Mzoa Takatakata Sehemu ya Pili
CHOMBEZO

Ep 02: Mzoa Takatakata

Mzoa Takatakata Sehemu ya Pili

IMEANDIKWA NA : HAFIDHI J IKRAM

*********************************************************************************

Chombezo : Mzoa Takataka

Sehemu Ya Pili (2)

Salumu na akisema unakufa tukaamua kujitokeza baada kutuona akaja mbio na kutuambia “twendeni mkamsaidie

Salumu watamuuwa jamani!!! tukapanda kwenye gari yake kwa kasi akaendesha mpaka kwenye hoteli ya ubungo plaza pale baada kupaki tukashuka kucheki eneo

la tukio hakuna kitu kwa hasira zangu nikamkunja yule msichana na kumuuliza ni nani kamfanyia kitendo hicho

Salumu?”

maana kengere ya hatari ilishanigonga kichwani na kuhisi utakuwa

Salumu ni wewe tu hakuna mwingine,

kwa uwoga akanitajia

“kusema kweli mi sijui ila nahisi atakuwa Tonny tu ndio kafanya hivi,”

“Tonny ndio nani na anahishi wapi?”

“ni mpenzi wangu anaishi ilala,

“haya tupeleke kwa huyo kibwengo nikawapigia cm wana wafanye mchongo tukutane ilala hakuna aliye uliza maana kila mtu alishajuwa kimenuka

tukafika ilala boma kabla hatujashuka kuna gari akaja kupaki na kushuka jamaa flani hivi kisharo kikiwa kinaongea na simu ndio mchinjeni kama vipi huyo boya

mshamba hawezi kuja pale na demu wangu chinja kabisa sikutaka kusubili kuambiwa ndio yeye au sio nikashuka kwenye gari na kwenda kumtia roba ya mbao

akajitahidi kukuruka wapi akaishia kujamba tu nikaenda kumtia kwenye buti ya gari yake nikapanda safari ya kumpeleka chimbo ikaanza tukapishana na wana

wakiwa ndani ya tipa tukawapa ishara warudi basi baada kumpa kibano cha maana akawapigia cm vijana wake na kumtajia wapi wamekutupa basi tukamuachia

kwa makubaliano ya kwamba iwapo tukakukuta umekufa na yeye ajichimbie kaburi mapema

tukaja pande za manzese baada kuulizia ulizia tukatonywa upo kituo cha police pole sana kaka,

wakati

Madebe ananisimulia ile story ndani ya daladala kuanzia abilia konda hadi dereva mchozi ukawatoka na wengine kusema “sijawai kuona marafiki wenye

kupendana na kusaidina kama nyinyi ni moja kati ya vijana wa kuigwa sana poreni sana

Aseee!!! dahaaa kila mmoja akatupa pore baba mmoja akajitolea kutulipia nauli daladala nzima maana dahaa

sikuweza tena kurudi kwenye ile nyumba ya mama

Mwanaidi nikawa naishi kwa

Madebe maana ni zaidi ya ndugu japo kuwa ni rafiki yangu tu baada kupita siku kama nne hivi nikaingia kitaa na mkokoteni wangu kusomba taka Madebe yeye

ana mishe mishe zake tu anazielewa mwenyewe nikiwa bado nazisomba taka na kuzipakiza kwenye mkokoteni nikasikia vicheko vya kimbea tu “ohoo jamanii

hahahaha mzoa takataka utazoa hadi mavi mwaka huu, japo sikutaka kuwatizama wale mabinti wanao sema vile ila sauti ya mmoja wao sio ngeni masikioni

mwangu hakuwa mwingi ni

Mwanaidi nikainua uso wangu na kumtizama tulipo tizamana tu akaibetua midomo yake na kutema mate chini huku akiachia zinga la msonyo “nyooo*** lione

sura mbayaa kaa tako la mzee,” leo hii Mwanaidi ananiambia mimi hivi dahaa nikashika mkokoteni wangu na kusonga nao mbele kufika sehemu hivi nikasikia

kama kelele za ugomvi hivi nikasimamisha mkokoteni wangu nikanyata kwenda kufahamu washkaji wanagombania nini hasa nikasikia

“oyaa acha uboya ujuwe unajuwa mpaka sasa nimepoteza shi ngapi broo?”

