hapa duniani.

Mjomba naye akanitangazia hali hiyohiyo nikamkaribisha kwa furaha huku nikimwangalia kwa macho yangu mazuri yaliyolegea.

Sasa tulikuwa tunahema kwa mchoko. Mjomba alilala chali mimi nikamlalia kidogo kwenye kifua chake. Niliweka upande mmoja wa kichwa nikawa kama nasikiliza mapigo ya moyo.
“Baby,” aliniita.

“Baby.”

“Sasa sikia, itabidi wewe nikupeleke polisi halafu mimi nitakuwa nimesafiri Morogoro. Nitampigia simu mama’ko na kumwambia nimepigiwa simu kutoka polisi kwamba wewe uliwekwa ndani jana wakati unatoka shuleni.”

“Mh!” niliguna kwanza.

“Niliwekwa ndani kwa kisa gani baby?”
“Kuna abiria aliibiwa mfuko wa fedha kwa hiyo daladala zima mkawekwa ndani.”

Nilicheka sana, kwani niliamini ni kisa kizuri lakini nikamuuliza…

“Mama si itabidi aje polisi?”

“Mimi nitamwambia asije kwani nimeshamtuma rafiki yangu amekwenda kukutoa.”

“Sawa.”
Palepale mjomba aliwasha simu yake akampigia mama. Alipokea haraka sana…

“Uko wapi wewe na Zuwena yuko wapi?”

“Dada mimi nipo Morogoro kikazi, nilipofikia umeme hakuna imebidi nije kwenye duka kuchaji simu.”
“Ndiyo maana hukuwa hewani? Mpwa wako hajarudi, nampigia simu hapokei, atakuwa amelala kwa wanaume au?”

“Mimi nimepigiwa simu sasa hivi na polisi mmoja anasema Zuwena kawekwa ndani.”

“Kawekwa ndani?”
“Ee.”

“Kisa?”

“Nasikia jana wakati akitoka shule ndani ya daladala kuna abiria aliibiwa mfuko wa fedha kwa hiyo abiria wote wakapelekwa polisi.”

kwahiyo bado hajatoka nimfuate?

hapana dada ameshatoka yuko njiani anakuja nimempigia simu rafiki yangu ameenda kumtoa”

“sawa kaka”

sawa dada baadae”
‘Umeona mpenzi wangu mimi ni mjanja nimemtuliza mama na ameelewa somo kwahiyo tuendelee na mambo”

“sawa bby” tuliendelea na mambo na mjomba baada ya muda nilirudi nyumbani kama vile nimetoka polisi kumbe ilikuwa uongo na wizi mtupu kwa mama yangu……..

“pole sana mwanangu”

“asante mama”

“ilikuwaje Mama?”

“nilimsimulia mama kila kitu utadhani ilikuwa kweli baada ya hapo nilielekea chumbani kulala maana ilikuwa usiku


usiku mida ya saa nne mjomba alinitumia sms nimfuate chumbani kwake

“baby naomba uje mara moja chumbani kwangu”

sawa Darling” nilimjibu huku nikiwaza jinsi ya kumtroka mama pale kitandani

Niliweka simu pembeni, nikakaa kitandani. Nilimwangalia mama kwa dakika kadhaa huku nikitafakari nitawezaje kumtoka mama kitandani wakati ili nishuke lazima nimruke? Na wengi waliolala wakirukwa tu hushtuka!

Nilijifunga vizuri khanga niliyokuwa nimelala nayo, nikachukua simu na kuishika mkono wa kulia. Nikatoka kitandani kwa upande wa mbele ya miguu badala ya kumruka mama.

Nilipoona nimefanikiwa kusimama, nilijifunga khanga nyingine nikachukua simu na kwenda kuufungua mlango. Nilitembea kwa kunyata hadi chumbani kwa mjomba ambapo nilikuta mlango haujafungwa kwa funguo.
Ile naingiza mguu tu nikasikia mama akiniuliza…

“Zuwena unakwenda wapi huko?”

