Shoga Feki Sehemu ya Tatu
CHOMBEZO

Ep 03: Shoga Feki

SIMULIZI Shoga Feki
Shoga Feki Sehemu ya Tatu

IMEANDIKWA NA: GEOFREY MALWA

***********************************

Chombezo: Shoga Feki

Sehemu ya Tatu (3)

“Kwahiyo mimi mnanibagua eeh?” nililalamika hivyo kidume na khanga yangu niliyoifunga kupitia kifuani kama mwanamke

“Mmh! Fan na wewe!” Zawadi alisema hivyo

“Basi njoo na wewe mdogo wangu,” Josefina aliniambia hivyo, unafikiri nilivunga! Haraka nilimfuata, nikambusu kwa kuwaiga njiwa kama sekunde saba hivi, kisha nikamfuata Zawadi aliyekuwa akinikwepa. Alinyanyuka kabisa mezani na kukimbilia kwenye korido Fulani iliyokuwa na uwazi mkubwa tu. Nilipomkamata, alikuwa akicheka tu huku akiona aibu,

“Fan bwana mi sitaki!” alisema hivyo huku akijiziba mdomo na kiganja cha mkono wake. Kama kawaida wote tulikuwa ndani ya khanga nyepesi, ndani nilivalia kufuri langu lenye kulipa uhuru Joka langu, sikujua yeye ndani amevalia kufuri au lah!

“Utakuwa uchoyo, mbona umempa Salma, kwanini uninyime?” nikawa namuuliza hivyo huku nimemshika kiuno ujue! Kwa kifupi umbali sifuri ndio tuliokuwa tumesimama. Makosa aliyoyafanya ni kuniruhusu tuwaige njiwa kwa sekunde kadhaa wakati mimi nilipanga kulifanya hilo tendo kwa dakika kadhaa. Sasa jinsia mbili mmekumbatiana halafu mnawaiga njiwa, hivi kweli utaweza kukatisha utamu ukikolea? Na ndivyo ilivyotokea kwa mtoto wa watu Zawadi. Masikini wa Mungu aliponikabidhi mdomo wake niutumie kistaharabu kwa sekunde kadhaa, nilihakikisha natumia dakika kadhaa kwani hata yeye mwenyewe aliridhia hali hiyo kimatendo. Nilimshika shingo kabisa na kuhakikisha ulimi wake unasuuzwa na ulimi wangu ipasavyo,

“Noo! Fan…acha bwana,” alisema hivyo akiwa tayari ameshaanza kuelewa somo, macho yake kwa mbali yalishaanza kuniunga mkono, mdomo wake pia ulianza kuchelewa kuumba herufi.

“Sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, nisamehe tu maana nilikuwa nasikia raha,” niliposema hivyo Zawadi aliangua kicheko..

“Lione! Haya kesho tena nitakubusu, sawa mtoto mzuri eeh?”

“Sawa.” Basi nilimwachia Zawadi kisha nikaliweka sawa joka langu lililoanza kunyooka. Wote wawili tulirejea sebuleni huku tukiwa tumeshikana mikono, Josefina akawa anaguna ile ya kutuchokoza, 

“Mwanamke mzima umbea tu! Utasutwa!” Zawadi alimwambia Josefina

“Khe! Mwanamke umbea kusutwa suna bibie upo?” alijibu Josefina akizungusha vimacho vyake kwa kurembua utadhani gololi za kireno

“Mwambie huyo! Na kuogopa kusutwa ni sawa na mwanaume kuogopa manzi.” Alichangia Salma akiongea kimadoido utadhani anaimba taarabu

Basi tukawa tumekunywa chai kisha kila mmoja akawa anasinzia juu ya meza. Salma alinyanyuka na kwenda kulala chumbani kwangu, Zawadi naye akamfuata Salma kwahiyo wote wakaenda kulala kwangu.

