Mamdogo Lisa Sehemu ya Nne
CHOMBEZO

Ep 04: Mamdogo Lisa

SIMULIZI Mamdogo Lisa
Mamdogo Lisa Sehemu ya Nne

IMEANDIKWA NA: UNKNOWN

**************************************

Chombezo: Mandogo Lisa

Sehemu ya Nne (4)

Ilifikia hatua mzee huyo akaanza kulazimisha kuzamisha sungura wake lakini Hasina hakumpa nafasi hiyo, akaendelea na mchezo wake, sasa alikuwa ameshuka chini kabisa ya kitovu cha mzee Bisu, akaanza kumlambalamba sungura wake aliyekuwa kasimama kama mlingoti wa bendera, aliulambalamba kwa muda bila ya kuushika bali kwa kutumia ulimi tu, mzee wa watu alikuwa bado kidogo tu aanze kulia, raha zilimzidia mpaka akajikuta akianza sasa kumuita Hasina mke wangu.

“… mke wangu Hasina, basi mama… mke wangu,.. mke wangu?..”

Hasina akawa anaitikia kwa sauti ya mguno tu na bila kuacha kile alichokuwa akikifanya, sasa alimshikilia vizuri mkononi mwake sungura wa mzee huyo na kuanza kumnyonya kama mtu anayenyonya pipi ya kijiti, kwanza alianza kwa kunyonya kichwa tu na huku wakati mwingine akipitisha ncha ya ulimi wake kwenye jicho au tundu la kutolea mambo la sungura huyo na kisha kuendelea tena na zoezi la kukinyonya kichwa.

Mzee bisu alikuwa akilalamika kwa kumuita Hasina mke wangu na wakati mwingine akiongea maneno yasiyoeleweka, lakini Hasina hakumuonea huruma hata kidogo alizidisha mashambulizi, sasa alimzamisha sungura mzimamzima ndani ya mdomo wake na kuanza kumnyonya kwa style ya kipekee kabisa.

Mzee Bisu alikuwa akiongeaongea na huku akihemea juujuu kwa maraha aliyokuwa akiyapata, hali ilikuwa ni tata sana kwake akaanza kuomba mechi ianze.

“… Hasina mke wangu… na…na, naomba…”

Hasina aliinua kichwa akamuangalia kwa macho yake yaliyolegea kama alikuwa anakula kungu…

… akatabasamu kisha taratibu akajiinua na kulala juu ya kifua cha mzee Bisu akaanza kumbusu shingoni kisha kwenye shavu la kushoto taratibu tena akajiinua na kumkaliaa juu mzee Bisu huku akiwa katanua miguu kama aliyepiga magoti na mzee bisu akabaki kuwa katikati ya mapaja yake, taratibu akaupeleka mkono wake na kumshika sungura wa mzee Bisu, taratibu akaanza kumuingiza ndani ya pachi pachi lake mpaka pale alipofika alipopataka yeye, akaanza sasa kucheza mchezo wa kupanda na kushuka na huku akiizungusha nyonga yake taratibu ikiendana na mlio wa kilio cha mahaba kilichokuwa kikimtoka kwa sauti ya kubana na iliyotokea puani.

Mzee Bisu yeye alikuwa akitweta kwa maraha, aliinua mikono yake na kukishika kiuno cha Hasina na yeye akaanza kumsaidia kwa mchezo wa kuinua kiuno chake taratibu na kukishusha na huku akiunguruma kwa raha.

haikuchukua hata dakika mbili mzee Bisu akawa amepasua dafu na kumuacha Hasina akiwa bado kabisa.

Katika wakati wote huo ambao walikuwa wakifanya michezo hiyo na kupeana maraha, hakuna kati yao ambaye alikuwa akifikiria kitu chochote zaidi ya kile walichokuwa wanakifanya, lakini mara tu baada ya mzee Bisu kuvunja dafu na kutulia kidogo huku akiwa anashikwashikwa na Hasina aliyetaka kumpandisha tena mzuka ili apewe tena angalau na yeye afike pale alipopataka, hapo ndipo mze Bisu alishituka na kukumbuka kuwa alikuwa chumbani kwa mfanyakazi wake tena jua likiwa tayari limeanza kuchomoza.

alikurupuka toka pale kitandani na kuzikimbilia nguo zake za mazoezi pale zilipokuwa na kuanza kuvaa harakaharaka huku Hasina akimkodolea macho ya uchu.

