Siri kuu 6 za kumpata mpenzi bora
1. Lazima na wewe uwe bora kwanza
2. Lazima na wewe ujiheshimu
3. Acha kulalamika lalamika.
SIMILAR: Jinsi ya kuongeza na kunenepesha mwili kwa kutumia vyakula
4. Kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako!
5. Ukitaka msomi akikisha na wewe umesoma
6. Ukikosa kabisa
Njoo kwangu nikulambe vibao ili akili ifunguke! UTANI LAKINI UMEELEWA