Tinginya la Ba’mdogo Sehemu ya Nne
CHOMBEZO

Ep 04: Tinginya la Ba’mdogo

SIMULIZI Tinginya la Ba'mdogo
Tinginya la Ba’mdogo Sehemu ya Nne

 IMEANDIKWA NA:  BABU LAO WA UKWELI

*********************************************************************************

Chombezo: Tinginya La Ba’mdogo

HATA hivyo, kwa kuwa hakujua kuwa lengo la Lilian ni nini, na huenda pia siku hiyo ikawa ndiyo bahati yake ya ‘kula kuku’, akaenda kwenye baa moja iliyokuwa jirani na kituo hicho. Hapo aliagiza supu na chapati tatu na kuvishusha tumboni kwa usongo. Kisha akashushia maji baridi lita moja.

Alipotoka hapo alikwenda kwenye kibanda cha kituo cha daladala na kuketi akijisomea gazeti.


KITU fulani kilimwambia Lilian kuwa ‘Akuanzae mmalize.’ Na akaamua kuufanyia kazi usemi huo. Hivyo asubuhi hiyo, baada ya kumpigia simu Sammy, alipata kifungua kinywa cha nguvu katika mgahawa huo na alipohakikisha kuwa tumbo limetosheka alitulia kidogo, akimwazia Tonny na tabia zake mpya alizozianzisha.

“Ni kama vile karogwa!” alinong’ona kwa sauti ambayo haikuweza kuyafikia masikio ya mteja mwingine aliyeketi jirani yake.

Akatulia hapo hadi alipopata ujumbe wa simu kutoka kwa Sammy ukimuuliza kama ameshaondoka Kariakoo. Akaujibu.

Baada ya muda aliona kuwa ni mwafaka kwake kuondoka. Akanyanyuka kitini na kulipa stafutahi kisha akashuka ghorofani. Akaenda kituoni ambako alipanda daladala la Mwenge. Alipokuwa eneo la jangwani alipiga simu na kukata kabla haijapokewa. Alitaka Sammy apige.

Sekunde chache baadaye simu ikaita. Alipopokea aliwahi kusema, “Niko njiani.”

“Umefika wapi?”

“Jangwani kwenye daraja la Kajima.”

“Ok, ukishuka njoo kituo cha magari yaendeayo Kariakoo.”

“Poa.”

“Ni kituo cha Studio. Si utakumbuka?”

“Nitakumbuka, na ninapajua.”

Simu ilipokatwa, Sammy alisimama na kuanza kuzunguka huku na kule. Kwa ujumla aliona kama vile ndoto. Hivi ni kweli Lilian anakuja? Au ananitega? Mbona amekuwa mwepesi kiasi hiki?

Hata hivyo hakutaka kuwaza mengi. Aliamini kuwa sasa bahati yake imetimia.

Akasubiri kwa shauku.


LILIAN aliteremka katika daladala na kuangaza macho huku na kule, akimtafuta Sammy. Hatimaye akakumbuka kuwa alipaswa kuvuka barabara. Akavuka. Upande wa pili wa barabara alimkuta Sammy akimsubiri.

Wakapeana mikono kisha Sammy akasema, “Hapa hapajatulia. Twende huku.”

Lilian alionekana kusita kidogo lakini hatimaye alimfuata Tonny ambaye alikwishaanza kuondoka.

Walikuwa kama wanaokwenda Livingstone Hotel, lakini kabla hawajaifikia hoteli hiyo walikata kulia. Sasa Sammy alijiona yu huru zaidi. Aliamini kuwa si rahisi kwa Tonny kuja eneo kama hili na kuwafumania. Au haikuwa rahisi kukutana na mtu yeyote wa huko Kariakoo hususan mkazi wa eneo la Mtaa wa Rufiji.

Wakafika kwenye kijiduka kidogo kilichouza vinywaji baridi. Wakaketi hapo na kuagiza juisi. Hapakuwa na watu wengine katika duka hilo zaidi ya muuzaji. Hivyo Sammy aliona kuwa huo ni wakati mwafaka kwa kuzungumza.

Akilini mwake hakuamini kuwa Lilian atakuwa amekuja kwa minajili ya kustarehe kimapenzi. Kitendo cha kumtamkia mapema mambo ya kwenda gesti, aliona kuwa huenda kingemshushia hadhi. Lilian alipopiga simu alisema tu kwamba ana shida ya kuonana naye. Hakusema anataka wakutane ili wakafanye mapenzi. Hivyo, Sammy alitambua kuwa alipaswa kuwa makini.