“hiyo pesa yako ya madafu tu unitishi lolote dogo kwanza yule

Mwanaidi nishamuendea kwa babu kashafanya yake kwa kumuweka kwenye kifuu yule boya mzoa vinyesi sijui nini kabwaga kama zigo la kuni

nikastuka kusikia vile!!!,

Kitendo cha kusikia ya kwamba yule akijitapa na kujisifu kuwa

Mwanaidi kasha muweka kiganjani kwa kumuendea kwa babu sijui huko tanga ndipo nikaweza kupata picha

Mwanaidi ninae mfahamu mimi sio huyu wa sasa ime kuwaje abadilike ghafla vile na kuniona mie ni kinyaa si lolote si chochote,

nikajiuliza maswali mengi sana pasipo kupata jibu hata moja nitawezaje kurudisha penzi langu kwa

Mwanaidi liwe kama zamani nikajiambia habari hizi nimfikishie ndugu yangu Madebe huwenda ata nishauri nini cha kufanya nikaufata mkokoteni wangu niweze

kusonga na njia kitendo cha kupiga hatua kazaa tu nikakutana na yule bibi akiwa ana okota chupa za maji uhai kwa kuzitia kwenye kiroba,

nae baada kuniona akaja kwa mwendo wa kujikongoja na kuniuliza “vipi mjukuu wangu hujambo?”

nikamjibu “sijambo bibi shikamoo, “marhabaa mjukuu wangu basi nakumbuka majuzi tu uli nipa msaada kwa kuni peleka kwa mama ntilie kule yani sina cha

kukulipa baba yangu ila shukrani sana akubaliki sana mjukuu wangu, baada kusema vile akakiinua kiroba chake cha makopo na kuanza kuondoka nikabaki

kumtizama tu huku niki tingisha kichwa

kwa masikitiko moyoni nikaingiwa na imani kwa kumuita “bibi!!! aka geuka kuni tizama nikaenda mbio kumfata binafsi nikaweza kuona kwenye paji lake la uso

mchozi ukimdondoka,

“bibi mbona unalia?” nili muuliza hivyo huku nikimfuta chozi kwa kiganja cha mkono wangu, kitendo cha kumuuliza ni kama nime fungulia bomba la vua

nikajisahau kabisa kama mkokoteni nime usimamisha balabalani

“bibi niambie kinacho kuliza ni kitu gani?”

nieleze bibi hakuwa tayari kuinua mdomo wake kuniambia kile ambacho kili mfanya alie

gafla nikasikia honi ikipigwa kwa fujo nikaja kutambua ni gari ikiomba njia nikaenda mbio kuutoa mkokoteni kabla sija ufikia zikashuka njemba mbili mmoja

wao mkononi kabeba chenzo,

kwanza nikastuka kwa kuya hofia maisha yangu nikarudi nyuma kwa hofu walicho kifanyia mkokoteni wangu dahaa nika baki kutumbua macho tu maana mmoja

wao kiunoni ana bastora,

nikajuwa bila shaka hawa si watu wazuri nika shuhudia jinsi chenzo ikikata mkokoteni wangu wa mbao si unaipata tair ta gari nazo wakazitoa upepo sijui nime

wakosea nini baada kuona mkokoteni uko nyang’anyang’a yule jamaa akatoa bastora kiunoni na kupiga risasi moja juu

kile kishindo cha mlio wa risasi kila mtu ali tawanyika eneo lile hata mimi nikakimbia na kukatiza vichochoro kazaa nikiwa nahema nikajikuta natokea njia sio

na kuingia uwani kwa watu,

kwanza nikashangaa uwani kukuta purukushani kati ya mwanamke na mwanaume sijui hata wanacho pigania siki fahamu zaidi ya kukuta timbwili tu

tmk kuna vituko usipime kwa watu wanao ishi pande hizo wana fahamu nini namaanisha maana

full ubabe kufumuana tu,

basi yule mwanamke akazidiwa nguvu kwa kukabwa roba yani mtoto wa kiume una suputu kumkaba mwanamke roba kama vile una pigana na kidume

mwenzako ikabidi yule binti aanze kupiga kelele za “jamani!!! nakufaa!!! nisaidieniii hapo kwa papo jamaa akachomoa kisu sijui ali kitoa wapi na kutaka

kumkita nacho yule binti tumboni ikabidi niutumie uwana mume wangu kwenda kuudaka ule mkono wa jamaa nikamsukutua ngumi ya shavu na kujikuta kisu

na yule binti aki viachia maana ali yumba vibaya sana kumbe nina ngumi nzito kidume basi zile kelele za yule binti zika wafanya watu wajazane eneo lile cha

ajabu sasa

amini usiamini kibao nikageuziwa mimi

na kuhisi labda mchezo tuna igiza tu kwakuwa mjumbe wa nyumba kumi alikuwa tayari kesha fika hata alipo uliza kuna nini?”