SASA JIRUSHE…
Moyo ulifanya paa! Nikasema Mungu wangu tumekwisha. Nilisema tumekwisha kwa maana ya mimi na mjomba Msafiri. Ningesingizia nini hapo.

Nilijua kule ndani, mjomba naye ni presha maana swali la mama alilisikia, si mlango ulikuwa wazi?!
“Mama nili…nili,” nilibabaika kusema, uso ulinishuka. Kilichosababisha nishindwe kujitetea ni jinsi nilivyovaa, kama ningekuwa nimevaa gauni au nguo za kulalia kidogo ningeeleweka, lakini nilivaa khanga moja tu! Tena bila kitu ndani yake, sasa hapo ningesema nakwenda kufanya nini chumbani kwa mjomba kama si kucheza mechi kitandani…
“Nakuuliza unakwenda kufanya nini chumbani kwa mjomba’ako muda huu wa usiku?”

“Mama nilikuwa…”

“Ulikuwa unakwenda kufanya nini?”

“Nilikuwa namwamsha.”

“Ili?”
“Akanifungulie maji nje.”

“Hayatoki?”

“Hayatoki mama.”

“Una uhakika?”

“Ndiyo.”
“Haya mwamshe huyo mjombaako.”

Nilimwita mjomba mara mbili, akatoka…

“Vipi dada, Zuwena vipi?”

“Maji hayatoki.”

“Kweli, wamefunga koki watoto?”

“Sijui.”
Mjomba ambaye alitoka na bukta tu, alikwenda kufungua mlango mkubwa, mama akawahi jikoni na kufungua maji, yakatoka mwaaaaa…

“Haya nini wewe Zuwena?”

Mjomba akasita mlangoni, alisimama. Miguu ilimcheza mfano wa mtu aliyemwona mbwa kwa mbele…

“Haya yanayotoka ni nini, nakuuliza?”
Nilishindwa kujibu, nilibanwa sawasawa. Nilihisi kichwa kimevimba kwa mawazo ya ghafla huku nikitamani mimi au mama mmoja wetu aanguke na kupoteza maisha.

“Ina maana wewe una…” alisema mama na kusita kuendelea.

Alirudi chumbani kulala na mimi nikamfuata kwa nyuma, nikapanda kitandani kulala huku mawazo yakinijaa kichwani maana sikujua mama anawaza nini au atachukua uamuzi gani kwa kitendo cha kunikuta nataka kuingia chumbani kwa mjomba…
“Pale nilichemsha, shetani kaniweza. Hivi ni kwa nini kwanza nimefanya vile? Tumelala wote hotelini mpaka kunakucha, sasa ni kwa nini tena shetani akampa kiu mjomba ya kuniita?”

Sikupata majibu ya moja kwa moja.
Usingizi ulinipitia, nikalala. Nilipokuja kushtuka ilikuwa saa tisa usiku mnene, mama alikuwa akikoroma nikajua amelala fofofo. Nikachukua simu ili nione kama kuna meseji au missed calls, nikaona meseji, nikaifungua. Ilitoka kwa mjomba…

“Zuwena please fanya juu chini tuonane usiku huuhuu mama akishalala. Nataka nikupe njia ya kukwepa hii kashfa.”
Nilimjibu mjomba poa kwani nilimwaminia kwamba kweli tukikutana na kunipa njia itatiki iwe isiwe, mjomba namfahamu vizuri sana, akili kichwani imelala. Si mnakumbuka alivyookoa majanga kibao nyuma!
Ndani ya nusu saa, mama alizidi kukoroma, nikaona ndiyo nafasi ya pekee, nikatoka tena kitandani na kufungua mlango. Nilikuwa ndani ya khanga moja tu.

Nilitembea hadi mlangoni kwa mjomba, nikasimama na kuangalia nyuma kwanza maana isijekuwa nafuatwa kwa nyuma kama muda ule.
Sikumwona mama, kwa hiyo nikazama ndani chumbani na kuurudishia mlango kwa polepole sana ili usitoe mlio.

“Baby,” niliita.

“Yes d, karibu,” mjomba aliamka.