“Umenishtua ma’mdogo. Wito wako una wema au kuna tatizo?”

Lilian alibibitua midomo na kusema, “Kwa kweli hali siyo shwari. Sasa, badala ya kuifurahia ndoa, naichukulia kama kero f’lani maishani.”

Sammy alishangaa. Akamuuliza, “Kuna tatizo gani?”

“Acha tu, Sammy. Yaani huwezi kuamini. Leo Tonny amebadilika hadi anafikia hatua ya kulala nje!”

“Yamekuwa hayo tena?”

“Nd’o ivo nakwambia!” Lilian alijibu kwa unyonge.

“Pole sana,” Sammy alimwambia huku akimwangalia kwa chati. “Hayo nasikia ndiyo maisha ya wanandoa. Mimi sijaoa, lakini kwa kweli naisikia sana migogoro ya waliooa au kuolewa. Ni mambo ya kawaida tu. Mvumiliane.”

“Hapana, nimechoka,” Lilian alisema huku kainamisha uso chini.

Watu wawili, watatu walifika dukani hapo na kuulizia hiki na kile, na wengine wakiomba viti zaidi kwa ajili ya kukaa na kunywa juisi.

Ongezeko la watu mahali hapo halikumfurahisha Lilian. Akamwambia Sammy kwa sauti ya chini, “Naona hapa kuna kiwingu sana. Hakuna sehemu nyingine iliyotulia kuliko hapa?”

Sammy alifikiri kidogo kisha akajibu. “Ipo. Na hapo siyo nje kama hapa, ni ndani ya chumba maalumu.”

Lilian alikunja uso na kufikiri kidogo. Hali hiyo ikamtia shaka Sammy kuwa huenda Lilian akamshtukia. Lakini haikuwa hivyo, badala yake Lilian aligugumia juisi yake na kuitua glasi mezani kisha akanyanyuka huku akisema, “Twende. Kwani ni mbali?”

“Siyo mbali,” Sammy alijibu huku naye akiipeleka glasi kinywani. Akaimalizia juisi yake na kunyanyuka.

Wakaifuata barabara iliyoelekea chini zaidi. Kisha wakafika kwenye jengo moja zuri lililozungukwa na miti mingi iliyokiunda kivuli kizito. Sammy akatangulia kuingia, akifuatiwa na Lilian. Dakika ya kwanza Lilian alikuwa akishangaa na kujiuliza kimoyomoyo kuwa hapo ni wapi, dakika ya pili akawa ameshajua kuwa ni gesti.

Sammy akazungumza na mhudumu wa mapokezi na kumpatia shilingi 10,000 kisha akakabidhiwa funguo huku akiambiwa, “Namba nane.”

Wakaingia chumbani ambako ile tu baada ya Sammy kufunga vizuri mlango, alichojoa shati na kulitupa kando. Lilian akamtazama na kujikuta akijiwa na hali tofauti, msisimko ukamjia kwa mbali. Akajikuta akitazama dirishani kisha darini kabla hajayarudisha macho kwa Sammy na kukuta sasa akiwa amevua suruali na kubakiwa na bukta pekee.

Uvimbe uliokuwa mbeleni kwenye bukta aliyovaa uliyavuta macho ya Lilian na kujikuta akisisimkwa maradufu. Mwanamke akawa akikiuma kidole cha mwisho cha mkono wa kushoto huku akiitazama ile sehemu iliyotuna kwa namna ya kuvutiwa.

Kisha kama aliyepagawa akageuka na kukisogelea kioo. Sasa naye akawa akichojoa nguo zake huku akijitazama kwenye kioo hicho.

Alijisikia kuhitaji haraka jambo ambalo hajalipata kwa muda mrefu.

Akalivua gauni lake refu na kulitupa kitini. Wakati akiifungua sidiria iliyoyahifadhi matiti yake makubwa, yenye uhai, mara akagundua kuwa Sammy alikuwa nyuma yake. Akahisi kitu kigumu kikiyagusa makalio yake makubwa kwa namna iliyomtia hamu ya kuhitaji kitu hicho kiendelee kuwa hapo.

Akiwa na umbo lililoyavuta macho ya wanaume kila alipopita barabarani, aliamini ujazo huo wa makalio ni sababu pia ambayo ilimfanya Sammy amgande hapo huku akiwa ameipitisha mikono kwapani na kuyashika matiti makubwa yenye joto. Akasikia kitu hicho kikipumua katikati ya makalio yake taratibu.