yule binti akadai mimi nilitaka kum baka ndio gafla akatokea mchumba wake na kumuokoa,

“khaa! wee binti una makengeza au kipofu wewe si ulikuwa una pigwa na huyu jamaa akakukaba roba na kutaka kukuuwa kwa kisu?”

nika jitolea kukusaidia afu eti unasema nili taka kukubaka nikataka kuondoka ila mwenyekiti akaamlisha vijana wani kamate sikuwa mmbishi nitabisha vipi

wakati ishatokea,

baazi ya kina mama wakasema “kijana ni handsome ila anaonekana hana kitu cha kumpa binti yeyote yule mpaka ana fikia hatua ya kutaka kubaka dahaa safari

ikawa moja kwa moja kupelekwa kituo cha police njia tuliyo pita yani kama bahati vile siku zote huwaga upande

wangu tukakutana na kina

Madebe wakiwa katika kukeshiana pesa baada kutoka kwenye mishe mishe zao baada kuniona nimefungwa kamba huku nikisukumizwa wakaja mbio eneo lile

“oyaa vipi mbona mme mfunga kamba dogo langu kama kuku mna mpeleka wapi?”

kuna jamaa akajibu kwa dharau

“una uliza hivyo wewe kama nani kwanza pisheni njia?”

kwa kitendo cha gafla bila kutegemea

Madebe akachomoa kisu na kumchana nacho yule jamaa kwenye mkono maana yeye ndie aliye nishika aka nikata kamba

na kumgeukia Mwenye kiti kwa kumwambia

“sasa sikia nikwambie wee mzee haya mambo yaishe hapa hapa hakuna cha mtu kabaka wala kakatwa oky,

kwa uwoga aliyo kuwa nao mwenye kiti akaitikia sawa!!!

akaniuliza “Salumu kaka wame kukamata kwa kosa lipi hasa?”

nikampa full story washikaji wakasikitika tu na kusema siku zote wanao kwenda jera sio wote wenye hatia,

Madebe akamwambia mwenyekiti hivi “sasa sikia wee mzee huyo binti si kasema ali taka kubakwa sasa leo ndio atabakwa Salumu upo tayari kubaka!!!

nika muitikia ndio niko tayari maana kale kabinti kamenitia hasira tu iwe kama Adhaakanoni tu pale amitha bachan alipo singiziwa kumuuwa amrish poor

akaenda jera

mpaka mkewe na mwanae wakafa siku ya siku anatoka jera katika pita pita zake akamkuta yupo kwenye mkutano sijui marehemu kafufuka au vipi si aka

mkimbiza na kwenda kumuuwa mbele ya mahakama.

ndio mimi sasa huyu binti lazima nimbake

Embu niambie wewe kama ndio umetendewa kitendo kama hiki uta fanyaje maana kumsaidia umsaidie afu aseme eti uli taka kumbaka,

siku zote namfananisha ndugu yangu

Madebe na yule jamaa anae cheza muvi za kibabe akiwa kama teja hivi sijui nani nikimkumbuka nitamtaja

maana tabia za yule jamaa hazi tofautiani kabisa na

Madebe hata kitendo cha kumchana kisu huyu jamaa hakumtishia yeye aka mchana tu,

“sasa Salumu huyu si una mkumbuka kwa sura au?”

“sio sura tu hadi jina namfahamu,’

“anaitwa nani?”

“ni Rahma!!! “ahaa kumbe yule binti wa kipemba wa pale dukani au sio huyo?”