Nilikaa kitandani, mjomba kabla ya yote kwanza akaniachia busu la nguvu…

“tufanye haraka dear unajua tena Mama nimemuacha ndani

Sawa”

nikarusha kanga pembeni nikapanda kitandani kwa mjomba na shughuli kuanza

“baby nataka unipe staili kama ya siku ile”

staili gani” Mjomba aliuliza

ikabidi nimuonyeshe kwa vitendo nikapiga magoti na kumwambia mjomba tuendelee…..

“hivi baby hili godoro ni la mtumba au la dukani?

“la dukani wewe si unaona lebo hiyo”

tukiwa tunaelea kwenye ulimwengu wa maraha kumbe tulisahau kufunga mlango ghafla Mama akaingia

“Hee zuwena!!!!!!!!!!!!!!

“Msafiri unafanya nini na mpwa wako???Mama aliuliza

Mjomba hakujibu kitu, aliendelea kujiinamia. Ilikuwa aibu kubwa. Kifupi lilikuwa fumanizi la kufa mtu.

Mama alitulia kwa muda mrefu bila kusema chochote wala hata kukohoa kidogo. Kilichokuwa kikisikika ndani ya chumba ni kelele za watu nje tena wale waliokuwa wanaitana kwa mbali.
Nilijutia moyoni kitendo kimoja, ni kwa nini hatukufunga mlango kwa funguo wakati nimeingia chumbani kwa mjomba, pengine hilo lingeniokoa kama jana yake kwamba nilitoka nje kufungua maji.
RUKA NAYO SASA…

Mama alitembea hadi kwenye mlango, akasimama na kuuuegemea huku akituangalia kwa zamu. Uso wake uliongea mengi lakini kubwa kuliko yote ulionesha kwamba baada ya siku hiyo yeye na mjomba Msafiri hawatakuwa na uhusiano tena japokuwa wahenga walisema udugu ni taka la goti hivyo hauwezi kufutika.

Mimi nilizama kwenye mawazo makali. Nilianza kuwaza tangu siku ya kwanza mjomba aanze kunionesha dalili za kunitaka kimapenzi ilikuwa hivi…

“Anko tunaweza kuongea kidogo?”

“Sawa.”“Wapi sasa?”

“Njoo huku.” “Anko.”

“Abee mjomba…”

“Unajua umekua sana.”

“Kweli anko?”

“Kweli kabisa, yaani siku hizi unapendeza anko si kama zamani. Ukivaa nguo zako za kisasa hizi ndiyo kabisa, daa! Ankoooo.”

“Zuwena,” mama alinishtua kutoka kwenye mawazo.

“Abee…”

“Umekubali kufikia hatua hii mwanangu?”

Kabla sijamjibu mama mawazo yalinirejea kwenye lile swali nililomuuliza mjomba kuhusu godoro la kitanda chake…

“Hivi ni kwa nini niliuliza kuhusu godoro kama ni la mtumba au la dukani! Na kwa nini mjomba alinijibu vile? Eti la dukani mjomba, we si unaona lebo hii?”

“Mama ni shetani tu si kusudi langu.”

Mama aliniangalia kwa jicho bay asana, akamgeukia mjomba…

“Msafiri.”

“Naam dada.”

“Mimi si dada yako tena na hata Zuwena si mpwa wako tena, mimi ni mama mkwe wako na Zuwena ni mkeo kuanzia leo.”

“Dada usiseme hivyo.”

“Lazima niseme, nisiposema nitakuwa mama wa ajabu sana, mtoto anachezewa naangalia hivihivi…

“Nikiwa nyumbani Tanga niliwahi kuota ndoto si chini ya mara saba kwamba nyinyi hapa nyumbani mna uhusiano wa kimapenzi. Usiku mmoja baada ya kuota nilimwambia Mungu kwamba kama ndoto ile ni ya kweli anioteshe tena mara tatu ili zifike kumi, akafanya hivyo.

