Namna Tofauti Tofauti za Kumuamsha Mume Anapokua Amelala
1.Chukua mkono wa mumeo uueke kwenye sehemu ya mwili wako anayoipenda kama kifua, kalio au sehemu ya siri alafu ufanye kama anakupapasa vile na huku unamwambia, kwa mfano, “My love unajua ukiendelea kulala utakosa utamu wa waridi uliolipia mahari? Amka mume wangu” hapo alale nani?
2.Mkande mabega, miguu, mikono mpaka aamke. Akishaamka anaweza kukwambia uendelee kumkanda. Mpe busu umwambie unampenda lakini anafaa kuanza kujitayarisha.
3.Mpandie kwa juu ukiwa uchi. Uwe unamsumbua sumbua kwa kumbusu au kumnong’oneza maneno matamu sikioni.
Isikupite Hii: Maswali 9 Ya Kuzingatia Kabla Kuingia Katika Mahusiano
4.Busu pia linafaa, Mpige mabusu kuanzia utosini hadi miguuni ukilenga zile sehemu zenye hisia zaidi. Utaona kaamka na bwana Abdallah nae kasimama wima
5.Unaweza kuchagua sehemu moja, kwa mfano shingo, ukampiga busu mpaka umtoe lovebite. Lazima ataamka kabla hujamaliza kumbusu
6.Kama mumeo ni mwepesi wa kuamka unaweza tu kumuita kwa sauti ya chini. Kwa mfano “Habibi wangu sipendi kukusumbua lakini amka muda wa kwenda kazini umefika. Amka mume wangu natamani kuona unavyoniangalia”
Isikupite Hii: Sifa 20 zinayoonyesha ukichaa wa mapenzi
Sio unamwambia “We babake Ali hebu amka jamani unataka jua likupige la meno ndio ujue muda wa kazi umefika”
Jamani haifai! Mhurumie na umpeti mumeo kama unavyopeti mtoto mchanga. Kama mumeo ana uelewa mzuri wa ndoa utaona na yeye anakuamsha kwa mahaba kama unavyomuamsha.
Mwanamke busara na Hekima kwa mume wk inatakiwa eeehe👌👌 ukishindwa watakusaidia wenzio mwsho wa sku uanze kumtafuta mchawi nan kmb ni ww mwenyewe.