“ndio mwenyewe kaka,’

“oky kitoto white afu kina leta mambo sio sasa Salumu wewe uta mngojea ghetto mi nitamleta afu wewe mwenye kiti na hawa paka wako iwe kimya yeyote

atakaye jaribu kufungua mdomo

atabakwa yeye sawa, baada

Madebe kuchimba biti la maana tuka sepa “Salumu leo benzi yako umeipaki wapi?”

yani mkokoteni wangu washikaji hupenda kuuwita benzi nikamjibu Sheby maana yeye ndie aliye uliza swali lile kwa kumwambia

“mwanangu benzi ipo nyang’anyang’a leo,

“kivipi ipo hivyo nika wasimulia mwanzo mwisho kila mmoja akabaki kushika kichwa tu na kuniomba

niwa peleke eneo la tukio sikuwa na jinsi zaidi ya kwenda nao

temeke tuna ushilikiano basi kila mmoja aka beba kifaa cha mkokoteni tuki ziacha takataka pale

“nikwambie kitu

Salumu,’ “ndio niambie kaka Madebe,

“unajuwa wewe ni kama mdogo wangu wa damu kabisa sipendi uwonewe sipendi uumie ndio maana

mpaka time hii nahofia kuku jumuisha katika michongo yetu japo naishi na wewe huku niki fahamu nahatarisha maisha yako

nazunguka kila day kutafuta kazi kwa ajili yako nakosa kwa kifupi tu mimi ni jambazi muuza madawa ya kulevya nakaba nabaka yani kila aina ya unyama mimi

nisha ufanya, kwa yale maneno ya Madebe nikaogopa zaidi”…

Kauli ya madebe kuniambia kuwa yeye ni jambazi muuza madawa ya kulevya na ubakaji ili nifanya nishituke sana. Na kuanza kutetemeka kwa uwoga.

Akaniambia

“Salumu mdogo wangu huna haja ya kuniogopa, kumbuka mimi ndio mtetezi wako. Ngojea nikupe story moja hivi alafu wewe mwenyewe utanipa jibu kwa nini

nimekuwa hivi.

Kipindi natoka kule kijijini kuja town kusaka maisha nilipitia njia nyingi sana za hatari mpaka kufikia hatua ya kuhatarisha maisha yangu niliweza kufikia kwa

jamaa yangu anae kwenda kwa jina la Santos nikawa naishi nyumbani kwake kwa muda tu huku nikisaka michongo ya hapa na pale basi siku moja nikasikia kuna

kazi maeneo flani hivi kwa mchina kwakuwa sikuwa na ishu yeyote nikajihimu asubuhi na mapema. Kwenda kujalibu bahati yangu.nitapatapata hiyo kazi au

vipi”.nilipofika nikakuta vijana kwa wazee yani hadi wanawake wapo tukawa tukingojea geti lifunguliwe ili tuingie ndani

basi muda ulipo fika geti lika funguliwa kila mmoja akaingia kwa sie wageni ikabidi tuchaguliwe kuingia kwa bahati nzuri nikawa ni mmoja kati ya walio

chaguliwa kuingia kufanya kazi haikuwa kazi kama kazi zaidi ya kufungua vifuniko vya chupa za maji uhai na kutoa zile nembo zake na kujaza kwenye viroba

kisha kwenda kusagwa kwenye mashine iliyoko humo japo yule mchina alikuwa ana tutukana kwa kiswahili chake kibovu pindi anapo kuona unavuta pumzi au

kunyar

baada hapo tuka hamia kwenye madumu vidumu na ndoo yani takataka za kila aina yani mikojo mavi vyote tunakutana navyo alafu hakuna vitendea kazi kama

groups au viziba pua hakuna basi tukafanya kazi katika mazingira hatarishi ilipo fika time ya kula sikuweza kuamini huo msosi ulivyo pikwa na kuwekwa

kwenye beseni mboga si mboga ipo kwenye kopo binafsi nili shindwa kula

jioni ilipo fika kila mmoja akalipwa kiasi chake cha pesa yani shilling 4000 tu basi siku zikazidi kusonga huku manyanyaso yakiongezeka kule kazini yani huyu

mchina akajiona kama vile yuko nchini kwao anapo jisikia tamaa za kimwili basi atamwita binti yeyote yule kwenye mjumba wake na kumaliza haja zake siwezi

kusahau hii japo ilikuwa ajali kazini lakini ni unyama wa kiasi gani

tukiwa katika mashine ile ya kusaga yale makopo una yaingiza hivi kama kwenye pipa afu una yashindilia kwa kutumia madumu sasa kuna jamaa mmoja hivi ana

itwa Hamisi aka yashika yale madumu na kukandamizia basi ghafla, madumu yakavutwa na upepo wa mashine na kujikuta ana sagwa mikono yake ingekuwa sio