Wawili tu, Josefina na mimi ndio tulibaki hapo sebuleni, sio kwamba wanawake hawa walibadilisha mtindo wao wa kuvaa, walijiachia sana wakijua nyumba nzima mwanaume ni mlinzi mwenye maskani yake getini. Hawakunihesabu kama ni mwanaume, tena ukizingatia asubuhi nilijiremba kisawasawa, kidevuni mwangu hakukuwa hata na dalili ya ndevu, 

“Hivi unajua jana kuna mtu kaliwa?” Josefina alinishtua aliponihoji hivyo

“Kaliwa? Kivipi?” niliuliza kwa kujishtukia

“Ndio, na nilishuhudia kila kitu,” alipoongea hivyo alinifanya nitafakari kwa kuhisi ni mimi ndiye mhusika

“Acha bwana! Kwahiyo ukashuhudia mechi laivu bila chenga?” 

“Ndio, ila usimwambie mtu,” alipoongea hivyo karoho kangu kakapoa kidogo

“Zilete za motomoto shoshti…” niliongea hivyo kwa hamasa, maneno yaliyomfanya acheke kimbea

“Yaani Fan wewe! Hupitwi?”

“Napitwaje sasa na wakati nimekaa na wakala wa wambea duniani,”

“Mjinga kweli wewe!”

“Kwenye umbea nakubali kuwa mjinga, tena mjinga mwenye kipaji bibie upo?” nilimbinulia mpaka vidole, akazidi kuamini kuwa wanawaume wenzangu wanashambulia lango kutokea nyuma.

Basi akaanza kunihabarisha kuwa dada wetu wa kazi anafumuliwa na mlinzi, na kwa siku ya jana alipewa kichapo kitakatifu mpaka akawa anatoka anatembea kiupandeupande utadhani gari iliyokatika sentabolti. Na Josefina pamoja na Zawadi walishuhudia mchezo huo mwanzo mpaka mwisho. Akanishtua kuniambia kuwa alitamani kumtega mlinzi ili ampatie dozi kwa usiku huo lakini alisita kwani alihisi atajidharirisha sana kushuka mpaka kwa mlinzi. Alipomaliza kunisimulia, kwanza huku chini joka lilishaanza kufanya kama linatafuta njia ya kupumulia, 

“Kwahiyo ulikiona hiko kikitu cha mlinzi?” nilimtega ili aniambie maumbile ya mlinzi nijifananishe nayo

“Kikitu? Sema likitu! Nene, ila sio ndefu sana, Yule mbaba Jamani ana mautundu yake,”

“Mmh! Inaelekea alimkunja eeh?”

“Mwenzangu! Mbona nilijua huyu mdada wa watu atakufa, basi nakwambia kuna mda alimweka mbuzi kagoma, akaanza kumpa dozi kwa kasi, sijui ndio mizuka ilimpanda mlinzi wako huyo, asimnyanyue mdada wa watu juu, yaani kasimama naye kabisa, mdada akawa anategemea mikono tu, kamweka hivyo kama dakika saba hivi akimpelekea moto wa aina yake, kusema kweli nilimtamani,”…ITAENDELEA

SHOGA FEKI-11

MTUNZI:GEOFREY MALWA

“Kweli hiyo ni noma,” nilisema hivyo huku joka likiwa halishikiki, yaani limesimama kuliko maelezo

“Hapa nilipo nina hasira za kikubwa asikwambie mtu, yaani sijui atokee wapi mtu aliyeshushwa na Mungu sijui shetani nisuuze rungu lake mpaka hasira ziishe,” mwili uliongezeka kusisimka niliposikia hivyo, 

“Ningekuwa na uwezo ningekusaidia Jamani lakini sipendi kabisa kutumia joka langu,” nilipomwambia hivyo ni kama nilimpa wazo Fulani, mwonekano wake wa usoni ulitafsirika hivyo, akawa ananiangalia kwa jicho Fulani legevu, sio kwamba alinitamani ila ni mapozi yake tu,

“Lakini Fan, mimi kuna kitu sijakielewa,”

“Kitu gani? Niambie chochote nitakufafanulia,”

“Kwahiyo wewe ni shoga ambaye hauna tatizo kwenye maumbile yako?”

“Ndiyo, joka langu lina uwezo wa kung’ata lakini sitaki kabisa na sijisikii kulitumia,”

“Kweli lina uwezo wa kung’ata?”

“Ndio,”

“Umejuaje? ulishawahi kulitumia?”

“Hapana, lakini sina uhakika sana, najua lina uwezo wa kung’ata kwasababu nikiamka asubuhi  lazima linyooke kama askari kwenye gwaride mstarini,” nilipomwambia hivyo alicheka kidogo kimapozi, nikaanza kuona mabadiliko ya sauti, tofauti na alivyokuwa akiongea na mimi mwanzoni, alilegeza nati za kooni na kuzalisha sauti laini iliyobembeleza na kushawishi. Sio nati za kooni pekee, mpaka za kwenye maungo yake zililegezwa, basi nakwambia mara mtoto jicho liwe jeupe lote, yaani kile kiini cheusi kipotelee kwa juu, kumbuka alisema ana hasira za kikubwa na alikuwa akiomba mtu yeyote atokee amshughulikie, “Huyu nikimlazia damu, ataweza kwenda kwa mlinzi na alivyobarikiwa huo mzigo! Simuachi!” nilijisemea hivyo moyoni huku nikijipa alama nyingi za ushindi.

“Nikuulize swali?” na mimi nilianza kumchokonoa

“Niulize!” yaani alivyojibu! Mwanaume yeyote Yule asingemwacha walahi

“Kwahiyo ningekuwa sio shoga leo ningekumwagia uji mzito wa kifaransa?” hakujibu hilo swali bali alicheka tu, akawa ananiangalia kwa macho Fulani yaliyotafsiri kiu ya moyo wake juu ya joka langu, sikukaa sawa, mara nikashtushwa na kitu kunigusa miguu mwangu, sasa na ushamba wangu nisiruke! Josefina akabaki akinicheka tu kimapozi, nilipotambua ni miguu yake nikawa mpole. Hatukukaa mbalimbali sana, ama kweli mtoto alikuwa anahitaji joka, akaanza kunipandishia mguu wake akiutembeza mpaka maeneo ya kwenye mapaja, kumbuka nilikuwa nimevaa khanga tu na kufuri langu.

“Josefina, mimi sitaki bwana,” nilideka hivyo

“Kwani mimi nafanyaje Jamani!”

“Toa huo mguu wako,”

“Siutoi…” alijibu kwa kisauti Fulani cha kushawishi hasa, sasa si akalifikia joka! Yeye mwenyewe akashtuka!

“Fan! Una miguu mingapi?”

“Miwili, ebu toka hapa,” nilimjibu huku nikimalizia kwa kicheko kidogo

“Hamna, wewe una mitatu!” sasa balaa likaanzia hapo, ebu niambie ungefanyaje kama mwanamke anataka kushuhudia joka lako zaidi ya kumwonyesha na kumpa alitumie! Ndivyo nilivyofanya, aliinuka Josefina na khanga yake masikini wa Mungu ilikuwa hata haimtoshi vyema kutokana na umbo alilobarikiwa. Aliponifuata nilimyumbisha kidogo kama nilivyofanya kwa Salma….ITAENDELEA

SHOGA FEKI-12

MTUNZI:GEOFREY MALWA

Nilipojikamatisha huku yeye akiamini ni kwa nguvu zake ndio amenikamata, akaupeleka mkono moja kwa moja kwenye joka, 

“Fan hapana!”

“Hapana nini?”

“Hivi unajua ukifanya ni tamu sana?” aliniambia hivyo akijua sijui

“Kweli?”