Akiwa anaendelea kuvaa nguo, ndipo aliposikia hatua za mtu akitembea sebuleni, mapigo ya moyo yakaanza kumuenda mbio na kuanza kubabaika asijue nini cha kufanya, kwani aliamini kuwa aliyekuwa akitembea pale sebuleni alikuwa ni mke wake tu, na kama ni mke wake basi atakuwa amekwisha kwani litakuwa ni fumanizi la mwaka, atatokaje mle chumbani kwa mfanyakazi wake wa ndani? akionekana anatokea humo wakati kila mtu mle ndani anajua kuwa yuko mazoezini watamuangalia kwa macho gani na ataulizwa alikuwa anafanya nini katika chumba cha mfanyakazi wakati sio kawaida yake kuingia katika chumba hicho, tena asubuhi mapema kama hiyo ambayo hata mfanyakazi huyo ambaye ndio huwa wa kwanza kuamka bado hajaamka?

akaangalia huku na huku mara macho yake na macho ya Hasina yakakutana akamkodolea macho kama ndio ilikuwa mara ya kwanza anamuona wakati dakika kadhaa zilizokatika alikuwa akila naye raha.

“… yaani we umekaa tu hapo unanikodolea macho badala ya kufikiria ni jinsi gani mimi naweza kutoka humu?..”

aliongea mzee Bisu kwa sauti ya chini lakini yenye gadhabu kidogo, ni kama alikuwa amemkurupusha Hasina kwani alionekana kama mtu aliyekuwa kazama katika lindi la mawazo, kuna vitu vilikuwa vinapita katika akili yake, kwanza alikuwa akisumbuliwa na ile hali aliyoachwa nayo ya kuto kuridhika kimapenzi, alikuwa akitamani angalau kama wangeendelea tena kidogo ili na yeye afike pale alipotaka lakini pia alikuwa anajiuliza itakuwaje kama mtu yule aliyesikika akitembea sebuleni atakuwa ni mke wa mzee Bisu, itakuwaje kama akigundua kuwa mume wake alikuwa anakula uroda na mfanyakazi wake wandani, atachukua hatua gani?..

kwanza ni kipigo kisha kutimuliwa kama mbwa koko kitu ambacho yeye mwenyewe hakutaka kitokee, ni jana tu ndo ametoka kununuliwa nguo mpya na za kisasa ambazo akizivaa na yeye ataonekana mtu katika watu, ataonekana msichana kama wasichana wengine wa mjini wanavyoonekana, sasa leo afungishwe virago na kurudi tena kwao?..

Alikurupuka toka pale kitandani akauchukua upande wakanga uliokuwa umening’inizwa pale kitandani akajifunga, akasogea mlangoni akaanza kuchugulia kupitia tundu la funguo lakini hakuona mtu akatega sikio kama atamsikia tena yule mtu aliyekuwa akitembea wala hakumsikia, akakinyonga kitasa cha mlango na kuufungua mlango kisha akatoka. macho yale yakagongana moja kwa moja na macho ya Dennis mtoto wa mwisho wa mzee Bisu aliyegeuka Ghafla baada ya kusikia mlango wa chumba cha Hasina ukifunguliwa, Dennis alikuwa kakaa sebuleni pale akiangalia taarifa ya habari ya asubuhi.

kama Hasina asingekuwa makini angegundulika kwani mara tu baada ya kukutanisha macho na Dennis alishituka kwani hakutegemea kama angemkuta Dennis pale akamuwahi na shikamoo.

“… Shikamoo kaka Dennis…”

“… marahaba dada, umeamkaje?..”

“… sijambo…” akatembea taratibu akapita nyuma ya Dennis na kuelekea msalani ambako hakuchukuwa muda akarudi na kuingia tena chumbani kwake akimuacha Dennis akiendelea kuangalia Taarifa ya Habari, alimkuta mzee Bisu akiwa kajibanza nyuma ya mlago.

“… ni nani yuko hapo sebuleni?..” alihoji mzee Bisu tu baada ya Hasina kuingia na kuurudisha mlango.

“… ni kaka Dennis…”

“… anafanya nini hapo sebuleni?…”

“… anaangalia taarifa ya habari…”

“… aghrr… huyu mtoto naye mbona anakuwa mjinga sana, anaangalia taarifa ya habari saa hizi ya nini?..” alijikuta akiropoka kwa jazba.

Hasina yeye alibaki kumkodolea macho tu akimshangaa kwa swali lake hilo, alimshangaa kwa kuwa kila siku yeye ndo huwa anamlazimisha mwanaye kuangalia taarifa ya habari ili ajue dunia inakwendaje eti leo anamlaumu kwa kuangalia taarifa ya habari, ama kweli siku ya ndege kufa miti hutereza.

jua lilikuwa likizidi kupanda na muda sio mrefu mke wake angeamka, na kama kawaida yake akiamka tu huwa anakwenda kukaa pale sebuleni kwa muda ndipo aendelee na mambo mengine, sasa kama akiamka mke wake mambo ndo yatazidi kuwa mabaya zaidi.

“… sasa tutafanyaje Hasina maana huyo hatoki hapo mpaka taarifa ya habari iishe…” aliendelea kuhoji Mzee Bisu, Hasina hakuwa na jibu zaidi ya kukaa kimya na kuendelea kutafakari.

… hakuna kati yao aliyekuwa akiongea neno wote walizama katika lindi la mawazo na wasijuwe cha kufanya, walikuwa wakitafakari ni jinsi gani watafanya Dennis aweze kutoka pale sebuleni na mzee Bisu apate mwanya wa kuchoropoka mle chumbani kwa Hasina bila kuonwa na mtu yeyote, na ikibidi atoke nje kabisa ili kuwajengea imani kuwa kweli alikuwa mazoezini.

Wakiwa katika kuendelea kutafakari mara walimsikia Dennis akiongea na mtu pale sebuleni, walitega masikio na kusikiliza kwa makini, Hofu iliongezeka baada ya kugundua kuwa aliyejuwa akiongea na Dennis pale sebuleni alikuwa ni mama yake yaani Bi. Pauline mke wa Mzee Bisu.

Mzee Bisu alitamani ardhi ipasuke apite chini kwa chini atokee nje ya geti, kwani alihisi kuwa uwezekano wa yeye kutoka mle chumbani kwa Hasina ulizidi kuwa mdogo sana kwani kitendo cha mke wake kuamka kingesababisha azidi kukaa mle chumbani kwa muda mrefu sana. Alianza kujutia maamuzi yake ya kuingia chumbani kwa Hasina siku hiyo, ni kweli alikuwa amepata raha alizozitaka lakini sasa raha imekuwa karaha, Hakujuwa afanyeje ili kutoka mle chumbani.

Baada ya muda wa kuendelea kutafakari nini wafanye, walisikia mtu akitembea kuelekea mlango wa kile chumba walichokuwemo, jasho lilianza kuwatiririka bila ya kujuwa chanzo cha jasho hilo ilikuwa nini.

Hasina alisogea na kuchungulia mlangoni, aligundua kuwa aliyekuwa akiusogelea mlango ule ni mke wa mzee Bisu, alikurupuka na kumsogelea mzee Bisu na kumuambia kwa sauti ya taratibu.

“… tumekwisha, mama anakuja kugonga mlango wangu…”

mzee Bisu alikurupuka na kukimbilia uvunguni mwa kitanda cha Hasina lakini ikawa vigumu kuweza kuingia kwani ukubwa wa mwili wake ulizidi ukubwa wa uvungu wa kitanda cha Hasina, wakati akihangaika kuingia, mlango uligongwa na sauti ya Bi. Pauline ikasikika.

“… Hasina,.. we Hasina…”

“… Beee…”

Hasina aliitikia huku macho yake yakiwa kwa mzee Bisu aliyekuwa akiendelea kulazimisha kuingia uvunguni bila mafanikio.

“… we bado umelala mpaka saa hizi wakati jua lilishakuchwa?..” aliendelea kuongea Bi. Pauline akiwa palepale mlangoni.

“… hapana mama nilishaamka muda mrefu mama na kuja…”

“… sasa unafanya nini chumbani humo, toka basi…” aliongea Bi. pauline huku akianza kuondoka

“… nakuja mama…”

ni kama walikuwa wanakimbia mbio ndefu kwani walishusha pumzi kwa nguvu tena kwa pamoja na huku sauti ya kuhema ya mzee bisu ikitokea chini ya uvungu, ni baada ya kusikia hatua za Bi. Pauline zikitokomea sebuleni.