kumvuta sisi angeenda kusagwa mzima mzima akatoka akiwa kibubutu hana tena viganja vya mikono damu zika mwagika maeneo yale tukajitolea kumpa

huduma ya kwanza ili kuzuia damu kuvuja zaidi maana alijikuta anapoteza fahamu kabisa tukapaza sauti kumwita mchina kwa kumfahamisha kuna tatizo huku

dahaa hata hakujali ndio kwaanza yupo ndani ana jilia raha na binti aliye mwita siku hiyo. Ikabidi tujitolee kumuwaisha hospitali mwenzetu

ndugu zake wakafika sisi kurudi kazini tukamkuta mchina anafoka mbaya kwa kuichafua mashine yake kwa damu akaamrisha isa fishwe haraka sana

Salumu kusema kweli ndugu yangu nikaingiwa na hasira sana na kujiuliza huyu ni binaadamu au mnyama hata mnyama hawi na roho kama hii yani baada

kufikilia jinsi gani mfanyakazi wake kapatwa na tatizo yeye anachojali ni mashine yake tu basi ndugu zake Hamisi wakafika na kuja kuzungumza na yule mchina

akawatoa nduki na kuwatishia kuwapiga na bastora.

Mama yake Hamisi akaondoka akiwa analia waende kushitaki wapi wakati watu wenye ngozi nyeupe wana kumbatiwa hapa nchini kwetu hali yakuwa kwenye

nchi zao tunaonekana kama manyani ile hali ika ninyong’onyesha sana,

Nakumbuka siku moja tukiwa tuna piga kazi nikasikia naitwa na yule mchina yani gaidi sana huyu basi nikaenda akanishika mkono hadi chooni nikajiuliza

anaenda kunibaka au”…. baada kufika kule nikaweza kuona choo kimejaa mavi mpaka juu ya sinki si akaniambia toa hii nnya shimba simo paye fukiya japo

kiswahili chake kibovu nika muelewa basi nikaomba dhana cha ajabu akaninasa kofi na kusema “fanya hivyo hivyo, kama nataka kazi fanya kama taki kazi nnje

dahaa nikajishika shavuni kwa maumivu wa lile kofi siku zote katika maisha yangu hakuna kitu nisicho kipenda kama kuonewa nilicho kifanya ni kumvamia

tukajikuta tunaenda chini puhu nikawa nampa masumbwi pale chini huku aki jitahidi kujiondoa wapi kumbe sio kila mchina mcheza karate au shaollin huyu

alikuwa mdebwedo tu akaanza kupiga kelele kuomba msaada jameniiiiiiiiii

i,,,,,nisaidieeeeeee,,,,kama haitoshi nikaenda kumkandamiza kichwa chake kwenye sink hasira nilizo kuwa nazo siku hiyo ni kutamani kuuwa tu hasa

nikimkumbuka Hamisi japo Mungu ana samehe ila sio kwa mnyama kama huyu

kila aliye fika wakanisihi nimuache kumbe videmu vyake vishapiga cm police nikajikuta nakamatwa na kuvishwa pingu huku mchina akiwa hatamaniki usoni

basi nikapelekwa moja kwa moja ukonga.

Ni kitu ambacho kilinishangaza sana maana nijuavyo mimi mtu akikamatwa unapelekwa kituoni baadae mahakamani mwisho una hukumiwa kwenda jela au

kuachiwa huru ama kutozwa faini cha ajabu mimi moja kwa moja naenda kuswekwa gereza la ukonga nikawa mmoja kati ya wafungwa binafsi niliteswa usiku

na mchana kwa kupigwa na kufungiwa kwenye shoti ya umeme huku nikimwagiwa maji ya baridi nikaichukia dunia na binaadamu kwa ujumla nili nusulika

kubakwa zaidi ya mara tatu kidume nika pambana nikaanza kujifunza kuvuta bange kama ujuavyo uwapo jela hutakiwi kuwa lele mama ikabidi nifanye mpango

wa kusa vaivu ni kujiunga na wababe nikasota jela takriban miaka minne pesa ya mchina iliongea tu sikuweza kumuona jamaa yangu Santos akija kuniangalia

hata siku moja nikabaki kujiuliza maswali pasipo kupata majibu yeyote huku nikishuhudia baadhi ya wafungwa wenzangu wakija kuangaliwa na jamaa zao ila

nikapiga moyo konde mpaka siku niliyo achiwa miaka minne ni umri wa mtoto kusoma chekechea

basi nikarudi nyumbani kwa jamaa yangu,

cha ajabu nilipo fika maeneo yale nikamkuta binti mrembo hivi ana pika msosi basi nikamtolea salamu.

