CNN: List ya wanamuziki 10 wakubwa Africa.
LIFESTYLE

CNN: List ya wanamuziki 10 wakubwa Africa

CNN: List ya wanamuziki 10 wakubwa Africa.
CNN: List ya wanamuziki 10 wakubwa Africa.

Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha hiyo kufuatia ukubwa wa nyimbo zake na alizoshirikishwa pamoja na Matamasha aliyoyafanya na Tuzo mbalimbali alizowahi kushinda huku wakitolea mfano Tuzo za MTV EMA za Mwaka 2015 ambapo Diamond aliweka rekodi kwa kuwa masanii wa kwanza Afrika kushinda tuzo hizo mbili ndani ya Usiku Mmoja.

1. Burna Boy: Nigeria
2. Angelique Kidjo: Benin
3. Diamond Platnumz: Tanzania
4. Yemi Alade: Nigeria
5. Tiwa Savage: Nigeria
6. Wizkid: Nigeria
7. Mr.Eazi: Nigeria
8. Sho Madjozi:Afrika Kusini
9. Busiswa Gqulu: A. Kusini
10. Slapdee: Zambia

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment