Biashara ya Juice
LIFESTYLE

Biashara ya Juice

Biashara ya Juice
Biashara ya Juice

Kila moja ya mifano ina faida na hasara zake. Kuanzisha duka la juisi au msururu wa maduka ya juisi kunahitaji mahitaji madogo ya mtaji. Kwa kawaida duka dogo la juisi lenye uwezo wa kuketi wa takriban 10 – 20 linaweza kuanzishwa kwa uwekezaji wa takriban laki 10 – 15 .26 Feb 2020

Vifaa vinavyoitajika kwenye mradi wa Biashara ya Juice
1. Rotating Juice Dispenser

Hii ni mashine inayotumika wakati umeshatengeneza juisi ili isiwe imekaa tu pia Kupooza Juice Kuwa Ya Baridi na Pia Kuchanganya Juice Isiweze Kuharibika. Bei yake kwa majagi mawili inaanzia 800,000 mpaka 1,000,00 na kwa majagi matatu inaanzia 1,000,000 mpaka 1,300,000.

2. Blander

Hii ndo kila kitu kwenye biashara ya juisi maana kazi yake kubwa ni kusaga juisi yenyewe. Bei yake ni kati ya 150,000 mpaka 200,000.

Bei Source: Jiji.com
3. Juicer

Ni mashine inayotumika kutengeneza juisi ya matunda ambayo si rahisi kutoa mbegu zake kama machunga. Bei yake ni kati ya 250,000 mpaka 300,000.

Bei Source: Jiji.com
4. Freezer

Freezer ndogo kwaajili ya kupoozea juisi, ambayo ndogo kama hii yenye ujazo wa lita 100 inakuwa ni sh 550,000.

5. Glasi za Juice

Glasi zinaitajika za aina mbili. Glass kubwa kuanzia 12, pcs 6 35,000 kwahiyo kwa pcs 12 inakuwa ni sh 70,000. Glass ndogo pia zinaitajika 12, pcs 6 25,000 kwa pcs 12 inakuwa ni sh 50,000 kwa ujumla bei ya glass ni sh 120,000.

Get More Business Idea;

Leave a Comment