“za saa hizi dada yangu kabla ya kuitikia akanicheki juu chini alafu aka ninyari na kutema mate chini “pohoo ehee nikusaidie nini?” nikamjibu ya kwamba nina

shida na Santos,

“Santos huyu huyu mume wangu mimi au mwingine?”

“huyo huyo mumeo, basi akaita “wee!!! baba Michael kwanza nilitabasamu kusikia Santos anaitwa baba Michael kumbe jamaa yangu kashakuwa kidume cha

mbegu sio pazia ya mlango ika funuliwa na kutokeza pande la mtu nikaenda mbio kumkumbatia cha ajabu nilipo mfikia tu akanisukumiza na kujikuta nikienda

chini puhu na kuanza kumfokea yule binti

“yani wewe mwanamke ushaanza kuwa chizi sio yani kwa akili zako timamu kabisa unaniita nije kumuona huyu kichaa jizi muuwaji mkubwa huyu, kwanza

nikashindwa kuamini haya maneno yana toka kinywani mwa Santos au ghafla yule binti akapaza sauti kwa kupiga kelele za mwizi huku akiwa ana nishambulia

kwa mwiko nikamuwasha ngumi nahisi hata Santos ana nifahamu mimi ni mziki mnene japo kuwa yeye mbavu ila namkalisha tu ndani ya dakika kama tano

nikawa nipo chini huku nikipigwa na zana ya kila aina eti mimi mwizi dahaa nikavishwa pira ili nitiwe moto damu zikinivuja kila mahali nikaweza shuhudia

Santos ndio kaleta dumu la mafuta lakini kabla hawaja fanya hivyo police wakafika vinginevyo ningekuwa leo hii nipo kwa Mungu baba,

nikapelekwa tena jera ila sio ukonga hii ilikuwa segerea nikasota huko miezi sita nikaja kutoka nikawa sina pa kwenda zaidi ya kusaka nauli niweze kurudi

nyumbani kwetu kijijini ili niwaambie vijana wenzangu mjini si kuzuri kabisa nikasota sana kitaa huku nikihishia kushinda vijiweni na washikaji mpaka siku

jamaa mmoja alipo nipeleka kwa mama mmoja hivi maeneo ya masaki yule mama aliweza kuniambia maneno haya

“karibu kijana unavyo onekana tu macho yako unaichukia dunia ila tambua dunia sio mbaya ila walimwengu ndio wabaya hawana utu yani tunaishi kama

wanyama hakuna roho za huruma kabisa sasa basi natokea kukuamini sana shika hii!!!

nika stuka baada kukabiziwa bastora maana katika maisha yangu sikuwai kuwaza wala kufikilia kuja kuishika hii huku mikono iki nitetemeka nikaipokea kumbe

nzito kidogo dahaa basi nikalishwa sumu yani chachu ya kutokuwa na huruma na yeyote yule huku nikipewa mafunzo ya kuitumia siraha ile na matumizi ya

jambia maana ndani ya mjengo ule kuna mayakuza siku ya siku nikawa fiti wa kwanza kumuuwa tena kwa mkono wangu ni yule mchina Salumu kuna mengi

yame tokea mengine yame kuwa siri tu”…..

baada Madebe kunipa history yake yenye kusikitisha na kuhuzunisha huku machozi yakitutoka nikajikuta nakumbatiana na kumwambia “pole sana kaka kwa

yaliyokukuta siwezi kukulaumu kwa chochote kile binafsi mi nipo pamoja nawe”…. mwisho

Madebe akainuka na kusema ni muda wa kwenda kumleta yule binti nikataka kumwambia hapana asifanye hivyo nikawa nishachelewa maana alishatoweka mule

ndani

nikapata jibu ya kwamba sio kila jambazi ana penda kufanya kazi hii wengine inawabidi utakuta mgambo anapiga piga masufulia ya mama ntilie au kunyang’anya

bidhaa za wamachinga unadhani nini kitatokea hapo kama sio kumfanya awe kibaka mwizi kuna siku kwa macho yangu nili shuhudia mgambo wakiziponda

ponda nyanya za kijana mmoja kisa tu kapanga sehemu sio wakampiga sana marungu ya ugoko leo hii kijana kawa omba omba tu pale ubungo why?”