Huku Lilian akijisikia kufurahishwa na hali hiyo, aliupeleka mkono nyuma na kulishika ‘gunzi’ hilo lililokakamaa, akawa akiliminyaminya taratibu huku akizisikiliza pumzi za Sammy ambaye alikuwa amemwegemea na kumpumulia sikioni kwa namna ya kuelemewa na hanjamu, hawaa na mashamshamu kwa asilimia mia moja.

Lilian aliacha kulichezea ‘gunzi’ hilo na sasa aliizungusha mikono hadi mgongoni mwa Sammy, akaikutanisha na kumvuta zaidi Sammy, akasisimkwa zaidi pale alipohisi ‘gunzi’ hilo kubwa likipumua katikati ya makalio yake.

Akashindwa kuvumilia na kujikuta taratibu akianza kuzungusha nyonga na kuzua msuguano fulani uliompeleka katika sayari nyingine pale alipojigandamiza zaidi kwenye ugumu wa gunzi ‘hilo.’. Macho yakamlegea. Akaendelea kuzungusha nyonga…akazungusha….akazungusha kwa mapozi zaidi, akazidi kujibinua zaidi huku akigunaguna kwa sauti inayoweza kumwehusha mwanamume yeyote ambaye atakuwa katika anga hizo kama hivyo alivyo Sammy.

Hatimaye akajing’atua na kumgeukia Sammy huku akihema kwa nguvu. Akamtazama usoni kama anayemwambia, ‘NIPE SASA HIVI…’

Akaupenyeza mkono ndani ya bukta ya Sammy na kuibuka na kile kitu alichokuwa akikihitaji, kitu cheusi kilichokakamaa, kikubwa kilichojaa kwenye kiganja cha mkono wake. Akatamani kukivamia.

Akakikodolea macho yenye kila dalili za ‘njaa kali.’ Akaupitisha ulimi nje ya papi za midomo yake. Kisha kama aliyepagawa akapiga magoti na kukivamia kitu hicho. Akakizamisha kinywani mwake na kuhangaika nacho huku akigunaguna, akihakikisha hakibanduki mdomoni humo.

Nje-ndani, nje-ndani, na mara chache ukaibuka mlio wa mbali kutoka kwenye mshughuliko huo katika kinywa na ‘gunzi’ hilo pwa…pwa…pwa…

Mara akabadili zoezi. Sasa akaupeleka ulimi hadi kwenye vigololi viwili vilivyonona, huko ukaendelea kuramba huku akihema kwa nguvu na kuendelea kugunaguna ilhali mkono wa kushoto ukiwa umelikamata lile gunzi.

HATIMAYE akajing’atua na kumgeukia Sammy huku akihema kwa nguvu. Akamtazama usoni kama anayemwambia, ‘NIPE SASA HIVI…’

Akaupenyeza mkono ndani ya bukta ya Sammy na kuibuka na kile kitu alichokuwa akikihitaji, kitu cheusi kilichokakamaa, kikubwa kilichojaa kwenye kiganja cha mkono wake. Akatamani kukivamia.

Akakikodolea macho yenye kila dalili za ‘njaa kali.’ Akaupitisha ulimi nje ya papi za midomo yake. Kisha kama aliyepagawa akapiga magoti na kukivamia kitu hicho. Akakizamisha kinywani mwake na kuhangaika nacho huku akigunaguna, akihakikisha hakibanduki mdomoni humo.

Nje-ndani, nje-ndani, na mara chache ukaibuka mlio wa mbali kutoka kwenye mshughuliko huo katika kinywa na ‘gunzi’ hilo pwa…pwa…pwa…

Mara akabadili zoezi. Sasa akaupeleka ulimi hadi kwenye vigololi viwili vilivyonona, huko ukaendelea kuramba huku akihema kwa nguvu na kuendelea kugunaguna ilhali mkono wa kushoto ukiwa umelikamata lile gunzi.

Sammy akajihisi yuko mbali na dunia hii, akashindwa kustahimili. Kwa kuwa walikuwa jirani na kitanda, akaanguka kitandani chali na Lilian akamfuata huku akiendelea kulimung’ung’unya gunzi hilo kwa juhudi na maarifa.

Sammy akahisi yuko katika mbio za marathon na sasa alikuwa akikaribia kutinga kileleni hivyo akamng’atua Lilian kwa nguvu huku akimsihi waingie dimbani.