“Niliamua kufunga safari kuja Dar ili kuthibitisha mwenyewe. Kwa hiyo kama mnadhani nilikuwa nawafuatilia si kwa sababu ya hisia, bali nina ushahidi…

“Jana usiku niliota ndoto mmelala kwenye kitanda kimoja hotelini lakini asubuhi wewe Msafiri ukanipigia simu ukisema eti mjomba wako alikamatwa na polisi akalala kituoni kwa sababu ya wizi wa pesa za abiria kwenye daladala, ina maana abiria wote kwenye hilo daladala walilala polisi?”

“Ndiyo dada.”

“Siyo kweli bwana. Kama mtu amepoteza hela kwenye daladala si wakifika kituoni wanasachiwa? Kama hakuna abiria atakayepatikana na hiizo pesa ina maana huyo aliyeibuwa tukio lake halikufanyika ndani ya daladala,” mama alisema kwa sauti iliyojaa utulivu wa hali ya juu.

Baada ya hapo kitendo alichokifanya mama kilinishtua sana, alifuungua mlango akatoka. Chumbani tukabaki mimi na mjomba tukiangaliana kwa macho yenye maswali mengi lakini pia kwa hofu na wasiwasi.

“So?” aliniuliza mjomba.

“Sijui.”

“Hebu toka kamwangalie.”

Nilisimama, nikatoka chumbani kwenda kumwangalia mama, sikumuona. Chumbani hakuwepo, wala begi lake halikuwepo, nilirudi chumbani kwa mjomba mbio…

“Baby baby, hayupo.”

“Hayupo?”

“Hayupo baby, kweli tena.”

“Atakuwa amekwenda wapi?”

“Sijui, hata begi lake halipo.”

Tulitoka na mjomba hadi nej ambapo tulikuta begi liko wazi kuashiria kwamba alitoka.

Tulitoka hadi nje ya geti, tukasimama kuangalia kulia na kushoto, hatukumwona mama wala jirani yetu. Ghafla kwenye nyumba moja alitokea mwanamke anaitwa mama Maulidi…

“Vipi jirani?” alituuliza maana alituona tunaangazaangaza…

“Kuna mgeni wetu sijui katoka,” alisema mjomba.

“Katoka, kapita kwenye uchochoro wangu tena alikuwa anatembea kwa haraka amebeba begi jeusi.”

Utata uliishia hapo, ni mama. Bila shaka aliamua kurudi nyumbani Tanga.

Mama Maulidi aliposema ‘katoka, kapita kwenye uchochoro wangu tena alikuwa anatembea kwa haraka amebeba begi jeusi’ mimi na mjomba tuliangaliana…

“Kwani vipi?” mama Maulidi alituuliza.

“Hata, tupo sawa jirani,” alijibu mjomba.

Tulirudi ndani na kufikia sebuleni, kila mmoja alikaa kwenye kochi lake tena kwa ukimya. Naamini mawazo yangu mimi hayakuwa mawazo ya mjomba, kila mtu aliwaza lake.

Mara mjomba alivunja ukimya…

“Sikia baby, acha mimi nikimbie Ubungo, nikimkuta namrudisha tuje tujadili hili suala, tukiliacha atalieneza kwa ndugu mbalimbali itakuwa aibu yetu…

“Baby bwana…”

“Baby bwana nini tena, nisiende?”

“Usiende ndiyo. We huoni kama ile ahadi yako ya kunioa ndiyo imetimia?” nilimwambia mjomba, nikamwona anacheka kwa mara ya kwanza huku akisimama…

“Halafu wewe bwana, unajua ulinichekesha sana saa zile?”

“Nlifanyaje?”

“Ulipata wapi wazo la kuniuliza kama godoro la kitanda changu ni la mtumba ama la!”

Na mimi nilicheka, tena nilicheka sana kama vile hakuna kilichotokea katikati yetu…

“Unajua baby hata mimi mwenyewe nilijishangaa sana. Ila ni swali ambali nilitaka kukuuliza kwa siku nyingi sana kwamba mbona nikilala kwenye godoro lako nakuwa kama nimelala kwenye majani mabichi laini ya pembeni ya bahari, nahisi ni godoro la mtumba.”

“Siyo la mtuumba lile ila lipo viwango,” alisema mjomba huku akiondoka na funguo za gari…

“Usiondoke baby mpaka nirudi,” aliniambia.
Niliongozana na mjomba mpaka kwenye geti, nikalifungua, akatoka na gari, nikafunga geti na kurudi ndani. Nilikwenda chumbani kwa mjomba, nikapanda kitandani kulala, lakini nikawaza kitu kwamba nimpigie simu mama nimuulize aliko. Lakini kabla ya kitendo hicho nikawaza kwamba anaweza akanijibu jambo baya sana, itakuwaje?

“Anaweza kuniambia Zuwena kuanzia leo wewe si mtoto wangu, tafuta mama yako mwingine. Je, sii itakuwa sawa na kuniachia laana?” nilijiuliza mwenyewe moyoni, lakini nikasema hata kama, lazima nimpigie tu nione kitakachotokea.

Nilibonyeza namba nikamtwangia simu mama, iliitaka kama mara nne halafu akapokea yeye mwenyewe, nikasema…

“Halo mama…”
“kuanzia leo zuwena Mimi siyo Mama yako msh* wewe

“lakini Mama ungenisikiliza kidogo ukisema hivyo ni kama vile unaniachia laana”

nikuachie mara ngapi endelea na huyo mume wako lakini utajuta “

“MAma…….alikuwa ameshakata nilijaribu kupiga tena haikupatika”


Nikiwa bado nina mawazo ya nini cha kufanya alikuja mjomba

“vipi baby mbona una mawazo”

nimempigia Mama simu kanigombeza kasema kuwa atanilaani”

“usijali ni hasira tu mtoto mwenyewe anaye mmoja hawezi “

“njoo”

nilimsogolea mjomba na kumlalia kifuani akaanza kuchezea nido zangu “

“mjomba acha”

niache nini baby wakati muda ule hatukumaliza”,,,,,,

“lakini wewe si unaona kilichotokea”

usijali maji yakimwagika hayazoleki”

ilibidi nikubali na shughuli ikaanzia hapo hapo”


Baada ya mechi kuisha Nilitoka kwenda kuandaa chakula. Nikiwa huko jikoni, simu yangu iliingia meseji. Nikafungua kuisoma. Niliami inatoka kwa mama…
“Zuwena mbona huji shuleni siku hizi?”

Kumbe aliyenitumia ni mwanafunzi mwenzangu, anaitwa Zubeda. Sikumjibu. Mara ikaingia meseji nyingine…

CHAKARIKA NAYO…
Baby njoo chumbani mara moja mke wangu.” Hii ilitoka kwa mjomba, nikaacha kupika nikaenda chumbani.

Nilimkuta mjomba amelala chali akiwa kama alivyozaliwa…

“Nini tena mume wangu?” nilimuuliza.

“Aaa! La kuuliza hilo?”
“Nipande kitandani?”

“Ndiyo maana yake baby.”

Kabla sijapanda, simu ikaingia meseji nyingine, nikafungua kuisoma…

“Mwanangu Zuwena, lolote litakalokupata na huyo mjomba wako mimi sitahusika kwa namna yoyote ile na kama hujui laana ya mama ikoje mwaka huu utaiona tu.”
Niliishiwa nguvu papo hapo, sikuwa na amani tena, mjomba alilitambua hilo akaniuliza…

“Vipi tena, meseji imetoka kwa nani?”

“Mama.”

“Anasemaje?”

Sikutaka kumwambia anasemaje, nilimpa meseji hiyo aisome mwenyewe…
“Mwanangu Zuwena, lolote litakalokupata na huyo mjomba wako mimi sitahusika kwa namna yoyote ile na kama hujui laana ya mama ikoje mwaka huu utaiona tu.”

“Zuwena mjomba angu,” mjomba aliniita…

“Abee…”

“Twende Tanga leoleo. Mimi nitaweka mafuta kwenye gari.”
“Kufanya nini mjomba?” Kwa mara ya kwanza na mimi nilijikuta nikimwita mjomba badala ya baby…

“Tukaombe msamaha.”

“Kwamba?”