mnakuwa na roho za kinyama namna hii fanyeni mfanyavyo ila mkumbuke wote tutakwenda kuhisabiwa siku ya siku nikiwa katika rindi la mawazo nikasikia

sauti ya binti akisema “niachee!!! bwana nitaenda mwenyewe mlango uka funguliwa akaingia Madebe akiwa kamshika mkono yule binti akaniuliza “vipi kaka

ndio huyu au nimekosea number?”

nikamjibu huku nikitikisa kichwa ndio huyo huyo,

“oky sasa sikia wee binti mpe mambo yawe mambo dogo langu vinginevyo tutaonana wabaya ujuwe”

baada kusema vile commando Madebe akatoka nikabaki mimi na Rahma tu

tukabaki kutizamana kwa mwendo wa kinyonga Rahma akawa anakuja pale nilipo kuwa nime kaa huku akiishusha sketi yake na brauzi yake jamanii

Tuliishia pale

Madebe alipo mleta binti yule wa kipemba ghetto kisha akamchimba biti

Madebe akasepa zake basi Rahma kwa mwendo wa kinyonga akanisogerea huku akiwa anaishusha sketi yake

nikabaki kuduwaa tu kwa kutoa macho kama mjusi aliye banwa na mlango maana toto ngozi nyeupee kama vile nimemuona kareena kapoor wakati huo ice

cream yangu isha tutumuka kwa hasira

Rahma baada kunifikia akanishika kichwa changu na kunipa

ishara ya kwamba nizinyonye

chuchu zake akakisogeza kifua chake karibu na uso wangu kusema kweli

nilikuwa kama mtoto ninae fundishwa mapenzi

Rahma alikuwa mtundu haswa unajuwa mpaka time hiyo nikawa

sitaki nataka”… mmmmm,,,,oooooohg,,, nikagugumia kwa raha baada

Rahma kuitoa ice cream yangu mafichoni na kuanza kuinyonya kiustadi jamanii kumbe wenye pesa mnafaidi mzoa takataka mie

leo napewa vitu adimu. Nikajikuta

nipo sayari nyingine kabisa

ikawa sio penzi la

kulazimisha tena zaidi ya kuliziana ahaaaaaaa,,,,mmmmmm,,,,salumuu

uuuu,,,,babiiiiiiiii,,,,ni sauti aliyo itoa Rahma baada kuingiza ice cream yangu kwenye friji lake lenye joto joto la wastani hivi nikawa nagusisha kwa

kuizungusha kila maeneo huku

nikikwangua vitu flani hivi,

ohoooo,,,,assssssss,,,,ahaaaaa

a,,,,nikuneeeeeee,,,mamaaaaaaa

a,,,,uwiiiiiiiiiiii,,,, yani nikawa nasugua kwa kasi mpaka friji likamwaga uteute flani hivi huku ice cream ikiendelea kuchochea moto kasi. Nikazidi kumbadilisha

mikao ya kila aina mpaka ice cream yangu ikamwaga ute na kunywea basi

Rahma akaniambia.

“thank you baby”

nikatabasamu yani mapenzi bwana

si aliniita mwizi mie sasa hivi ananiita baby

basi akaendelea kusema

“Salumu binafsi naomba unisamehe kwa kile nilicho kufanyia leo mchana!”

nikamwambia haina shida,

siku hiyo ikapita pasipo kumuona

Madebe akirudi nyumbani nikajuwa labda atakuwa kwa washikaji zake tu

nikastuka zaidi baada kutimia siku tatu

Madebe haonekani hata maskani.

Nikajiuliza maswali

mengi sana hivi atakuwa wapi huyu?

kila ninaye muuliza kuhusu kumuona

Madebe jibu likawa sijamtia machoni siku ya tatu leo

washkaji wakaingiwa na hofu labda kitu kibaya kime mpata jamaa yetu,

“Salumu baby mbona unaonekana huna raha vipi unaumwa au?” lilikuwa swali kutoka kwa mpenzi wangu

Rahma baada kunikuta nipo kibarazani nimekaa huku nimeshika tama

sikuweza kumjibu kitu

akanishika kidevuni na kuinua sura yangu nimtizame yeye

“baby si nakuuliza mbona upo kimya sana?”

nikamjibu ya kwamba “kusema kweli mpenzi wangu mwenzako sina raha kabisa!