Lilian ambaye aligundua kuwa mwenzake alikuwa katika dakika za majeruhi, akitapatapa kama mfa maji, alisema, “Utapata kila unachokitaka…lakini kwa nini unaninyima supu… supu ya bamia? Nipe…nipe…supu ya bamia baby…nipeeeee! ”

Hakusubiri ruksa, tayari alishalivamia tena lile gunzi lililokakamaa na kuendelea kulisakama. Mara Sammy akaanza kulalamika kwa nguvu, uso kaukunja, ‘wazungu haooo’…akaking’ang’ania kichwa cha Lilian kwa muda, akimsikilizia jinsi alivyomung’unya kwa namna iliyomwongezea muhu, hamu na mashamushamu yasiyoelezeka kwa urahisi.

Mwanamume hoi!

Wakaganda hivyo kwa takriban dakika moja kisha Lilian akajing’atua na kuanza kujirambaramba, akiutoa na kuuingiza ulimi kinywani huku pia akiupitishapitisha kwenye papi za midomo yake iliyonona. Kisha akatumia kidole kuhakikisha hakuna mabaki yaliyosalia nje ya kinywa chake. Akajitupa pembeni huku bado mkono ukiwa umelishika lile dude gumu, jeusi ambalo ni kama vile alilichukulia kuwa ni almasi; hataki limtoke!


PENZI la Lilian na Sammy lilikua, likakomaa. Wakati huo Tonny naye alikuwa akiendelea kufaidi penzi la Caroline. Kwa Lilian, japo alikuwa akiuendeleza uhusiano na Sammy, uhusiano ambao awali aliuanzisha kwa dhamira ya kuupooza moyo wake kutokana na machungu aliyopewa na mumewe, hata hivyo kadri siku zilivyokwenda ndivyo penzi la dhati lilivyozidi kujikita moyoni mwake.

Akaanza kumwona Sammy kama mwanamume kamili, mwanamume anayejua kutumia viungo vyake kuikata njaa ya mwanamke. Mara tatu walizodiriki kujichimbia chumbani mwa Sammy, alikiri kuwa kampata mtu anayejua ni kipi anachokihitaji mwanamke. Mapenzi yaliyomwingia yakaanza kumfanya ajenge tabia ya kiburi hata kwa mumewe.

Na hakuwa na woga wowote wa kutoka nyumbani usiku wa saa 5. Na huko kwa Sammy alichukua takriban saa mbili wakiisulubisha miili yao kwa namna iliyoifariji mioyo yao.

Naam, Lilian aliendelea na Sammy, Tonny naye akaendelea na Caroline wake. Ulikuwa ni mzunguko mtamu; Lilian akitambua fika kuwa anasalitiwa na Tonny, ilhali Tonny akiwa gizani, hajui kinachoendelea upande wa pili.


HII ilikuwa ni siku nyingine, miongoni mwa siku ambazo Lilian na Sammy huwa chumbani mwa Sammy wakijistarehesha. Ndiyo kwanza wametengana na kubaki wakitazamana, miili yao ikiwa tupu, kitandani kwa Sammy.

Lilian alimtazama Sammy usoni, na walipogonganisha macho, walikumbatiana tena, wakaikutanisha midomo yao na kuganda katika hali hiyo kwa takriban dakika moja. Kisha wakatengana tena.

“Sammy,” Lilian alimwita kwa mnong’ono, viganja vyake laini vikitalii hapa na pale mwilini mwa Sammy.

Badala ya kuitika, Sammy alimtazama tena Lilian.

“Sammy,” Lilian aliendelea, “kwa kweli sipati amani kuja hapa kwako. Nakosa uhuru, baby. Kuna wakati huwa stimu zinakata huku tunaendelea, na hasa nikisikia mtu anapita huko koridoni au watu wanazungumza-zungumza jirani na mlango.”

Sammy alishtushwa na maneno hayo. “Kwa nini unasema hivyo?” alimuuliza.

“Sitaki kufumaniwa na hawara yako mwingine,” Lilian alijibu bila ya kumtazama Sammy lakini mikono yake ikiendelea na utalii wake.

“Hawara yangu?”

“Ndiyo.”

“Nani kakwambia kuwa nina hawara mwingine zaidi yako?”

“Siyo lazima niambiwe.”

“Kwa hiyo tuseme kuwa unahisi?”

“Najisikia kuamini kuwa una mwanamke mwingine.”

Sammy alicheka kidogo. Akajinyanyua na kuketi. Sasa akamtazama Lilian kwa makini zaidi. Na Lilian akaacha kufanya utalii wake. Wakabaki wakitazamana, macho ya kila mmojawao yakawa ni kama yanayozungumza mengi zaidi ya yatokayo vinywani mwao.

Hatimaye Sammy akamuuliza, “Kwa nini unaamini hivyo, mpenzi?”