Mzee Bisu alikuwa amefanikiwa kuingiza kichwa tu uvunguni wakati kiwiliwili chote kilikuwa nje, alitoka na kuanza kujifuta vumbi. mapigo ya moyo yalikuwa bado yakimuenda mbio na kijijasho kikiwa kinamtoka, akamuangalia Hasina kisha akamwambia.

“… inabidi utoke, maana ukibaki humu mama yako atakuja tena na mara hii ataingia moja kwa moja…”

“… sasa wewe utafanyaje?…” alihoji Hasina

“… wewe nenda mimi ntabaki hata kama ntachelewa kutoka lakini ukishafika nje tafuta ujanja wowote ambao unaweza kuufanya ili na mimi nitoke humu ndani, tofauti na hivyo ntakuwa sitoki humu ndani…”

Hasina alitikisa kichwa kukubaliana na alichokisema mzee Bisu, akafungua mlango na kutoka, hakumkuta Bi. Pauline ila Dennis alikuwa bado kakaa pale pale akiendelea kuangalia tv, alipitiliza moja kwa moja na kuingia jikoni ambapo alianza kupanga kazi za kufanya, haikuchukuwa muda Bi. Pauline naye aliingia jikoni.

“… we Hasina leo unatatizo gani…” alihoji Bi. Pauline mara tu baada ya kuingia jikoni.

“… sina tatizo lolote mama…”

“… we si nilikusikia ukiongea na kaka yako Dennis hapo sebuleni?… sasa mbona ulirudi tena kulala wakati unajua kuwa umechelewa kuamka?..”

“… sijarudi kulala mama nilikuwa na jiandaa…”

“… haya fanya fanya basi haraka, baba’ako saa hivi atakuwa anarudi kutoka mazoezini na yele akifika tu lazima ataanza kuulizia chai si unamjua tena?…”

“… haya mama…” aliitikia Hasina huku moyoni akisema. “ungejua mumeo hajaenda mazoezini yuko chumbani kwangu…”

baada ya kumaliza kilichomleta mle jikoni Bi. Pauline alitoka, Hasina naye hakuendelea na kazi bali alisogea mlangoni kuchungulia ni wapi anaelekea mama huyo, alimshuhudia akipitiliza kwenye korido ya kuelekea chumbani kwake, alipotupa macho pale sebuleni tena alimuona Dennis naye akiinuka na kuanza kutoka nje huku akijinyooshanyoosha, hakufanya kosa alitoka haraka baada ya Dennis kupotelea nje akakimbilia moja kwa moja mlangoni kwake na kunyonga kitasa akaingia bila hata hodi.

kidogo amuue mzee wa watu kwani alishituka sana akijuwa tayari amekutwa na mkewe.

“… utaniua we mtoto, mbona haujabisha hodi…” aliongea mzee Bisu huku akitweta.

Hasina hakujibu wala kupoteza muda wa kuongeaongea tena, akamkurupusha

“… toka, toka haraka wote wameondoka…” aliongea Hasina huku akihema kulingana na zile mbio fupi alizopiga mle ndani.

Mzee Bisu hakupenda kupoteza muda, alichomoka kama mshale na kwenda kusimama katikati ya sebule.

wakati anafunga breki tu akakutanisha macho na mwanaye Dennis ambaye naye alikuwa ndo anaingia kutokea nje, kwanza Dennis alipata mshituko na akabaki akimkodolea macho baba yake bila kuongea neno na huku akiwa kasimama palepale mlangoni akiwa kama kapigwa na soti ya umeme, Mzee Bisu naye alikuwa akimuangalia mwanaye kama kuna kitu alikuwa anasubiria kusikia kutoka kwake…

… Baba wewe si ulikwenda mazoezini?..” lilikuwa ni swali la kwanza la Dennis mara tu baada ya kumsogelea baba yake.

:.. ndio si ndo nimetoka kwenye mazoezi yenyewe…” alijibu Mzee Bisu huku akiendelea kumuangalia mwanae machoni kama aliyekuwa anasubiria swali lifuatalo, na kweli lilikuwepo.

“… sasa umepita wapi, mbona mimi muda wote nilikuwa hapa sebuleni…” lilikuwa swali la pili la Dennis na alionekana mwenye mashaka sana usoni mwake kwani ni kweli muda wote alikuwepo sebuleni na alipotoka hawenda mbali zaidi ya kusimama nje ya mlango tu.