“kwa nini hukose raha baby wakati

mie nipo?”

“unajuwa nini baby unakumbuka mara ya mwisho uliletwa mule chumbani na

Madebe kwa nia ya nikubake sasa tokea siku ile

Madebe hajarudi nyumbani

na haijulikani yuko wapi mpaka leo hii kwa kifupi nachanganyikiwa,

“najuwa kinacho kuchanganya baby ni

kuhusu swala la pesa ya matumizi

ila usijali baby kila kitu nitakupatia mpenzi wangu!!!

kwa kauli ile aliyo itoa

Rahma ikanifanya nimkumbatie kwa nguvu na kumnyonya denda

yani ni kweli nilikuwa na hofu ya kufa njaa maana

Madebe ndio tegemeo langu kuhusu kila kitu tokea mkokoteni wangu

ukatwe katwe na wale majambaika

mpaka sasa sina ishu ya kufanya

ukizingatia pesa ya akiba nishaimaliza yote

basi siku zikazidi kusonga hatimae

miezi miwili ikatimia pasipo

Madebe kujulikana yuko wapi?”

kama hospital zote tulizunguka hapa jijini vituo vya police tukaenda

pasipo kuuwona hata unyayo wake

nililia sana huku washikaji wakinifariji

“Salumu kaka huu si mda wa wewe kulia unaweza ukawa unamchulia tu

cha umuhimu tu kesho uingie mzigoni usake chapaa

na Benz lako, yalikuwa maneno kutoka kwa Sheby mmoja kati ya marafiki kipenzi wa

Madebe, nikamuuliza “benz gani unayo izungumzia wewe?”

“si ule mkokoteni wako ulio katwa katwa siku ilee ukiwa kama ndugu yetu tumeamua kujichanga na kununua vifaa na kumpa fundi autengeneze jana tu

umekamilika,

binafsi sikuamini ile kauli ya

Sheby nikamuuliza uko wapi?”

akatabasamu na kusema “twenzetu ukauone,

tukaongozana mpaka nyumbani kwao

dahaa nikatoka mbio kwendaa kuushika mkokoteni huku nisiamini kwa kile nikionacho basi

nikaukokota mpaka maskani na kuwapa shukrani zangu za dhati washikaji

ila cm ya Mudy ikawa inaita akaitoa na kunipa mie huku akisema “Salumu ongea na mtu wako huyu maana ananisumbua kishezi yani!!!

nikaiweka cm sikioni na kusema hallo!!!

sauti ya upande wa pili haikuwa ngeni masikioni mwangu japo alikuwa analia,

nikajikuta nauliza kwa jazba

“Mwanaidi nini kinakuliza?”

kabla ya kujibiwa chochote kile cm ikakatwa nikaishia kusema hallo!!!hallo!!!

Mudy akaniambia “labda kaishiwa salio kama vipi mpigie tu basi nikaipiga ile number majibu ninayo pata cm ya mteja unaye mpigia haipatikani sikuwa na jinsi

zaidi ya kutoka mbio kwenda nyumbani kwao

mmh! jamani nikamkuta kibibi sijui nani maana amekondeana vibaya sana

nikamuamkia huku nikimuulizia Mwanaidi kama nimemkuta

kiuvivu akanitizama huku mchozi ukimdondoka nikastuka baada kutambua kumbe yule ndio

Mwanaidi nikarudi nyuma

kutaka kukimbia maana sikuamini nikaenda kumshika huku nikianza kulia na kuita “Mwanaidi!!!

kwa sauti iliyo ambatana na kikohozi mpaka kutema damu akasema haya

“Salumu!!!…salumuuu,,,

“naamu kipenzi changu!

“binafsi mi nakufa naomba unisamehe kwa mabaya yote niliyo kutendea nakufa kifo cha mateso sana laiti kama ningesikiliza ushauli alio nipa

Madebe wa kuwa nawe daima kwenye shida na raha leo hii nisinge teseka na gonjwa hili hatali nakufa mie juu ya ukaidi wangu wa kuitaji vitu vizuri maisha ya

kifahali, “hapana usiseme hivyo baby haufi mi nipo nitakusaidia

ITAENDELEA

Mzoa Takatakata Sehemu ya Tatu

Also, read other stories from SIMULIZI;

Leave a Comment