Tabasamu la mbali likachanua usoni pa Lilian. Huku akiwa bado amelala vilevile, akasema, “Kwa mtu kama wewe, siwezi kuamini kuwa huwa unakaa hivihivi tu. Nitakuwa mpumbavu nikiamini hivyo. Huna mke, ina maana kabla hujanipata mimi ulikuwa ukikaa hivihivi tu? Au ulikuwa unafanya ‘masturbation’…sabuni na wewe, wewe na sabuni? Sema ukweli wako.”

Sammy alitupa macho darini na kuyarejesha kwa Lilian. Kisha akasema, “Kwa kweli usemayo ni kweli tupu. Nina mtu, na mtu mwenyewe ninampenda sana na ninamheshimu sana. Mtu huyo ndiye ananifanya nisifanye ‘masturbation’. Mtu mwenyewe hata wewe unamfahamu.”

“Namfahamu?!” Lilian alimtolea macho.

“Ndiyo, unamfahamu,” Sammy alisisitiza.

“Ni nani huyo?”

“Mbona una haraka sana ya kumjua? Haina haraka. Utamjua tu. Ipo siku nitakuonyesha kuwa mtu mwenyewe ni huyu.”

“Basi mtaje,” Lilian alikuwa king’ang’anizi.

“Ni Lilian.”

“Lilian?”

“Ndiyo.”

“Wa wapi?”

“Wa Mtaa wa Rufiji, mwanamke mzuriiiii…mwenye umbo zuri na mtundu sana…ananitoa jasho…na sasa hivi niko naye chumbani mwangu, akinipa rahaaaaaaa…!”

Lilian akabibitua midomo na kuachia msonyo mrefu. Sammy akacheka na kumpiga kijikofi mgongoni, kijikofi cha mahaba.

“Mshenzi,” Lilian alisema kwa sauti ya chini na ya deko. “Uongo mtupu! Kamdanganye mtoto mdogo. S’o mimi.”

“Hapana, sikudanganyi, mpenzi,” Sammy alisema huku akimkumbatia Lilian. Akaongeza, “Mimi sina hulka ya ufuska. Ni wewe pekee. Kama utanitema basi ndipo nitatafuta mwingine…”

“Basi tuache hayo,” Lilian alimkata kauli. “Cha muhimu uelewe kuwa tabia ya kukutania hapa siyo nzuri. Tafuta mahali pengine. Ni afadhali hata tuwe tunakwenda kule tulikoanzia.”

“Kule Kinondoni?”

“Ndiyo.”

“Haina haja ya kwenda kote huko,” Sammy alipinga. “Ni mbali sana. Hapa Kariakoo tu kuna gesti nyingi za kujichimbia.”

“Poa, lakini gesti lazima iwe katika mazingira mazuri. Iwe na mlango wa siri wa kuingilia na kutokea.”

“Gesti nyingi za siku hizi ndivyo zilivyo. Wenyewe wanajua kuwa watu wengi hawapendi kuingia huku watu wengine wakiwaona. Kuna wake za watu na waume za watu ambao ndio zaidi wanahitaji siri. Gesti tutakayoingia sisi, hakuna atakayetuona wala kugundua. Hata Tonny hatagundua.”

Maneno haya ya mwisho yalimfanya Lilian agune na kuachia kicheko cha chinichini kasha tena akaupeleka mkono wake mahala fulani mwilini mwa Sammy ambako ulitomasa kidogo huku kwa dharau akisema, “Hata akijua nd’o atanifanya nini?”

“Huenda asikufanye kitu lakini huenda akaniua.”

“Nyooo!” Lilian aliwaka. “Hawezi kukuua! Na akikuua na mimi nitajiua!”

“Kwa nini ujiue?”

“Kwa sababu nakupenda sana, Sammy wangu,” Lilian alijibu huku akiendelea kutomasa pale mkono wake ulipong’ang’ania. Sauti yake nyororo na aliyoitoa kwa uchovu wa kuigiza, ilikuwa burudani nyingine masikioni mwa Sammy sanjari na kichocheo cha kuyapandisha mashetani yake.

Akaendelea, “Kwa kweli umeuteka sana moyo wangu, Sammy, na kinachonifanya nikupende hivi nakijua mwenyewe. Kwa ujumla ni kwamba wewe ni mwanamume uliyekamilika.”

Wakakumbatiana tena. Vinywa vyao vikakutana. Wakadumu kwa takriban dakika mbili katika busu hilo.

ITAENDELEA

Tinginya la Ba’mdogo Sehemu ya Tano

Also, read other stories from SIMULIZI;

Leave a Comment