Mzee Bisu naye alianza kupata wasiwasi akihisi kuwa mwanaye atakuwa kagundua kuwa alitokea chumbani kwa Hasina, lakini akajipa moyo baada ya kujishauri kuwa laiti mwanaye huyo angegundua kuwa alitoka chumbani asingemuuliza maswali yale bali angemuuliza anatoka kufanya nini chumbani kwa Hasina, hivyo akajipa ujasiri na kujibu kwa kujiamini kidogo.

“… sasa wewe ulitaka nipite wapi?..”

“… nauliza hivyo kwa sababu mimi niko hapa muda mrefu…” aliendelea kuongea Dennis,

“… hebu nitolee maswali yako ya kipuuzi,.. mama yako yuko wapi sitaki kuchelewa chelewa tena leo…” aliamua kujifanya mkali ili Dennis asiendelee kumuhoji maswali, maana alishagundua kuwa mwanae huyo aliamua kudadisi ili kujua alikotokea, na kweli, Dennis alikuwa na mashaka lakini hakutambuwa ni wapi alikotokea baba yake, mara mlango wa chumba cha Hasina ukafunguliwa na Hasina akatoka na kuelekea jikoni, Dennis alimuangalia Hasina kisha akamgeukia tena baba yake, akilini mwake alikuwa akijiuliza kama inawezekana kuwa baba yake alitokea chumbani kwa Hasina kweli au?, lakini wazo hilo akalitupilia mbali.

“… we Dennis, mi si nimekuuliza mama yako yuko wapi?..” alikurupushwa kutoka katika lindi la mawazo kwa swali hilo la mzee Bisu.

“… mama yuko chumbani kwake…” alijibu haraka haraka kisha naye akanyoosha na kuingia chumbani kwake.

Mzee Bisu pia aliongoza moja kwa moja chumbani kwake huku moyoni akijisemea “… nimeponea kwenye tundu la sindano… leo kama ningegundulika na mke wangu nilikuwa nimekwisha…” kule jikoni pia Hasina alihema kwa nguvu baada ya kuona maswali ya baba na mwana yamekwisha, maana alipokuwa kule chumbani alikuwa akiyasikia maswali waliyokuwa wakiulizana baba na mwana, na alikuwa tayari na wasiwasi akidhani kuwa Dennis atakuwa kagundua kuwa baba yake katokea chumbani kwake.

Mzee Bisu alinogewa kweli na penzi la Hasina mtoto wa kitanga ambaye ni mfanyakazi wake wa ndani, alishaonja asali akaamua kujenga mzinga kabisa.


Hasina alianza kuonekana msicha wa ukweli baada ya kuanza kupendeza kwa nguo alizonunuliwa na Mzee Bisu, alionekana sister duh, ukilinganisha na umbo lake zuri basi alipendeza kwelikweli, jambo ambalo lilizidisha tamaa kwa mzee Bisu,.. lakini pia chembe chembe za tamaa zilianza kutembea mwilini kwa Dennis naye akaanza kupiga mahesabu ya kumnasa Hasina ili aweze kula naye utamu, lakini kwa Bi Pauline yeye alikuwa na maswali lukuki kulingana na mavazi ya Hasina, yamepatikana wapi? na hata kaka kanunua yeye, hela amezipata wapi? maana nguo zenyewe zilionekana ni za bei kubwa ukilinganisha na mshahara wake, hivyo akatamani sana kujua wapi alikopata nguo hizo, hata hivyo akaamua kukaa kimya lakini akilini mwake alishahisi labda Hasina atakuwa na mwanaume ambaye ndo anayempatia pesa za kununulia hizo nguo, akapanga siku amuulize na kama ni kweli ana mwanaume, amrudishe kwao mapema ili asije akaleta mzigo wa mimba pale nyumbani kwake. Alimchukulia Hasina kama motto mdogo kulingana na anavyoelewa yeye, lakini hakujuwa kuwa Hasina alikuwa mdogo wa umri na tu na sio uelewa, Hasina alikuwa mtaalam sana wa mambo ya mahaba tofauti na Bi. Pauline alivyoelewa, hivyo kwake kupata ujauzito ni ndoto.