“Ndio,”

“Yaani unaweza hata ukalia kwa utamu, tena pale unapotaka kutoa uji mzito ule wa kifaransa,” sasa akawa ananiongelesha hivyo huku akiwa ameshaanza kujimilikisha joka langu lililokuwa nje ya kufuri likipigishwa kwata laini, yale mambo ya mkono na deto, alishavamia mpaka kwenye viazi mviringo viwili vya japani na kuvipishanisha, yaani joka lilinyooka kupita maelezo.

“Basi naomba usimwambie yeyote,”

“Sawa usijali,”

“Hapana, naomba uniahidi kuwa hutomwambia mtu yeyote,” niliongea kwa hisia kweli

“Usijali Fan, itakuwa siri yetu,”

“Sawa, nifuate.”

Nilimshika mkono Josefina na kumwongoza njia kwasababu mimi ndiye niliyekuwa nayajua mazingira ya hapo. Nilipoona mkono haitoshi, nilimshika kiuno kabisa, naye akawa amejiachia begani kwangu, humo ndani tukawa tunatembea kama vile mama na baba wenye nyumba. Sio kwamba na mimi niliuegesha ule mkono kiunoni kama umegundishwa na supagluu, nilishuka chini kidogo palipojazwa nyama laini na kufanya kama nazichanganya hivi,

“Fan wewe!” kama kawaida yake kisauti chake cha uchokozi

“Nini, tulia nikupe mambo adimu,”

“Unaongea kama mzoefu vile,”

“Vingine utanifundisha,”

“Toka huko.” Aliongea hivyo huku akinitandika ngumi ya mgongoni, ni zile ngumi za kimahaba. 

Kwa jinsi nyumba yetu ilivyojengwa, kusema ukweli sikuwahi kutambua hasa dhumuni la kujengwa andaki la chini, andaki ambalo lilikuwa ni ngumu kuligundua mlango wake. Ilikuwa unaingia ndani ya chumba ambacho kilikuwa na kitanda pekee, uvunguni mwake ndio palikuwa mlango wake uliojengewa juu ‘tailizi’ na kuchanganya hasa maana sakafu ya chumba kizima iliwekwa ‘tailizi’.

“Wewe fan, huku wapi?” alinihoji akiwa ameshika kiuno

“Huku ni sirini, hata mfanyakazi wetu hapajui,”

“Humo ndani mimi siingii,”

“Hakuna shida yeyote,”

“Na hilo giza?”

“Kuna umeme, ni pazuri, sasa mimi nitakupeleka mahali pabaya?”

“Sio hivyo, lakini..”

“Lakini nini tena Josefina,”

“Tufanyie hapa, kitanda kipo,”

“Huku ninapokupeleka pana kila kitu.” Basi nilimshawishi na mwisho wa siku akakubali, nikashuka naye mpaka huko chini, 

“Khe! Ndio pazuri hivi?”

“Nilikwambia.”

Alishangaa kweli baada ya kupaona jinsi palivyokuwa pakivutia, palikuwa ni kama ukumbi Fulani mkubwa wastani, ulipambwa kwa thamani zote zenye starehe, sofa kali ‘seti’ mbili, vitanda vitatu, flatskrini kubwa inchi mia moja ishirini. Jokofu, mziki mnene, kiyoyozi, ulikuwa na uwezo wa kubadilisha aina ya mwanga uutakao, bafu na choo, yaani kwa kifupi ulikuwa na uwezo wa kuishi humo bila kwenda popote kama utakuwa na chakula cha kutosha…ITAENDELEA

SHOGA FEKI-13

MTUNZI:GEOFREY MALWA

Basi Josefina akawasha taa yenye mwanga wa bluu kwa mbali kisha akanisogelea, 

“Fan, ni kweli hujawahi kuchezea kati?” aliniuliza kimahaba akiwa amenifikia umbali sifuri

“Ndio Jose..” nilimjibu kwa kumuita kifupi cha jina lake, tayari alishauchukua mkono wangu na kuupitisha katikati ya mapaja yake. Hilo joto sasa utadhani mkono ulikuwa kwenye ‘oveni’ 

“Shika tu, usiwe na wasiwasi,”

“Naogopa,” nilijishaua 

“Usiogope, shika hivi…enheee…shiii..” akaanza kutetema, basi kidume nikamalizia kumvuta shingo na kujiruhusu kuselebukia mchezo wa njiwa, mkono mmoja ukiwa unasabahi pale kati kwake, mwingine ulikuwa ukiyumbisha chura yake iliyokuwa kama inataka kuanguka chini,

“Fan niko tayari, karibu kati,”

“Kweli?”