“Tumemkosea mama. Hivi ninavyosema nenda kajiandae.”
Nilitaka kugoma, lakini kila nilipoikumbuka ile meseji ya mama nilijikuta nikizidi kukosa amani ya moyo…

“Poa mjomba.”

Nilikwenda kuoga nikarudi kuvaa, nikiwa tayari nilichukua nguo zangu zote na kuzirudisha chumbani kwangu, wakati nafunga mlango ili kuondoka nilikiangalia chumba changu kama ninayesema…

“Sijui kama nitarudi tena ndani ya chumba hiki.”
Safari ya kwenda Tanga ilianza, tulipitia kituo cha mafuta Mwenge, mjomba akajaza mafuta pale, akasema…

“Mwendo nitakaoendesha nitahakikisha mama anaingia Tanga sambamba na sisi.”

Mjomba aliendesha gari kwa mwendo wa kasi mpaka nikaogopa…

“Mjomba,” niliita…

“Unasemaje?” mjomba alinijibu huku macho yake yakiwa mbele kwenye barabara…
“Mwendo wote huu wa nini?”

“Tunawahi.”

“Hata tukichelewa kwani kuna nini?”

“Unajua nini mjomba, sisi wa dhambi, dhambi tuliyoifanya kwa siku zote hizo ni kubwa sana mbele ya jamii. Haivumiliki hata kidogo, wewe na mimi ni damu kabisa, hatukustahili kuwa wapenzi, kwa hiyo lazima tukatubu mjomba.”
Wakati mjomba akiongea hayo, na mimi akili ilikuwa kama inanirudia. Nilihisi uamuzi wangu wa mwisho haukuwa sahihi hata kidogo.

Niliwakumbuka baadhi ya wanafunzi wenzangu shuleni ambao walikuwa wanaishi na wajomba zao, hakuna hata mmoja aliyekuwa na tabia kama yangu kwani hata mazungumzo yao yalionesha hivyo…
“Sasa mimi huu ukengeufu nimeutoa wapi?” nilijiuliza mwenyewe…

“Mjomba Msafiri,” niliita kwa sauti iliyojaa unyonge…

“Mh…”

“Hata mimi nakiri tulichokuwa tukikifanya siyo, ni shetani tu yule, sasa nimejitambua, nakuona ni mjomba wangu kamili, damu ya mama yangu ndiyo damu yako kwa hiyo wewe na mimi ni damu moja.”
“Ni kweli Zuwena, kama wote tumeligundua hilo hata Mungu atakuwa ametusamehe, hata tukifa leo naamini hatuna hatia maana mioyo yetu imetubu,” alisema mjomba. Akachukua simu na kumpigia mama huku akiweka loud speaker…

“Halo dada…”

“Haloo…”
“Sisi wakosefu wakubwa tunaostahili kuchomwa moto na kufa tupo njiani tunakuja Tanga, lengo ni kuomba msamaha. Ushetani wetu si wa kuufumbia macho, lazima niangukie kwako dada angu hata kwa kuchinja mbuzi na kutoa faini kama mila na desturi zinavyosema.”
“Sawa, lakini kuna ndugu nilishawaambia…

“Nao wawepo kwenye hicho kikao cha sisi wahalifu wawili tukitubu mbele yao na mbele ya Mungu.”

Ghafla nimkasikia mjomba akipiga kelele akisema ajali… ajali Zuwena… ajali… nikasikia puuu!
MWISHO
Msafiri na Zuwena wameonesha nia ya kutubu mbele ya watu baada ya kubaini makosa yao lakini Mungu hakuwaruhusu wafike kwenye baraza la kuungama dhambi zao licha ya kwamba tayari mama wa Zuwena alisharidhia, wote wakapata ajali njiani na kufariki dunia palepale.
Inawezekana kama si dhambi waliyokuwa wakiifanya wasingepata ajali kwani safari yao ilitokana na dhambi hiyo.

Tumejifunza kwamba wakati mwingine shetani huyaendesha maisha ya binadamu kadiri atakavyo na hata kumfikisha kwenye mauti hususan kama binadamu huyo haishi maisha ya kumpendeza Mungu.
MWISHO

Also, read other stories from SIMULIZI;

Leave a Comment