ilikuwa ni jioni ya saa 10, Dennis alitoka kwenye mizunguuko yake na kurudi nyumbani, alipoingia ndani alikuta sebule ikiwa wazi yaani hakuna mtu, alisimama katikati ya sebule akaangalia huku na kule lakini hakuona mtu, akaongoza moja kwa moja chumbani kwake ambako hakukaa sana akatoka na kurudi kukaa sebuleni na kuwasha tv, Mara mlango wa chumba cha Hasina ukafunguka na Hasina akatokea akiwa katika vazi la kanga moja na huku mkononi akiwa kashikilia sabuni kwa lengo la kwenda bafuni kuoga, mwili wake ulionekana kulowa jasho, alipotokeza sebuleni tu alikutana macho kwa macho na Dennis, alishituka sana kumuona Dennis pale sebuleni hadi Dennis akagundua mshituko wake, hakumchelewesha akamtandika swali.

“… we vipi, mbona umeshituka kuniona?..”

Hasina hakujibu badala yake alianza kurudi nyuma kwa lengo la kurudi chumbani kwake, Dennis akaendelea kumuangalia kwa makini na akagundua kuwa kulikuwa na kitu kama uoga kwenye uso wake.

“… we Hasina, si nimekuuliza?.. mbona umeshituka na mbona uko hivyo?.. aliendelea kuhoji maswali na huku akiwa kamkazia macho.

“… hamna kitu ka… kaka Dennis…” alijibu Hasina huku akiwa tayari kasimama katikati ya mlango

“… sasa mbona umeshituka…”

“… hamna… si… si nilitaka kwenda kuoga…”

“…sasa kuna tatizo gani…”

“… hamna tatizo, lakini si… si nilijua hakuna mtu hapa sebuleni ndo maana nikashituka…” alijitahidi kunyoosha maelezo na huku akiwa tayari kakishika kitasa cha mlango

“… na mbona unatoka jasho hivyo kwani ulikuwa unafanya nini?..”

“… nilikuwa nimelala tu…”

“… sasa mbona umerudi nyuma wakati ulikuwa unaenda kuoga?..”

“… nachukua kanga nyingine…”

Dennis aliangalia huku na kule kisha akamuuliza

“… nani mwingine yuko hapa nyumbani?..”

“… niko mwenyewe… mama toka alivyoondoka ile asubuhi hajarudi mpaka saa hizi…” alijibu Hasina, jibu hilo ni kama lilimfurahisha kidogo Dennis akaamua kumuita

“… hebu njoo kwanza…”

“… ngoja nivae kanga nyingine…”

“…njoo hivyo hivyo…” aliongea Dennis, kuna kitu kilikuwa kinatembea kichwani kwa Dennis au labda niseme kuna kitu ambacho Dennis alishaanza kukitaka toka kwa Hasina.

“… ngoja nivae nguo kaka Dennis…”

Dennis akainuka na akawa kama anamfuta

“.. au ngoja nije tuongee kidogo chumbani kwako…”

Hasina alikurupuka pale mlangoni na kumkimbilia Dennis kisha akamzuia

“… haya basi nimekuja tuongee hapa hapa…”

Dennis akapatwa na mashaka, kidogo na akawa kama anajiuliza maswali mwenyewe…” huyu mbona nimezungumzia Habari za kuingia chumbani kwake tu amekurupuka wakati alikuwa hataki kunisogelea eti kwa vile kavaa kanga moja… au kuna kitu anaficha huko chumani nini?..”

… Mawazo hayo yalipelekea Dennis kutamani kuingia chumbani kwa Hasina kuhakikisha ni kitu gani ambacho hakutaka kionekane huko chumbani kwake, lakini hakufanikiwa kuingia kwani Hasina alikuwa tayari kasimama mbele yake kwa mtindo wa kama kumzuia asipite, Hata hivyo Dennis hakutaka tena kuongelea kilicho sababisha amuite Hasina, badala yake alipatwa na shauku ya kutaka kujua ni nini ambacho Hasina alikuwa akikificha chumbani kwake.

“… kwani huko chumbani kuna nini we Hasina…” alihoji Dennis akiwa kasimama sambamba na Hasina.

Hasina alijua amekwisha maana Dennis alionesha kweli kuwa na shauku ya kutaka kujua nini kipo chumbani kwake, na yeye hakutaka Dennis aingie au afahamu ni nini kilikuwa chumbani kwake, akaanza kuumiza kichwa kutafuta jinsi ya kumzuia Dennis asiingie katika chumba hicho.