“Ndio, ona..” aliposema hivyo, aliuchukua mkono wangu na kuanza kufanya kama anahesabu vidole vyangu, alianza na kidole gumba, akakitenga pembeni, akafanya hivyo kwa kidole kilichofuata, ila kile kilichofuatia baada ya hivyo viwili ambacho ndio kirefu katika kiganja cha mkono wa kila mmoja wetu akakishika na kuniangalia kimahaba, midomo yake akawa anaifanya kama tayari Joka limeshaanza kuingia kati kwake,

“Najua hujui matumizi yake, au unajua?” nilimjibu kwa kutikisa kichwa nikiashiria kukataa, nilitaka nimchote tu! Akaendelea

“Kinatumika kupima ‘oili’

“Oili?”

“Ndio, si unajua bila Oili kuwepo Joka haliteleze vizuri,”

“Ndio unakitumiaje?” kufuatia hilo swali, Josefina hakuongea tena, alikishusha kile kidole na kukipitisha kwenye kufuri lake, mwishowe tukapafikia kati palipokuwa na joto hasa, ama kweli ni kama palitokea mafuriko, yaliyoathiri mpaka kufuri kwa mbele.

“Vipi! Oili ipo?”

“Tena ya kutosha,”

“Basi nipende kuchukua nafasi hii kumkaribisha bwana Joka kwa heshima na tahadhima.” Alipoongea hivyo tulibaki tuklicheka tu.

Nilimtoa khanga na kufuri nililolijulia Password(Neno la siri) yake. Mtoto mwenyewe alivyo na makusudi akaenda kujilaza uwanjani, akajiwekea mto kiunoni kisha akaongezea manjonjo ya kujibinua kidogo,

“Fan unachelewa!”

Kisauti Fulani cha kichokozi kweli, unafikiri hata sekunde iliisha kujisaula hizo nguo! Kidume nikawa nimesimama kwa miguu mitatu, nilipomsogelea wala sikufanya ajizi, ilikuwa ni kama kurudishia kalamu kwenye kizibo chake mtu amalizapo kuitumia, 

“Yeeesss Faaaan…” 

“Nakupatia eeh?”

“Ndio…

Kwa jinsi nyumba yetu ilivyojengwa, kusema ukweli sikuwahi kutambua hasa dhumuni la kujengwa andaki la chini, andaki ambalo lilikuwa ni ngumu kuligundua mlango wake. Ilikuwa unaingia ndani ya chumba ambacho kilikuwa na kitanda pekee, uvunguni mwake ndio palikuwa mlango wake uliojengewa juu ‘tailizi’ na kuchanganya hasa maana sakafu ya chumba kizima iliwekwa ‘tailizi’.

“Wewe fan, huku wapi?” alinihoji akiwa ameshika kiuno

“Huku ni sirini, hata mfanyakazi wetu hapajui,”

“Humo ndani mimi siingii,”

“Hakuna shida yeyote,”

“Na hilo giza?”

“Kuna umeme, ni pazuri, sasa mimi nitakupeleka mahali pabaya?”

“Sio hivyo, lakini..”

“Lakini nini tena Josefina,”

“Tufanyie hapa, kitanda kipo,”

ITAENDELEA

Shoga Feki Sehemu ya Nne

Isikupite Hii: Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Akupende Kwa Mara Ya Pili

Also, read other stories from SIMULIZI;

Leave a Comment