“… kwani kaka Dennis we si uliniita, na nilitaka nikavae nguo vizuri wewe ukaniambia nije hivyohivyo…” alionge Hasina kwa kujiamini.

“… lakini mbona nimeongelea habari za kuingia chumbani kwako ukakurupuka, kwani umeficha nini?..”

akili ya Hasina ilikuwa inafanya kazi kwa haraka na alikuwa akicheza na akili ya Dennis.

“… kaka Dennis sikiliza… mimi nimekuambia kuwa nilikuwa nimelala na ndio maana nimetoka jasho hivi, na hapa nilikuwa nakwenda kuoga… isitoshe kaka Dennis, mimi ni mtoto wa kike na chumba cha mtoto wa kike siku zote yeye ndo anajua ni vipi anaviweka vitu vyake, Kukuzuia kwangu mimi nina maana kuwa kuna vitu vyangu ambavyo nimeviweka vibaya na sio vizuri wewe kuviona ndio maana sipendi uingie chumbani kwangu… kidogo kama maelezo ya Hasina yalianza kumuingia Dennis maana alianza kulainika na kupunguza ukali wa maswali.

“… kwani ni vitu gani ambavyo sitakiwi kuviona?..

“… kaka Dennis… nafikiri unafahamu kuwa sisi wanawake na nyie wanaume tuko tofauti… na sisi wanawake kila mwezi tuna kuwa na…”

“… ahha basi sitaki kusikia habari hizo…” alimkatisha Dennis baada ya kugundua ni nini alitaka kuongea Hasina, akaamua kubadilisha mada, pia alionekana moja kwa moja kukata hata ile taamaa aliyokuwa nayo na iliyosababisha amuite Hasina pale, aliamini kuwa msichana huyo alikuwa katika siku zake kwani kauli yake ilimaanisha hivyo, hivyo hakutaka hata kugusia habari hiyo tena kwani isingewezekana kutokana na Hasina kuwa katika siku zake.

“… haya basi niambie ulichoniitia…” alijifanya kuhoji Hasina baada ya kugundua kuwa tayari alishamaliza mchezo.

“… ah… basi ntaongea na wewe siku nyingine, we nenda kaoge…” aliongea Dennis huku akinyanyuka na kuelekea chumbani kwake, kitendo hicho kilimfurahisha sana Hasina kwani alijua kuwa tayari ameuvuka mtihani uliokuwa mbele yake. Hakuondoka pale sebuleni mpaka alipohakikisha Dennis amezama chumbani kwake na kufunga mlango na ndipo naye akatoka haraka na kurudi chumbani kwake kulitoa tatizo lililokuwa limemkabili. Ni tatizo gani?..


Hasubuhi ya siku hiyo kabla ya mambo hayo ya Hasina na Dennis kutokea, Mzee Bisu aliamka mapema kama kawaida yake kwa ajili ya kufanya mazoezi, lakini siku hiyo pia alikuwa hana lengo hasa la kufanya mazoezi, alitamani sana kuingia tena chumbani kwa Hasina kupata ile Raha aliyoipata jana yake, alipotoka tu sebuleni akiwa na lengo la kufanya mchezo ule ule kama alioufanya jana yake, akakutana na mwanaye Dennis akiwa naye ndo anaingia pale Sebuleni kwa ajili ya kuaanza kufutilia habari mbalimbali katika televisheni, swala hilo lilimchukiza sana kwani alijuwa kuwa itakuwa vigumu kuigia chumbani kwa Hasina wakati Dennis akiwa pale sebuleni, akatamani kumtimua lakini akajiuliza mwenyewe kuwa akimtimuwa mwanaye lazima atamuuliza kwa nini anamtimua, alafu yeye atamjibu nini? akajikuta tu amesimama pale sebuleni akiwa amemkodolea macho mpaka pale alipogutushwa na sauti ya Dennis.

“… Shkamoo Baba…”

“… ah,.. marahaba Dennis… eh.. vipi.. mbona mapema sana…”

alijikuta akimpachika swali bila kutarajia kulingana na msukumo uliokuwa ndani yake wa kutamani kumtimua pale sebuleni.

“… year… nataka tu kufuatilia habari mbalimbali zinazoendelea duniani…” alijibu Dennis huku akiwa tayari anawasha luninga.

“… lakini we huoni kama utajiletea matatizo,.. kila siku unaamka mapema kiasi hiki alafu bado kulala unachelewa?..”

aliendelea kuongea Mzee Bisu katika hali ya kutafuta jinsi gani amtimue Dennis ili apate upenyo wa kuingia chumbani kwa Hasina.

“… matatizo ya nini sasa baba…”alihoji Dennis akiwa tayari ameshakaa kwenye sofa kwa ajili ya kuanza kufuatilia kile kilichomuamsha mapema, swali hilo kama lilikuwa gumu kidogo kwani alipojiuliza ni matatizo gani atakayoyapa kwa kuamka mapema akachemka akajikuta tu ametamka.

“… siku utadondoka ghafla, alafu watu watakushangaa… hebu rudi chumbani kalale tena kama lisaa hivi ndipo uamke…”

Dennis alijikuta akigeuka kumuangalia baba yake kama alikuwa serious au anaongea tu, kwani kauli hiyo ya kumuambia arudi akalale tena kidogo ilimshangaza maana hiyo ni kawaida yake ya siku zote na Baba yake huyo ndo aliwahi kumshauri awe anaamka mapema, sasa inakuwaje leo anamuambia asiamke mapema?.. akatamani amuulize baba yake kama alikuwa sawa, lakini alipomuangalia aligundua kuwa baba yake aliongea kabisa kutoka moyoni, ikabidi tu aikaidi kauli hiyo kwani hakuona sababu ya msingi ya kumrudisha kulala.

“… baba nilishakuambia kuna news za muhimu nataka kuzifuatilia… mi siwezi kulala tena saa hizi…”

Mzee Bisu alitamani amrukie kwa vichwa lakini akasita tena na kujiuliza mwenyewe sasa nikimlazamisha si ataanza kunihoji maswali… na mimi ntamjibu nini?..

akajikuta tu amekaa kimya na kumuangalia mwanaye huyo mpenda habari za asubuhi na mapema kwa jicho kali na la chuki, alikuwa amekoseshwa utamu wa siku hiyo na aliokuwa ameukusudia na kuufikiria kila wakati, akaamua kubadilisha ratiba na kwenda mazoezini, lakini kichwani kwake alikuwa tayari na wazo jipya kwa ajili ya kupata raha zake na mtoto Hasina siku hiyo… Ni gani gani?

… Alifanya mazoezi lakini mazoezi yake ya siku hiyo hayakunoga kwani alikuwa na mawazo mengi kichwani, muda wote wa mazoezi yake alikuwa akipanga ni jinsi gani atapata raha siku hiyo kwa mtoto Hasina, siku hiyo hakufanya mazoezi kama kawaida ya siku zote, alifanya kidogo tu kisha akarudi nyumbani, hata Dennis alishangaa kuona Siku hiyo baba’ke anamaliza mazoezi mapema kwani sio kawaida yake, siku zote akienda mazoezini hutumia masaa mawili lakini siku hiyo alitumia nusu saa tu akarudi nyumbani.

Alipoingia ndani alimkuta Dennis akiendelea kufuatilia taarifa ya habari, akampita bila kuongea neno lakini Dennis alipogeuka na kumuona akamuuliza

… baba, mbona leo mazoezi umemaliza mapema?..

… ndio… nataka niwahi ofisini kuna kazi nyingi za kufanya…” aliongea huku akielekea chumbani kwake, lakini kabla hajaingia akageuka na kumuuliza Dennis.

“… kwa leo unaratiba gani Dennis?..”

“… leo mimi sina ratiba yoyote, nitashinda hapa…” alijibu Dennis bila ya kumuangalia baba yake, jibu hilo lilimkera sana mzee huyo kwani alitaka kujua ni muda gani pale patakuwa free ili aweze kurudi na kufanya mambo yake na Hasina, akiwa bado amesimama hapo mlangoni akampachika swali jingine la kizushi.

“… kwa hiyo siku nzima utashinda unaangalia taarifa ya habari…” alihoji mzee Bisu huku akijaribu kuficha Hasira zilizokuwa zinamfukuta moyoni kuhusu mwanaye huyo kutaka kumkosesha alichokikusudia siku hiyo.

ITAENDELEA

Mamdogo Lisa Sehemu ya Tano

Also, read other stories from SIMULIZI;

Leave a Comment